MSAADA; Tatizo la tumbo kuunguruma

273

Member
Sep 12, 2017
64
125
Habarini wakuu ama kichwa kinavyojieleza nahitaji msaada wa tatizo langu la tumbo kuunguruma mara kwa mara.

Je inaweza kuwa ni tatizo gani na dawa yake ni nini? kwan kila nikienda hospital sipati majibu wala dawa ya kuharisha!
 
scooman

JF-Expert Member
Mar 21, 2017
3,028
2,000
Pengine kuna ujenzi wa viwanda unaendelea huko ndani wamesema watajenga viwanda popote panapofaa hawapangiwi pa kujenga

Cc mwijage
 
stephot

JF-Expert Member
Mar 1, 2012
12,027
2,000
Nenda Hospitali kapime choo kikubwa,malaria,typhoid,UTI na vidonda vya tumbo
 
dist111

JF-Expert Member
Nov 29, 2012
3,380
2,000
Aisee nilikuwa na hili tatizo 4months ago, lilikuwa linaunguruma mpaka aibu, ila ss limeisha automatically. the only difference ni kuongezeka kwa mboga za majani kwenye mlo wangu.

U can try it n see.
 
MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
40,502
2,000
Habarini wakuu ama kichwa kinavyojieleza nahitaji msaada wa tatizo langu la tumbo kuunguruma mara kwa mara.

Je inaweza kuwa ni tatizo gani na dawa yake ni nini? kwan kila nikienda hospital sipati majibu wala dawa ya kuharisha!
Tumia punje 2 za kitunguu saumu tafuna umeze na glasi 1 ya maji ya uvuguvugu asubuhi mchana na usiku tumia siku 3 ikiwa bado haujapona nitafute kwa wakati wako nipate kukutibia upate kupona.Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe.fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169 Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili mzizimkavu. Au boonyeza hapa.Mzizi Mkavu

DAWA YA TUMBO KUUNGURUMA GASI.jpg
 
Sawa mkuu ngoja nifanye hivyo
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom