ITV kipindi cha malumbano ya hoja! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

ITV kipindi cha malumbano ya hoja!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by PSYCHOLOGY, Oct 27, 2011.

 1. P

  PSYCHOLOGY Senior Member

  #1
  Oct 27, 2011
  Joined: Feb 10, 2011
  Messages: 177
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Habari JF!.
  Naangalia kipindi hicho...mama mmoja kutoka kigoma wilaya ya kasulu....amewachana ...yaan wazee wanalalamika kutengwa na kunyanyaswa...wanahitaji muwakilishi wao mjengoni.
   
 2. P

  PSYCHOLOGY Senior Member

  #2
  Oct 27, 2011
  Joined: Feb 10, 2011
  Messages: 177
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mama mwingne kutoka moshi anawalaum wanaowanyamanzisha wale wafuatailiaji...amesema hawataki tena hiyo tabia. Kama nikupewa pension wapewe wote. Pia hawahitaji maneno yao ya kusema ''tupo kwenye mchakato'' aksema hayo maneno yasemwe huku wao wanapewa chao.
   
 3. P

  PSYCHOLOGY Senior Member

  #3
  Oct 27, 2011
  Joined: Feb 10, 2011
  Messages: 177
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Baba mwingine kutoka kanda ya ziwa huko mwanza...anasema wazee hasa waliopo kijijin ndio wenye mali lakin hawawezeshwi kupewa mikopo. Ilhali wao ndio wenye mifugo mingi na mashamba makubwa makubwa.
   
 4. P

  PSYCHOLOGY Senior Member

  #4
  Oct 27, 2011
  Joined: Feb 10, 2011
  Messages: 177
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  alisimama jamaa mmoja yeye aliweka sawa neno ''miaka 50 ya uhuru wa Tanzania'' akawaeleza si kweli. Maana tanganyika ndio ilipata uhuru kabla ya muungano wa nchi ya Zanzibar. Hivyo waseme ni miaka 50 ya uhuru wa Nchi ya Tanganyika. Ilikua nzuri sana.
   
 5. Safety last

  Safety last JF-Expert Member

  #5
  Oct 27, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 4,224
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Dondosha data wengine tupo kwenye kilauri mkuu.
   
 6. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #6
  Oct 27, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Huku kwe2 Arusha mtaa Sakina ITV haionekanigi ni mwezi wa pili sasa. Haina masaada kwa Watanzania wazalendo. Ni mzigo tu! Na cjui Meghi kama anajua hili.
   
Loading...