gharama na utaratibu kubadilisha jina kadi ya gari | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

gharama na utaratibu kubadilisha jina kadi ya gari

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Purity1, Jan 7, 2012.

 1. P

  Purity1 Member

  #1
  Jan 7, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 15
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  wanandugu habari ya weekend.

  tafadhali mwenye ufahamu naomba anielekeze utaratibu wa kufuata katika kubadilisha jina kwenye kadi ya gari pamoja na gharama zinazohusiana na zoezi hili. nimetembelea website ya www.tra.go.tz nimeshindwa kupata taarifa.
  nitashukuru sana wadau.
   
 2. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #2
  Jan 7, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,919
  Likes Received: 219
  Trophy Points: 160
  Unachukua car sale agreement, pamoja na card ya previous owner na TIN yako, unaenda navyo ofisi za TRA (zinazodili na kusajili magari) kuna form watakupatia unaijaza kisha watakufanyia calculation ulipie kiasi gani, kisha watakupatia form ya bank ambapo utapaswa kwenda kulipa hiyo hela, ukishalipia watakutengenezea kadi mpya kulingana na details utakazokuwa umejaza kwenye form ya mwanzo. Ni process ya dakika chache kutegemeana na speed yako. ila andaa kama 200,000 Tsh manake binafsi sikuelewa formula wanayotumia, niliwahi kusajili corolla wakanilipisha 160,000! Labda wajuzi watatufungua macho namna wanavyo calculate gharama...
   
 3. Nyenyere

  Nyenyere JF-Expert Member

  #3
  Jan 7, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 8,568
  Likes Received: 1,932
  Trophy Points: 280
  1% ya sales plus shilingi 60,000 kwa ajili ya kubadili jina. Hii nimekutana nayo juzi tu.
   
 4. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #4
  Jan 7, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  ila ukipitisha mwezi baada ya manunuzi unapigwa faini
   
 5. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #5
  Jan 8, 2012
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,105
  Likes Received: 7,363
  Trophy Points: 280
  Kama nimepewa bure??
   
 6. Nyenyere

  Nyenyere JF-Expert Member

  #6
  Jan 9, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 8,568
  Likes Received: 1,932
  Trophy Points: 280
  Duh! Hapo mie chali!
   
Loading...