Majaji wa rufaa tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Majaji wa rufaa tanzania

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by CHUAKACHARA, Oct 7, 2011.

 1. C

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #1
  Oct 7, 2011
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,206
  Likes Received: 3,828
  Trophy Points: 280
  Wapendwa, naomba kujua majina ya majaji wa MAHAKAMA YA Rufaa tANZANIA wa sasa .
   
 2. E

  EMERALD Member

  #2
  Oct 7, 2011
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  MAJINA YAO NA SENIORITY NI AS FOLLOWS:-
  1. Mohamed Chande Othman CJ
  2. Eusebia N Munuo
  3. Harold Nsekela
  4. January Msofe
  5. Edward Rutakangwa
  6. Angela Kileo
  7. Nathalia Kimaro
  8. Laurean Kalegeya
  9. Mbarouk Mbarouk
  10. Steven Bwana
  11. Bernard Luanda
  12. Sauda Mjasiri
  13. Salum Massati
  14. William Mandia
  15. Katherine Oriyo
   
 3. lukindo

  lukindo JF-Expert Member

  #3
  Oct 7, 2011
  Joined: Mar 20, 2010
  Messages: 7,892
  Likes Received: 6,086
  Trophy Points: 280
  huyo (red) ndiye kiranja wao mkuu, inaelekea 'ataleta' mabadiliko makubwa sana katika mfumo wa sheria za nchi yetu!
   
 4. C

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #4
  Oct 7, 2011
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,206
  Likes Received: 3,828
  Trophy Points: 280

  Asante sana mpendwa.
   
 5. P

  PSYCHOLOGY Senior Member

  #5
  Oct 26, 2011
  Joined: Feb 10, 2011
  Messages: 177
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Namba 8 nampa big up!
   
 6. Ngambo Ngali

  Ngambo Ngali JF-Expert Member

  #6
  Oct 27, 2011
  Joined: Apr 17, 2009
  Messages: 3,196
  Likes Received: 135
  Trophy Points: 160
  Huyu bwana amestaafu, sio jaji wa rufaa tena
   
 7. b

  beware Member

  #7
  Oct 31, 2011
  Joined: Oct 15, 2011
  Messages: 29
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  sio kwamba amestaafu tu,bali amestaafu miaka mitano kabla ya muda wa kisheria na katika barua yake akamuleza rahisi kwamba pamoja na sababu za kiafya hawezi kuendelea kuangalia mahakama ikimfia mkononi na haoni tena mtu wa kufanya nae kazi.
   
Loading...