Recent content by PSPA Pure'12 udsm

  1. PSPA Pure'12 udsm

    Kufufua uchumi kupitia usindikaji wa mafuta: somo kutoka tiper na fursa ya sasa

    Katika kipindi hiki ambacho dunia inakumbwa na misukosuko ya kiuchumi inayochangiwa kwa kiasi kikubwa na migogoro ya kimataifa, hususan katika ukanda wa Mashariki ya Kati, nchi nyingi zinazoagiza mafuta zimejikuta zikikabiliwa na mfumuko wa bei, kupanda kwa gharama za uzalishaji, na kudorora kwa...
  2. PSPA Pure'12 udsm

    Uchunguzi umebainisha kuwa Ojwang hajajiua kama taarifa ya polisi ilivyoeleza awali bali ameuliwa

    Can you guess the results, if this Autopasy could have done by a pathologist from Tanzania in respect to police force being the Accussed side??? Kenyans, are very far ahead of TZ interms of governance and citizenship.
  3. PSPA Pure'12 udsm

    Short course gani ilibadili maisha yako?

    jifunze yafutayon utakuja kunishukuru; 1. Boda boda 2. kuuza juice 3. udalali. 4. ufundi gereji
  4. PSPA Pure'12 udsm

    SoC04 Vigezo na Masharti ya kushiriki katika Shindano la Stories of Change - 2024

    Ni zamu yangu kushinda ndugu zangu. mnanitumia hizo fedha kwenye simu au bank?
  5. PSPA Pure'12 udsm

    Bunge, Serikali na Mahakama, Sio Mungu, Sio Malaika, Zinaweza Kukosea!. Zinapokosea, Zina Wajibu Kurekebisha na Kutenda Haki, Vinginevyo Karma Will Do

    DPW wamebadilisha kabisa uelekeo wa siasa za mama na imani ya watanzania wengi imegawanyika. sio yeye tu, bali hata wasaidizi wake wengi, kwa ufupi serikali nzima wamegawanya mitazamo na imani. kuna wanaoendelea kuwaamini na wale wamepoteza kabisa matumani. Binafsi naona serikali haijachelewa...
  6. PSPA Pure'12 udsm

    Apandishwa mahakamani kwa madai ya kuitukana Serikali juu ya deni la Taifa

    Huyo mtuhumiwa kama ametukana hii serikali tukufu, sikivu na inayojali wananchi na kutimiza wajibu wake. Anastahili adhabu kali....
  7. PSPA Pure'12 udsm

    Naunga mkono suala la kubinasifisha Bandari ya Dar es Salaam

    kubinafsisha kupo kwa aina mbili. mojawapo ni kuwapa watu wa ndani na aina nyingine ni kuwapa wawekezaji wa nje. Hapa kweli tunaweza kuwawezesha wawekezaji wetu wa ndani na kuisimamia bandari na mashirika mengine yakaendeshwa kwa tija na kwa faida zaidi kuliko kuiachia serikali wakati kila mwaka...
  8. PSPA Pure'12 udsm

    Mchakato wa katiba mpya unapaswa kuanzia hatuza za awali.

    Sababu kubwa inayotolewa ya kwanini tunahitaji katiba mpya na si kufanya marekebisho kwenye katiba ya sasa, ni kwamba Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 haikushirikisha wananchi. Kama ni mapungufu yangefanyika marekebisho na kukidhi mahitaji ya sasa kama ambavyo Katiba ya...
  9. PSPA Pure'12 udsm

    Baadhi ya Vitabu nilivyosoma mwaka 2021 – Zitto Kabwe

    Nimemaliza mwaka kwa kuvunjiwa duka langu na wezi, na baada ya miezi 2 wakavunja nyumbani. Nafurahi naumaliza mwaka nikiwa mwenye afya tele na tabasamu usoni licha ya mapito mengi. Mungu akijaalia mwakani nitaendelea kusoma "Tumwabudu Mungu, na Biblia Takatifu" kama miaka mingine.
  10. PSPA Pure'12 udsm

    Chadema, P'se, Msisusie Mkutano wa Vyama, Wasilisheni Hoja Zenu Mezani, Zitamfikia Samia, Ana Nia Njema na Nchi Hii, Mpeni Ushirikiano!.

    Nawapongeza sana CHADEMA na NCCR kwa kugomea ushiriki kwenye kikao hiki haramu cha kuwasafishia njia watesi. Nchi imevimba toka 2015. Hakuna nafasi ya kupumua kwa wapinzani. Nia njema ya mama Samia ilipaswa kuonekana mwanzo kabisa kwa kukutana na Wapinzani kama Agenda yake ya mwanzo kabisa...
  11. PSPA Pure'12 udsm

    Mahakama yatupilia mbali mapingamizi ya utetezi, maelezo ya Mohamed Lingw'enya yapokelewa na Mahakama. Kesi kuu kuendelea Des. 15, 2021

    Ifike wakati hizo "Court sessions" ziwe broadcasted live tu kama majirani zetu Kenya...ili majaji kama wanapora haki ya mtu Umma ujue. Hata mambo ya kureport yanapotosha sana. Mahakama ilipaswa kuwa ndio chombo huru zaidi, na wazi zaidi kuliko mihimili mingine kwani ndiko sehem ya juu zaidi...
  12. PSPA Pure'12 udsm

    Mahakama yatupilia mbali mapingamizi ya utetezi, maelezo ya Mohamed Lingw'enya yapokelewa na Mahakama. Kesi kuu kuendelea Des. 15, 2021

    Huyu jaji mpya toka amefika, hajawahi rule against Oppressors. It's like hukumu anayo lkn anafata protocol tu..... Ngoja tuone leo kama kwa Mara ya kwanza atafanya kitu tofauti.
Back
Top Bottom