wanandugu habari ya weekend.
tafadhali mwenye ufahamu naomba anielekeze utaratibu wa kufuata katika kubadilisha jina kwenye kadi ya gari pamoja na gharama zinazohusiana na zoezi hili. nimetembelea website ya www.tra.go.tz nimeshindwa kupata taarifa.
nitashukuru sana wadau.
Ureni Ahsante kwa ushauri nitauzingatia na nitatafuta mtalaamu wa sheria na HR anisaidie katika hilo na mengineyo yanayohusu ajira (so suala linalohusu sheria na haki za mfanyakazi tuliachie hapo); baada ya hilo basi naomba msaada wa taarifa wapi naweza kupata huyo mfanyakazi.
nakushukuru New...
wanajamii, naomba kuuliza wapi anaweza kupatikana msichana wa kazi za ndani (housegirl/housemaid). mfanyakazi aliyepo anakaribia kumaliza mkataba wake na ameamua kutoendelea na mkataba kwa sababu anataka kuanza maisha mengine. amekaa miaka takribani minne na sababu ya kutoendelea na mkataba ni...
kwa upande mmoja mufuruki yupo sahihi; hebu jiulize wanafunzi wa UDOM waligoma kwa sababu waliambiwa hamna field.. unatgegemea mwanafunzi anayetoka UDOM atakuwa na uwezo wa kufanya kazi kwa ufanisi bila kupatiwa mafunzo ya ziada!! hilo ni lazima tulione jamani!! tusilaumu tu..
tena mimi...
jamani hiki ni kituko cha kweli,
jana nimetoka na mwenzi wangu tukaenda kusalimia ndugu fulani ambao waliondokewa/walifiwa na ndugu yao. kwa ufupi familia hii ina uwezo mkubwa tu na wanaishi masaki. tukafika tukawakuta na kuwapa pole. wakati tupo hapo nikajisikia nataka kwenda long call (haja...
wadau naomba kuuliza,
watalaam wa ufugaji kuku wa mayai. naomba kujua eti kwa vifaranga unapoviweka bandani, kwenye sakafu unatanguliza maranda au unaweka kwanza magazeti. nataka nijue namna ya kutengeneza chick bedding!!
nitashukuru!!
Wadau naomba kuuliza,
Watalaam wa ufugaji kuku wa mayai. naomba kujua eti kwa vifaranga unapoviweka bandani, kwenye sakafu unatanguliza maranda au unaweka kwanza magazeti. nataka nijue namna ya kutengeneza chick bedding!!
Nitashukuru!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.