Lisu yeye alichanganya na physics?Think usiandike andike tu..!!
In general, lazima usome Arts subjects ili uwe lawyer baadae...!! Iko hivyo...!!
But, nimekwambia hapo juu, kama una memory nzuri, just kumbuka few of ur friends tokea O-level, A-level waliosomea Arts subjects, ni vi.la.za sana sana, of which wengi ni wanasheria leo...!! Take few mins, wakumbuke...!!
So, kutegemea umakini, kwa watu hao ni ngumu, wengi walikuwa maa.ndazi kweli..!!
Ni wachache sana walikuwa brilliant ktk masomo ya arts... mm hata siwakumbuki..!!