Kibunango
Platinum Member
- Aug 29, 2006
- 8,420
- 2,271
Points taken, lkn lile joto ...MMHmDawa yao unaongea kiingereza tu! Akikusalimu wewe mkate lugha anakuacha.Mbinu hii imenisaidia nakatiza..tu.halafu ukiwa umevaa nadhifu suti ya nguvu wanakuwa na wasi wasi na wewe hata kukubebea mizigo yako na kukuwekea kwenye usafiri wako pale nje. Vaa Tshirt na jeans, ama kaptura na malaba lazima wahangaike na wewe.
Kuna siku nilivaa T-shirt, na nilikuwa nimefuatana na Mghana ambae alivaa nguo zao za kighana na dada mmoja wa kizungu. Wenzangu walikenuliwa mimeno nami nikazuiwa na kuanza kuulizwa maswali ya ajabu ajabu.
Moja ya swali ambalo mpaka leo linanikera moyoni ni pale waliponiuliza nimekuja kufanya nini Tanzania? ilhali nina pasipoti ya Kitz!