Habar wana JF!
Hivi nmakosa kama rafiki yangu hamjui Mh Lissu ..kisha nikamtumia picha yake?
- Mbona wikipedia hakuna picha ya rais wa pili wa Zanzibar?
Je kama mie ninayo naweza kuwatumia?
Au ni jinai kuiweka sehemu yeyote...hasa kumuonesha rafiki au jamii ...ni kwa nia nzuri tu...ili...
Habari.
Nmesikia Mtangazaji aliekua akiripoti habari za BBC wa hapa kwetu Bongo amefariki leo asubhi.
Source: Radio Tumain, mtangazaji wakati wa kipindi cha magazeti...nae ametumiwa msg! Akaisoma on air.
Hii ikikutokea tena usijibishane nao...wewe tafuta ofisi zao hapo ukawajuze maboss wao. Lakin ukiondoka eneo hilo ndio ukawalalamikie they don't care for you! Watakwambia unawasingizia!
Hiyo ilinitokea japo hawakunichania bag ila waliharib lock sikugundua mpaka nlipofika home...nlipoenda...
alisimama jamaa mmoja yeye aliweka sawa neno ''miaka 50 ya uhuru wa Tanzania'' akawaeleza si kweli. Maana tanganyika ndio ilipata uhuru kabla ya muungano wa nchi ya Zanzibar. Hivyo waseme ni miaka 50 ya uhuru wa Nchi ya Tanganyika. Ilikua nzuri sana.
Baba mwingine kutoka kanda ya ziwa huko mwanza...anasema wazee hasa waliopo kijijin ndio wenye mali lakin hawawezeshwi kupewa mikopo. Ilhali wao ndio wenye mifugo mingi na mashamba makubwa makubwa.
mama mwingne kutoka moshi anawalaum wanaowanyamanzisha wale wafuatailiaji...amesema hawataki tena hiyo tabia. Kama nikupewa pension wapewe wote. Pia hawahitaji maneno yao ya kusema ''tupo kwenye mchakato'' aksema hayo maneno yasemwe huku wao wanapewa chao.
Habari JF!.
Naangalia kipindi hicho...mama mmoja kutoka kigoma wilaya ya kasulu....amewachana ...yaan wazee wanalalamika kutengwa na kunyanyaswa...wanahitaji muwakilishi wao mjengoni.
..nami nlipita kama miezi miwili nyuma kutokea cvu...nlipofika kona ya kuingigia ocean road nkaliona hilo tangazo lao...lakin lilikataza mda wa jion si asubhi. Nkajua hao askar huwa hawana taratib za kufuata sheria wao hufuata amr wanazopewa...nkakunja kulia sikunyoosha!
Pole member!.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.