Recent content by Profkaka

  1. Profkaka

    JamiiForums Tanzania Nimekata tamaa na hii hali niliyonayo, uume hausimami

    Dr yupi ulimuona hapo agakhan?
  2. Profkaka

    JamiiForums Tanzania Kuna janga linaandaliwa vivuko vya Kigamboni, TEMESA chukueni hatua

    Panton ni shida asubuhi unatumia saa zima kusubiri pabton[emoji31]
  3. Profkaka

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri: Mume wa mtu niliyezaa naye watoto watatu amefariki na ameacha mali nyingi, nifanyaje kudai haki za wanangu pasipo Mume wangu kujua?

    Hayo malipo ya kumbambikia mumeo watoto wasio wake. Achana na hizo mali ndio sio tena riziki yako. Mwisho wa siku hata ndoa nayo utaikosa
  4. Profkaka

    JamiiForums Tanzania Nizingatie nini napotaka kununua kiwanja kutoka kwenye kampuni ya kuuza viwanja?

    Utajuaje kama eneo ni halali mkuu?
  5. Profkaka

    JamiiForums Tanzania Starehe yako kubwa ni ipi?

    Kujifunza vitu vipya
  6. Profkaka

    JamiiForums Tanzania Je, ushoga umeanza kukubalika Tanzania?

    Wewe ni mdau?
  7. Profkaka

    JamiiForums Tanzania Niliyojifunza kutoka ujenzi wa nyumba yangu ya kwanza

    Umejenga ndani ya mkoa upi?
  8. Profkaka

    JamiiForums Tanzania Ng'wanakapolo mwanamke aliyetetemesha Magu. Misukule yake ya Kihindi na Kizungu iliwashangaza wengi

    Unamkumbuka mganga anaitwa mwanagiti hapo magu?
  9. Profkaka

    JamiiForums Tanzania Ni wapi naweza kupata Kiwanja cha chini ya milioni 4 kwa Dar es Salaam?

    Futi 50 kwa 80 ni sqm ngapi?
  10. Profkaka

    JamiiForums Tanzania Tukumbushane Lugha ya Kifaransa

    C’est le bon weekend!!
  11. Profkaka

    JamiiForums Tanzania Tatizo la upele Kidevuni: Chanzo na matibabu yake

    Machine ipi nzuri kwa ajili ya kunyolea ndevu nyumbani?
  12. Profkaka

    JamiiForums Tanzania Ewe Mwanachuo, pitia hapa uepukane na aibu ya kuwa msomi

    Acha kupotosha uma hao matajiri wengi ni wasomi kuliko hao darasa la saba unawazungumzia wewe. Probability ya kutoboz na hiyo elimu yako ya darasa la saba ni ndogo sana otherwise utaishia kufanya biashara ndogo ndogo. Marehemu Dr Mengi alikuwa phd holder na exposure ya kutosha ambayo imemfanya...
  13. Profkaka

    JamiiForums Tanzania Tukumbushane Lugha ya Kifaransa

    Bonjour tout
  14. Profkaka

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta rafiki/mpenzi/mume ambaye ni Hiv +

    Kila la kheri pia unaweza kupata msaada kuna page inaitwa hiv_positive_living ipo insta huwa anasaidia watu wenye hali kama yako kupata wenza
  15. Profkaka

    JamiiForums Tanzania Hivi kumbe unaweza kuwa na ndoto ya kufanya kazi sehemu tangu ukiwa mdogo na usifikie hata robo? Basi usikate tamaa!

    Kuwa mvumilivu tu wakati wako ukifika utapata position ya juu zaidi huko NMB. Ni swala la muda tu. Changamoto ni lazima ukutane nazo ili ukomae.
Back
Top Bottom