tiGO mtavunja ndoa za watu!

DASA

JF-Expert Member
Jan 6, 2011
1,031
301
Jamani tiGo hebu jirekebisheni upesi, hii imezidi sasa!!, wife yupo nje ya nchi ananitumia msg then mi nareply kumbe msg zangu hazipati na wakati hela nyie mmeshakata, siku ya kwanza wife alidhani mi nimemchunia mpaka usiku alipoamua kunipigia simu na kuanza kulalamika. Jamani hebu wekeni mambo yenu sawa, halafu na hizo hela mnazokata zinaniuma sana, ni hela nyingi, muwe vilevile na utaratibu wa kurudisha hizo pesa.

Agrrrrrrrrrrrrrr!!!!!!!!!!!!!!
 
Tangu lini tigo wanaweza rusha meseji nje ya mipaka hii.
Hamia haraka sana.
OTIS.
 
Tigo ukivuka mpaka wa tanzania huna mawasiliano tena!hata kenya hupati kitu.airtel popote duniani unapata mawasiliano
 
poleni sana wahanga wenzangu mliokuwa mmelizwa na tigo pesa kwa mfumo wa kununua muda wa hewani. Nilipatwa na mkasa huo takribani wiki moja iliyopita kwa kiasi cha zaidi ya tsh. 20,000/. Nililipoti tatizo hilo kwa ofisi za tigo pale mlimani city wale warembo wakanishauri niorodheshe jina langu, namba yangu na kiasi kilichokwamishwa na mtandao, sikusita nami nilikuta orodha ndefu sana nami pia nikatia jina langu. Nimekaa kwa muda sasa lakn leo tigo wamenitumia ujumbe wa kuniomba radhi na salio langu limeongezeka kwa kile kiwango ambacho kilikwamishwa na mtandao.

Poleni sana tigo kama kweli mtandao wenu umeingiliwa na hackers, lkn kama ni uzembe wenu no thanks on this foolish!

Naomba sana wadau ambao wamelizwa kwenda manualy ofisi za tigo kila kitu kipo poa.
 
umefanya vizuri kutoa feedback baada ya kutatuliwa tatizo lako.wengi husahau wakimaliza shida zao
 
Huu ndio usumbufu usiotakiwa huu.
Wamesababisha usumbufu wa kiasi gani mpaka warudishe hiyohiyo hela iliyoshindikana?
Jana nimenunua Luku karibia mara 4, kila nkinunua inakataa.
Mwisho inakuja kuniletea meseji kibao za ule umeme uliokataa.
Sasa nina meseji za umeme wa karibia laki 1 na nusu, hiyo hela si ningefanyia kitu kingine?
 
hivi bado tu mnatumia huu mtandao jamani.....!!!!!!?????? aaaaaggrrrrr......hamia airtel wewe ndugu jamaa na marafiki ufurahie mtandao unolipa kodi bana ebo....ubishi tu bana...
 
Unashaangaaaa tigo meseji wenzio tunalia na gharama kubwa kupiga tigo-tigo, Mimi airtel! Hamia sasa!
 
Tigo ni wezi wa nje nje, hawana ustaarabu kabisa nasikia wanashindwa kulipa mishahara kwa muda
 
Tigo ukivuka mpaka wa tanzania huna mawasiliano tena!hata kenya hupati kitu.airtel popote duniani unapata mawasiliano
Japo siku hizi wamezidiwa...na wizi ni mwingi. Siwezi hama ajili ya kupatikana nje ya nchi. Kwan nautumia nkiwa hapa hapa ndani ya nchi.
 
jamani twende nao taratibu mambo ya teknolojia niyakuja tu,, kumbukeni hata benki sometym tunakosa hela kwenye atms kwasababu za kiteknolojia tuu. Tz ni nchi ya dunia ya tatu, hata cia inaibiwa na inavurugwa na wikliks. Poleni wahanga wenzangu
 
Huu ndio u$€N*€ usiotakiwa huu.
Wamesababisha usumbufu wa kiasi gani mpaka warudishe hiyohiyo hela iliyoshindikana?
Jana nimenunua Luku karibia mara 4, kila nkinunua inakataa.
Mwisho inakuja kuniletea meseji kibao za ule umeme uliokataa.
Sasa nina meseji za umeme wa karibia laki 1 na nusu, hiyo hela si ningefanyia kitu kingine?

Pole sana kwa hilo lakini utakuja kufurahia matumizi ya umeme huo hapo baadae pamoja na kuwa wamekuharibia budget yako
 
Jamani tiGo hebu jirekebisheni upesi, hii imezidi sasa!!, wife yupo nje ya nchi ananitumia msg then mi nareply kumbe msg zangu hazipati na wakati hela nyie mmeshakata, siku ya kwanza wife alidhani mi nimemchunia mpaka usiku alipoamua kunipigia simu na kuanza kulalamika. Jamani hebu wekeni mambo yenu sawa, halafu na hizo hela mnazokata zinaniuma sana, ni hela nyingi, muwe vilevile na utaratibu wa kurudisha hizo pesa.

Agrrrrrrrrrrrrrr!!!!!!!!!!!!!!

kumbe tigo wako jf? Au una jingine?
 
tcra kazi yao nini au ndio wanalipwa na haya makampuni alafu wanakaa kimya hata ukilogde complain haifanyiwi kazi....fuk tigo..fuk voda and fuk all the phone companies that steal from people..let hack their system and make them pay watu wenyewe wanakwepa kodi halafu ndio wezi...hamia zaini
 
Zain hawana sera. Walikuwa na wateja wengi tu lakini kiburi chao cha kuwa bei juu wateja wakahama na sasa wanaanza upya kukusanya wateja na kampeni 'hamia airtel' hatuji ng'oo! Fungeni mtandao wajanja wako Voda. Halaf hii tabia ya cm kuita unapokea unaambiwa karibu airtel na promo kibao sijui imetoka wapi bora namba ikiita ionyeshe airtel. Inaleta usumbufu sana.
 
tiGO ovyo wamepandisha gharama, ni afadhali Kuhamia Airtel hata kama gharama lakini Mawasiliano yao poa popote pale arround this global.
 
Back
Top Bottom