Recent content by pumper 2 pumper

  1. P

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Nguruwe: Fahamu faida, hasara na mbinu bora za ufugaji

    Mkuu barikiwa sana. Watu wa mwanza tunapata wapi mbegu bora. Nahitaji majike mawili yenye mimba mkuu
  2. P

    JamiiForums Tanzania Fursa hii kwa ajili ya wale wanaopenda kufanya biashara ya mazao

    Karibu Chiwanda ndio kwetu mahindi yapo
  3. P

    JamiiForums Tanzania MSAADA; Tatizo la tumbo kuunguruma

    Hivi kumbe hairuhusiwi kuwa wa kwanza au kuna zawadi nijulishe mdau[emoji48][emoji48]
  4. P

    JamiiForums Tanzania Miliki kiwanja kizuri chenye hati na kwa gharama nafuu.

    Weka namba tuanze kupatana hopefully bei utashuka kidogo.
  5. P

    JamiiForums Tanzania Walimu wa Kwiro wengi wao ni vilaza

    Pole sana lakini tatizo sio walimu peke yake pia wanafunzi wa zama hizi. Nikipita hapo 1999 A Level ya kwanza chini ya headmaster Vaginga. Hatukuwa na walimu kabisa ila mazingira ya utulivu yalitusaidia. Wengi tulikuwa tunachelewa kurudi shule muda mwingi tulitafuta lecture notes za kina...
  6. P

    JamiiForums Tanzania Miliki kiwanja kizuri chenye hati na kwa gharama nafuu.

    Nahitaji kimoja sehemu iwe na maji na umeme karibu .
  7. P

    JamiiForums Tanzania MSAADA; Tatizo la tumbo kuunguruma

    Tusubiri wadaktari waje
  8. P

    JamiiForums Tanzania Makonda: Hii dunia sio mali ya Mungu

    Shida kubwa hapa ni mihemuko na hasira sipendi kuita wivu. Makonda amezungumza vizuri tu. Kwamba kwa nyakati hizi mapepo yametawala duniani na si ya mungu tena watu wanamuabudu shetani kuliko mungu. Nilitegemea watu wa mungu kuunga mkono na sio kumpinga maana ndio tunayoyaona sasa.
  9. P

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Nguruwe: Fahamu faida, hasara na mbinu bora za ufugaji

    Great idea. Ninafikiria hivyo hivyo. Kwa mwanza.Kimsingi ukienda nchi za wenzetu utaona watu wanafurahia nyama hapa kwetu tunauziwa mifupa. Ukiweza kuongea thamani ukatengeneza pork products like sausage...beacon...pork ribs na fillets unauza.
  10. P

    JamiiForums Tanzania Nanunua nyama ya kitimoto kwa wanaouza

    Bei gani unatoa kwa kilo ikifika Dar
  11. P

    JamiiForums Tanzania James Orengo vs Tundu Lissu

    Mada nzuri ila ngoja nikae pembeni siwezi kumfananisha ORENGO na vitu vya ajabu. Sent using Jamii Forums mobile app
  12. P

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu, tunduni - na Jerry C. Muro

    Sioni hoja inayopinga post zaidi ya madhambulizi ya kishabiki. Post nzuri leteni hoja zenye mashiko. Sisi tupo kwa kujifunza Sent using Jamii Forums mobile app
  13. P

    JamiiForums Tanzania Hili ni jaribio la 3 la Clouds FM kumshusha Diamond, naamini utashinda tu

    Sawa umeeleweka team Mondi Sent using Jamii Forums mobile app
  14. P

    JamiiForums Tanzania Historia fupi ya deni la Stirling Civil Engineering Ltd

    Hizi ni ndoto za mchana Sent using Jamii Forums mobile app
  15. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenyan election 2017 was more vibrant,viewed and talked about world wide than Tanzanian 2015 elections.

    This shows how much some idiot Kenyan not all offcourse try to compare every things with Tanzania. Tanzanian are silence but time will tell. Tanzania has all foundation for development it's just a matter of time. Currently the development you have over TZ is due to colonial history among others...
Back
Top Bottom