Recent content by pure heart

  1. P

    JamiiForums Tanzania What's the last movie that made you cry?

    Kabisa mkuu yule jamaa Idriss alipatia mnooo.
  2. P

    JamiiForums Tanzania Video: Makonda sasa amgeukia na kumshambulia Lowassa

    Najaribu kufikiria alipata wapi ujasiri huo. Yule jamaa ananyamazaga kama ---- flani ila ni mafya. Oohoo. Jk mwenyewe anamjua vizuri, cyo ---- yule ata kidogo. Ukimya wake unamengi
  3. P

    JamiiForums Tanzania Wanaume tukutane hapa tumshauri Captain Gardner

    Ni.mwanaume anayelelewa. Na.mwanamke. anayemtegemea mwanamke. Anayewekwa mujini na mwanamke lol
  4. P

    JamiiForums Tanzania Msaada: wimbo "baba paroko" wa Francois Makkasy

    Mkuu kuna wimbo unaitwa I need some money kama cjakosea aisee nautafuta mno. Kuna jamaa alinambia wameimba chiko chikala ila nikiutafuta cupati. Msada tafadhali
  5. P

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu Solo thang amezaa na nani?

    Hujaeleweka mwaya
  6. P

    JamiiForums Tanzania Kujamba (kutoa ushuzi) kuna faida kiafya?

    Ha ha ha jamii forum is a place to be.
  7. P

    JamiiForums Tanzania Netanyahu: Walioua wanajeshi watakiona

    Uislam ni shida nyingine hapa duniani. Yani mpo kisharishari tuu.
  8. P

    JamiiForums Tanzania Netanyahu: Walioua wanajeshi watakiona

    Amna ata kitu unaongea. Magaidi woote dunia wakiua wanatangaza na video wanatoa wala hawafichi sasa hapo chaajabu nini.
  9. P

    JamiiForums Tanzania Blogger Mtanzania adaiwa kupelekea mtu kujiua kwa kumtukana kupitia blog yake

    Yote tisa. Kumi ni yule sijui mke wa king kong aliyechambiwa hadi baba mkwe wako. Jamni haya mambo yakuingilia ugomvj usiokuhusu mmmh.
  10. P

    JamiiForums Tanzania Sheria Ngowi amvalisha rais mpya wa Zambia

    Pumba tupu
  11. P

    JamiiForums Tanzania Sheria Ngowi amvalisha rais mpya wa Zambia

    Hao wenye kujua kupendeza mara nyingi huwa ni shida tupu. Usharo nwingi utendaji zero
  12. P

    JamiiForums Tanzania Sheria Ngowi amvalisha rais mpya wa Zambia

    Acha wivu. Mbona kapendeza tu??ulitaka avae bugaluu. Em acheni izo bana. Mbona hamsupport vya kwenu? Wa tz bana.
  13. P

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete afanya Mabadiliko katika Baraza la Mawaziri. Sitta, Mwakyembe wabadilishiwa Wizara

    Akafu mbona kachoka ivyo yule mama? Uso umemparama hatari, sijui anatumiaga ile mikorogo ya kupima? ?? Mmh.
  14. P

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete afanya Mabadiliko katika Baraza la Mawaziri. Sitta, Mwakyembe wabadilishiwa Wizara

    Mmh we acha uongo bana. Yule baba mzalendo sana. Kwahapa jk kachemka mno
Back
Top Bottom