Yaani hawa HESLB wako na shida mahali na wala raisi hausiki hapo wanachotakiwa kufanya ni kutenda haki tuu yaani unachodaiwa ndo ulipe na wajitahd wawapate wanufaika wote na hiyo 6% waitoe kwasababu inaumiza isitoshe huo mkopo hukupewa kwa mkupuo bali kidogo kidogo kila mwaka
Hapo kukamata mali ndo pazuri lakini inaonekana waliopewa hayo mamlaka ikiwa ni pamoja na shirika la hifadhi ya jamii la taifa (NSSF) wameshindwa kuifanya kazi yao ipasavyo pamoja na Mahakama kuna mahali wanalega kwahyo wanatakiwa kushughulikiwa
Kwa kweli mimi nimemshangaa sana huyo kamanda wa polisi eti wanamtuhumu mganga kwa ubakaji mimi hata sioni hiyo kesi ya ubakaji ninachoona hapo ni urubuni na pengine labda utapeli
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani DAWA SIKO wamenichosha hizo ankara nahisi huwa wanazibuni manake waliniletea ankara kuubwa lakini nikisoma mita yangu bado haijafika huko nilipoenda kuwa uliza wakaniuliza mita yako sasa inasoma ngapi nikawatajia basi wakaniambia lipia ulichosoma sisi tutarekebisha halafu baadae nashangaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.