Recent content by Pukudu

  1. Pukudu

    Kuna walimu naona wanapiga vyombo sana hapa bar,vipi mambo tayari?

    Posho ya usimamizi mitihani std 7, au hela za nauli ndo zimetoka
  2. Pukudu

    Natafuta makanisa ya zamani katika jimbo la Arusha

    Kanisa kongwe Arusha ni La Anglican high church maarufu kama Christ church liko uzunguni ni la 1930’s huko, lingine ni kanisa la Lutheran Ilboru karibia na Ilboru sec lilikuwa la Tofali za kuchoma sijui kama bado lipo! Mengine ni Lutheran Enaboishu na kwa Meru ni kule hospital ya Lutheran...
  3. Pukudu

    Natafuta makanisa ya zamani katika jimbo la Arusha

    Kanisa kongwe Arusha ni La Anglican high church maarufu kama Christ church liko uzunguni ni la 1930’s huko, lingine ni kanisa la Lutheran Ilboru karibia na Ilboru sec lilikuwa la Tofali za kuchoma sijui kama bado lipo! Mengine ni Lutheran Enaboishu na kwa Meru ni kule hospital ya Lutheran...
  4. Pukudu

    Naombeni ushauri kwa mtoto anayesumbua kula!!

    Sana sana uwe unampatia vyakula vitamu! Halafu jua chakula anachopenda sana! Awe anapikiwa mara kwa mara! Mimi mwenyewe nilikuwa na tatizo la kutokula nilikuwa mwembamba mno hata sasa sio mnene! Hali huto ilifanya wazazi wasiwe wanasafiri na mimi! Mara nyingi wao na ndg zangu walisafiri likizo...
  5. Pukudu

    TANZIA Mwanamieleka maarufu Hulk Hogan amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 71, WWE imethibitisha

    Mimi nmemuona miaka ya 90 na kina Shawn Michael’s Undertaker, Public Enemy, Ric Flair nk kipindi hi ho tuli kiwa tunaona kupi tia “satelite dishes” Yale maungo meusi World Cup 90 Italia tumeiona tukiwa nyumbani kupitia madishi so ni possible pia kuna watu waliwaona 70’s na 80’s
  6. Pukudu

    Karatu kuna hoteli za kutosha kupokea timu 4?

    Karatu ipi unaizungumzia hoi karatu ilyojaa mahoteli maku wa ya kitalii au karatu nyingine??? Pale karatu kabury tu Ana lodge 3 za hadhi ya nyota 3! Karatu kuna hotel kali za kitalii kuliko hats Singida, Tabora na Shinyanga combined
  7. Pukudu

    Stori gani ya wizi au wezi uliwahi isikia au kuhishuhudia ukacheka sana

    Nakumbuka miaka ya mwishoni 1990’s wimbi la wizi wa majumbani lilikuwa limeshamiri sana Arusha, kipindi kile walikuwa wanatembea kundi la wezi Kati ya 40-50. Sasa wakawa wamevamia nyumba za jirani sisi tukawa tumeamka dingi hakuwepo alikuwa safari, kijana mkubwa aliyekuwepo alikuwa ni baba mdogo...
  8. Pukudu

    GE2025 Za ndani kutoka CCM zinaeleza kuwa Emmanuel Nchimbi muda wowote anaachia ngazi kwa kujiuzulu

    Kama ni hivyo tuhuma za kuharibu uchaguzi wa CCM kwa kulazimisha watu wa timu EL (Ngonyani) wapitishwe kwenye ubunge ni za kweli muda sio mrefu Orioo Mzee wa Anjera from Nzega atafatia
  9. Pukudu

    CEO wa Simba Uwayezu Francois Regis ateuliwa na Kagame kuwa katibu wizara ya michezo nchini Rwanda.

    Ndiyo Mariam mtoto wa Mwalimu Masenge na dentist (Dr. Masenge) kuzaliwa Arusha na kukulia Arusha Sanawari Ni Wahangaza wa Ngara ulitaka kusema nini Kwani??
  10. Pukudu

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Hata mm nataka kujua ess ni jipu
  11. Pukudu

    Karne ya 21 Katibu Mkuu wa CWT alikuwa mwalimu wa Daraja la 3A?

    Mwalimu mwenye degree ni mwalimu daraja C Atakuwa daraja 1C,2C, 3C nk kutegemea na muda wa utumishi wake Mwalimu mwenye diploma ni mwalimu daraja B Atakuwa daraja 1B,2B, 3B nk kutegemea na muda wa utumishi wake Mwalimu mwenye cheti (grade A)ni mwalimu daraja A Atakuwa daraja 1A,2A, 3A nk...
  12. Pukudu

    Kuna wimbi kubwa la watu wanaozaliwa mjini hawana ukaribu na vijiji vyao na watoto wao hawajui asili yao

    Kosa la Nani sasa? Mfano mimi mama yangu (Marehemu) alizaliwa na kukulia Shinyanga mjini mtaa wa viwandani! Mama yake (Bibi) na baba yake (babu) washafariki hpo nyumbani hakunaga mtu tena nyumba iliyokuwepo imepangishwa ndugu wote wako sehemu tofauti tofauti. Upande wa baba baba yangu alizaliwa...
  13. Pukudu

    Hivi Makosa wa Iringa bado yupo?

    Namkumbuka Makosa last time alikuwa na kibar kinaitwa makosa hyo 2007/08
  14. Pukudu

    Mwenye ufahamu na Shinyanga Girls

    Shule mpya ipo Butengwa kabla ya kufika Old shinyanga
  15. Pukudu

    Mke wa Makonda ni Raia wa nchi gani?

    Mke wa Makonda Miriam ni Muhangaza Kazaliwa na kukulia Arusha! Mama yake ni mwalimu Masenge Amekuwa mwalimu mkuu wa shule za Sanawari na Kijenge na baba yake ni Dr. Masenge dentist maarufu tu hapa Arusha
Back
Top Bottom