Historia fupi ya deni la Stirling Civil Engineering Ltd

Nadhani huyu amevunja rekodi na kuwa binadamu wa kwanza tokea kuumbwa kwa Tanganyika na Tanzania kuzalisha hasara kubwa kiasi hicho kwa kiburi chake. Hili haliwezi kupita hivi hivi, kama sio 2021 basi majaliwa 2026 lazima tutabadili kipengele fulani katika katiba ili mtu fulani akaone kule segerea kukoje.
Kama mjanja angeanza kuboresha miundo mbinu ya Segerea au Ukonga maana yatakuja kuwa makazi yake ya kudumu. 90 bilioni ziende hivi hivi kijinga? Halafu unakashfu watu! Ngoja siku wale walioitwa wapumbavu wakawa ndio wenye kuangalia hatima yake na kupata majibu kwa nini majani ya mchicha ni mboga na sio ya bangi
Hizi ni ndoto za mchana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukifuatilia muhtasari wa hii hadithi ya Bilioni 90 (87) unachukia sana....

Tulipovunja mkataba wa kandarasi yao ya ujenzi wa barabara ya Wazo Hill hadi Bagamoyo (kibabe), Stirling Civil Engineering Ltd, wakatupeleka mahakamani.>>>> (TUKASEMA HATUTISHWI)

Tarehe 10 Desemba, 2009 - Mahakama ya Usuluhishi ya Paris ikaamuru tuwalipe fidia ya hasara tuliyowasababishia kwa kiburi chetu, ya dola za Marekani milioni 25 (Takribani Shilingi Bilioni 40 wakati huo) >>>> TUKAGOMA!

Serikali yetu ikakata Rufaa, tarehe 10 Juni 2010 hukumu ya rufaa ikasomwa, tukapigwa chini. Tukaamuriwa kuilipa kampuni hiyo fedha hizo vinginevyo kila mwaka mmoja utakaohesabiwa tutalipa na riba ya asilimia 8. >>>>TUKADHARAU!

Kutokana na ucheleweshaji wa malipo, deni hilo limeongezeka hadi dola za Marekani milioni 38.7 kufikia tarehe 30 Juni, 2017. Hii ni sawa na takribani shilingi Bilioni 90 za Tanzania. >>>> TUKAENDELEA KUGOMA!

Mwezi Julai 2017, kampuni inayotudai imekamata ndege yetu, 'Bombadier Dash Q400' - sharti la kurudishiwa ndege yetu (isipigwe mnada) ni sisi kulipa hizo shilingi bilioni 90. >>>> NDIYO TUMEKUMBUKA KUWAPIGIA MAGOTI!

[Tayari Waziri Mahiga amewaomba Stirling Construction tuwalipe Bilioni 30 (kama advance payment) waachie ndege yetu wakati mazungumzo mengine ya namna ya kumalizia deni lililobaki yakiendelea. Halafu kuna watu bila aibu wanasema Lissu ndiye sababu ya ndege yetu kukamatwa. Hivi Lissu anahusikaje hapa?]

Ninajiuliza hivi akili zetu tumemgawia mwekezaji gani?

Yani tunakwenda kuwalipa watu Bilioni 90, za bure [kwa uzembe wa mtu mmoja aliyevunja mkataba kwa kukurupuka.!]

Bilioni 90 ni sawa na Magari 3,000 ya Wagonjwa (Ambulances) na yangeliweza kugawiwa kila kata ya Tanzania.

Bilioni 90 ni sawa na matrekta 1,500 ya kisasa na tungeliweza kuyagawa kwa nusu ya kata za Tanzania na kwa miaka mitano idadi ya Makumi Elfu ya wakulima wangefaidika.

Bilioni 90 ni pesa nyingi sana, mno! Lakini zinakwenda kupotea hivi hivi, na wanaoohusika na kiburi kilichopelekea hasara hii siyo tu kwamba wamekataa kujiuzulu au kuomba radhi! Bali wanatumia nguvu kubwa zaidi kutaka umma uamini kuwa wao ni "watakatifu" na "hawafanyi makosa makubwa kama haya."

Tungekuwa na watu wenye utu wangelitoka hadharani, wangekiri makosa yao, wakajiuzulu na kuomba wasishtakiwe. Kinyume chake, waliotutia hasara hii ndo wako mstari wa mbele kuwatisha waliofichua KASHFA hii.
Hiyo sio historia mkuu, hiyo ni simulizi.

Ni ukweli ulio wazi kuwa tatizo ni tundu lisu. Anasaidiana na baadhi ya watendaji wa serikali kuvujisha siri za serikali na yeye kuzitumia kuuza nchi.

Watu kama hawa hata Marekan wapo lakin adhabu zao huwa zinajulikana dunian kote. Na yeye pia asubiri tu adhabu yake.

Kuna uzi apa unaeleza kuwa bado anaendelea kufanya mazungumzo na ujumbe wa barick kuwashawishi waachane na mazungumzo wafungue kesi na yy atawasaidia. Sasa jiulize atawasaidiaje kama sio kutumia government officials wasio waaminifu na ambao tayari washajulikana.

Ndio maana maamuzi ya magu kuondoa serikali watu wote wenye akili za kipuuzi kama za tundu lisu ni sahihi. Tena sahihi zaid.

Kila nchi inao watu wa aina hiyo. Na nchi ikitaka iwe salama na iweze kufanikiwa lazima I deal na watu wa aina hiyo. Iwe na mbinu za Ku deal na watu wa aina hiyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukifuatilia muhtasari wa hii hadithi ya Bilioni 90 (87) unachukia sana....

Tulipovunja mkataba wa kandarasi yao ya ujenzi wa barabara ya Wazo Hill hadi Bagamoyo (kibabe), Stirling Civil Engineering Ltd, wakatupeleka mahakamani.>>>> (TUKASEMA HATUTISHWI)

Tarehe 10 Desemba, 2009 - Mahakama ya Usuluhishi ya Paris ikaamuru tuwalipe fidia ya hasara tuliyowasababishia kwa kiburi chetu, ya dola za Marekani milioni 25 (Takribani Shilingi Bilioni 40 wakati huo) >>>> TUKAGOMA!

Serikali yetu ikakata Rufaa, tarehe 10 Juni 2010 hukumu ya rufaa ikasomwa, tukapigwa chini. Tukaamuriwa kuilipa kampuni hiyo fedha hizo vinginevyo kila mwaka mmoja utakaohesabiwa tutalipa na riba ya asilimia 8. >>>>TUKADHARAU!

Kutokana na ucheleweshaji wa malipo, deni hilo limeongezeka hadi dola za Marekani milioni 38.7 kufikia tarehe 30 Juni, 2017. Hii ni sawa na takribani shilingi Bilioni 90 za Tanzania. >>>> TUKAENDELEA KUGOMA!

Mwezi Julai 2017, kampuni inayotudai imekamata ndege yetu, 'Bombadier Dash Q400' - sharti la kurudishiwa ndege yetu (isipigwe mnada) ni sisi kulipa hizo shilingi bilioni 90. >>>> NDIYO TUMEKUMBUKA KUWAPIGIA MAGOTI!

[Tayari Waziri Mahiga amewaomba Stirling Construction tuwalipe Bilioni 30 (kama advance payment) waachie ndege yetu wakati mazungumzo mengine ya namna ya kumalizia deni lililobaki yakiendelea. Halafu kuna watu bila aibu wanasema Lissu ndiye sababu ya ndege yetu kukamatwa. Hivi Lissu anahusikaje hapa?]

Ninajiuliza hivi akili zetu tumemgawia mwekezaji gani?

Yani tunakwenda kuwalipa watu Bilioni 90, za bure [kwa uzembe wa mtu mmoja aliyevunja mkataba kwa kukurupuka.!]

Bilioni 90 ni sawa na Magari 3,000 ya Wagonjwa (Ambulances) na yangeliweza kugawiwa kila kata ya Tanzania.

Bilioni 90 ni sawa na matrekta 1,500 ya kisasa na tungeliweza kuyagawa kwa nusu ya kata za Tanzania na kwa miaka mitano idadi ya Makumi Elfu ya wakulima wangefaidika.

Bilioni 90 ni pesa nyingi sana, mno! Lakini zinakwenda kupotea hivi hivi, na wanaoohusika na kiburi kilichopelekea hasara hii siyo tu kwamba wamekataa kujiuzulu au kuomba radhi! Bali wanatumia nguvu kubwa zaidi kutaka umma uamini kuwa wao ni "watakatifu" na "hawafanyi makosa makubwa kama haya."

Tungekuwa na watu wenye utu wangelitoka hadharani, wangekiri makosa yao, wakajiuzulu na kuomba wasishtakiwe. Kinyume chake, waliotutia hasara hii ndo wako mstari wa mbele kuwatisha waliofichua KASHFA hii.
Mimi nilijua utatuletea ni jinsi gani au ni sababu gani iliyofanya huo mkataba ukavunjwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna kitu apoo hiyo historia hainaa mashiko ya ainaa yoyotee tupige mdomo tuu anae mpinga Magufuri ni kibaraka wa wakoloni mamboleo ndiyo anayo yaleta lissu sasa ivii tafuta Mada nyingine haunaa takwimu za unacho semaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Mungu awasaidie sana vijana wa Lumumba sijui familia zenu mnaziongoza vp,shame on you...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Historia mbona haionyeshi mkataba uliingiwa lini?
Historia haionyeshi mkataba ulivunjwa lini?
Historia haionyeshi thamani ya mkataba uliovunjwa lini...
Historia haionyeshi waliovunja mkataba ni kina nani...

Historia imerukia kwenye maamuzi ya Mahakama na Rufaa
Ndege imeshikiliwa au haijashikiliwa?
Jibu hapo....kama unataka statistics nenda wizarani na kwa mwanasheria mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo siyo Magufuli bali mfumo.

Au hii excuse ilikuwa kwa Mamvi pekee.
 
Majibu ya serikali kuoitia Zamaradi Kawawa yamenifanya nijisikie vibaya sana kwa jinsi wenye nchi wanavyotuchukulua wananchi kuwa duni, hatuna uwezo wa kuchuja na kuatafakari. So sad!

Vv
 
Hili liko tofauti kidogo na maamuzi mengine yaliyopata kutugharimu huko nyuma kama Dowans, meli ya samaki. Swali linalopasa kuulizwa na kujibiwa ni je, AG alikuwa wapi wakati serikali inavunja mkataba bila kufuata utaratibu? Kama ushauri wake ulipuuzwa na yeye hakujiuzulu; na kama kweli tumedhamiria 'kuinyoosha' nchi basi huyu ndiye mtu wa kufunguliwa mashtaka ya uhujumu uchumi.
 
Hakuna kitu apoo hiyo historia hainaa mashiko ya ainaa yoyotee tupige mdomo tuu anae mpinga Magufuri ni kibaraka wa wakoloni mamboleo ndiyo anayo yaleta lissu sasa ivii tafuta Mada nyingine haunaa takwimu za unacho semaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Bigot,Hata uone watanzania wanateketea kwa ufukara unaoletwa na siasa mbovu za CCM wewe bado utampigia makofi Magufuli.kwavile wewe unanufaika na utawala,huwajali kabisa wa Tanzania wa hali ya chini alimradi yako yankuendea....,shame on you

lete Historia yako yenye mshiko .....
 
Huyu wa kunyonga maana hasara syo hyo tu hata hii bomobomoa kimara italeta hasara nyingine,sheria ya 2007 INA apply hata kwa MTU alojenga 1980+ ?bado meli ya samaki,bado MV DSM nk,halafu eti watanzania kwa upofu tunakaa foleni kumpigia kura
Mkuu litania ni kubwa! Bado watumishi waliofukuzwa kazi kipuuzi, bado sheli zilizovunjwa hovyoo Mwanza, nk. Hii ni laana kwa nchi badala ya baraka!
 
Ukifuatilia muhtasari wa hii hadithi ya Bilioni 90 (87) unachukia sana....

Tulipovunja mkataba wa kandarasi yao ya ujenzi wa barabara ya Wazo Hill hadi Bagamoyo (kibabe), Stirling Civil Engineering Ltd, wakatupeleka mahakamani.>>>> (TUKASEMA HATUTISHWI)

Tarehe 10 Desemba, 2009 - Mahakama ya Usuluhishi ya Paris ikaamuru tuwalipe fidia ya hasara tuliyowasababishia kwa kiburi chetu, ya dola za Marekani milioni 25 (Takribani Shilingi Bilioni 40 wakati huo) >>>> TUKAGOMA!

Serikali yetu ikakata Rufaa, tarehe 10 Juni 2010 hukumu ya rufaa ikasomwa, tukapigwa chini. Tukaamuriwa kuilipa kampuni hiyo fedha hizo vinginevyo kila mwaka mmoja utakaohesabiwa tutalipa na riba ya asilimia 8. >>>>TUKADHARAU!

Kutokana na ucheleweshaji wa malipo, deni hilo limeongezeka hadi dola za Marekani milioni 38.7 kufikia tarehe 30 Juni, 2017. Hii ni sawa na takribani shilingi Bilioni 90 za Tanzania. >>>> TUKAENDELEA KUGOMA!

Mwezi Julai 2017, kampuni inayotudai imekamata ndege yetu, 'Bombadier Dash Q400' - sharti la kurudishiwa ndege yetu (isipigwe mnada) ni sisi kulipa hizo shilingi bilioni 90. >>>> NDIYO TUMEKUMBUKA KUWAPIGIA MAGOTI!

[Tayari Waziri Mahiga amewaomba Stirling Construction tuwalipe Bilioni 30 (kama advance payment) waachie ndege yetu wakati mazungumzo mengine ya namna ya kumalizia deni lililobaki yakiendelea. Halafu kuna watu bila aibu wanasema Lissu ndiye sababu ya ndege yetu kukamatwa. Hivi Lissu anahusikaje hapa?]

Ninajiuliza hivi akili zetu tumemgawia mwekezaji gani?

Yani tunakwenda kuwalipa watu Bilioni 90, za bure [kwa uzembe wa mtu mmoja aliyevunja mkataba kwa kukurupuka.!]

Bilioni 90 ni sawa na Magari 3,000 ya Wagonjwa (Ambulances) na yangeliweza kugawiwa kila kata ya Tanzania.

Bilioni 90 ni sawa na matrekta 1,500 ya kisasa na tungeliweza kuyagawa kwa nusu ya kata za Tanzania na kwa miaka mitano idadi ya Makumi Elfu ya wakulima wangefaidika.

Bilioni 90 ni pesa nyingi sana, mno! Lakini zinakwenda kupotea hivi hivi, na wanaoohusika na kiburi kilichopelekea hasara hii siyo tu kwamba wamekataa kujiuzulu au kuomba radhi! Bali wanatumia nguvu kubwa zaidi kutaka umma uamini kuwa wao ni "watakatifu" na "hawafanyi makosa makubwa kama haya."

Tungekuwa na watu wenye utu wangelitoka hadharani, wangekiri makosa yao, wakajiuzulu na kuomba wasishtakiwe. Kinyume chake, waliotutia hasara hii ndo wako mstari wa mbele kuwatisha waliofichua KASHFA hii.
Lissu alitoa taarifa zote kuhusiana na ndege hiyo. Lissu ni msaliti full stop!!
 
"Nilipe NISEPE" BELLE 9[emoji446][emoji441][emoji442][emoji443][emoji344][emoji445][emoji443][emoji448][emoji450]

May Allah bless Me and You
 
Back
Top Bottom