Hivi kumbe unaweza kuwa na ndoto ya kufanya kazi sehemu tangu ukiwa mdogo na usifikie hata robo? Basi usikate tamaa!

Amomaker

Member
Aug 4, 2016
39
31
Habari wana jamvi!
Napenda kushare japo kwa ufupi story yangu naimani itatufunza na kupata Ushauri ambao hata mimi nitajifunza.

Nikiwa nina miaka 6 baba yangu alikuwa mwajiliwa wa taasisi moja na yeye mara kamoja moja sana tulikuwa tunaenda wote BANK(NMB) kutoa pesa kidogo kilicho kuwepo kwa matumizi ya nyumbani.binafsi ndipo nilianza kutamani kuja kuwa BANKER.

Nilipo ingia sekondali NYANDA ZA JUU KUSINI huko nilijikuta hamu yangu ya kuja kuwa banker NMB inaongeza sana sana nashindwa hata kueleza.

Nikiwa form one, nikaanza kwenda kwenye tawi lao moja na kuanza kuchukua vipeperushi vyao ili na mimi nijifunze (how NMB operate, na kujua Services ambazo wana-offer).nakumbuka nilipo rudi likizo nikatengeneza blog na kuweka tangazo la bank na ile blog ilitembelewa na thousands of people,si wengi ila at least.

Nikiwa form two Nilichanguliwa kuwa social Leader,siku moja nikiwa naenda mjini nimesimama barabarani ikaja Toyota Corolla old model ndani alikuwa amekaa baba mmoja akaniuliza unaelekea wapi?..nikamjibu naelekea makambako akasema Panda twende mwanangu.

Tulipo anza kutoka tu, ndani ya gari lake nikakuta documents za NMB, i was very surprised, nikajitambulisha na position yangu shuleni kwetu, nikamwomba aje atufungulie akaunti akaniahidi atakuja next week.

Wiki hiyo nikaanza kutoa shule ya umuhimu wa bank kwa wanafunzi na walimu(nikitumia vipeperushi nilivo chukua banki) na kwa wanakijiji kadhaa watakao hitaji tuwafungulie akaunti kwangu ilikuwa ndio Furaha yangu.

Huwezi amini wiki aliyo niahidi kuja bahati mbaya kwake sijajua nini kilitokea HAKUJA.nikasema hakuna shida siku nikipata chance ya kwenda mjini nitaenda kumkumbusha.

Wiki ya tatu Mungu alivyo mkubwa yule baba alikuja na watu kama 50+ walijiunga na bank. Personally i was very happy japo watu si wengi ila it was amazing to me.

Nilipo fika A-Levl(2014) nikachaguliwa kuwa HEADPREFECT (H-P). Japo nilikuwa na majukumu mengi(dini pia nilikuwa kiongozi) nilitamani pia kuihishi ndoto yangu. Nikawapigia NMB waje na ukweli walipo kuja nikiwa o-level sikufungua akaunti kwakuwa sikuwa na fedha (10k) nikasema now nitafungua.

Nilipo watafuta tena Facebook, wakaniahidi kuja(they are active kwakweli) na niliacha namba zangu na kesho yake kuna dada akanipigia akasema watakuja ijumaa.

Kwakuwa ilikuwa siku ya dini,nikawaambia waje mapema ili watu wasali,na baada ya hapo tuwe nao hadi jioni.

Kweli walikuja na watu zaidi ya 100+ walifungua akaunti kwao.

Kuna mengi yalifuata, ila nilikuwa na ndoto kubwa ya siku moja na mimi kuja kuwa banker. Nilipo fika chuo nikiwa na diploma yangu ya Finance and Banking, nikaomba nifanye field kwao NIKAKOSA

Nikawa namshirikisha sana Mungu kwamba nikikosa kazi,nipate tempo au hata intern japo niweke 'record' kuwa NIMEFIKIA NDOTO YANGU.

siku moja nimetoka kuomba kesho yake,napigiwa simu na bank(sio kuajiliwa nadhan ilikuwa interview) kwenye post moja niliyo omba. Siku amini,ila kumbuka kesho yake natakiwa kwenda kuripoti chuo kuanza digree. Ila yule dada alinielekeza vizuri na kunishauri kama naendelea niende japo guarantee ya hiyo postion tena HAIPO niliumia sanaa

nilipo fika Bachelor, mwaka wa pili na digree yangu ya uhasibu nikaomba tena field NIKAKOSA.

Nikatafuta fedha kama elfu kumi, nikatuma mikoani na kote NILIKOSA.

nikajipa moyo kwamba kama Ni mapenzi ya Mungu na yatimizwe.

Nilipo maliza chuo(this year) nimeomba intern kwa njia zaidi ya kumi ikijumuisha (kwenye website, physical, facebook,linkedIn, etc) KOTE NIMEKOSA.

ninacho taka kusema, kamwe usikate tamaa, kama mimi sijakata tamaa japo inaweza isiwezekane leo ila NAAMINI ipo siku. kama wewe kijana unandoto na unatamani kuifikia USIKATE TAMAA.

binafsi nimesema nitajaribu, na kujalibu, nakujalibu hata mara elfu nikishidwa nitafungua hata uwakala ila kama kijana jaribu KUISHI NDOTO YAKO USIKATE TAMAA.
 
Kajiajiri tu ,siku hizi kazi hamna
Ushauri mzuri, Asante sana, japo kujiajili napo ni mchakato unao hitaji capital, business strategy like location na Targeted Customer,vyote vyahitaji pesa na kwa hali yetu kwa sasa HATUNA. Tukipata TUTAJIAJILI.

Pia Kazi Zipo Ukitafuta kwa Bidii ukikosa Full time, utapata internship au part time etc , na Mungu Hata kuacha ukionyesha Bidii atainua Wa kukushika
 
Na mie nataman mtu mwenye malengo kama wew nitafute pesa uwe mweka hazina kwenye kampuni ntakayoianzisha tufanye kazi pamoja unaonaje hapo
 
Habari wana jamvi!
Napenda kushare japo kwa ufupi story yangu naimani itatufunza na kupata Ushauri ambao hata mimi nitajifunza.

Nikiwa nina miaka 6 baba yangu alikuwa mwajiliwa wa taasisi moja na yeye mara kamoja moja sana tulikuwa tunaenda wote BANK(NMB) kutoa pesa kidogo kilicho kuwepo kwa matumizi ya nyumbani.binafsi ndipo nilianza kutamani kuja kuwa BANKER.

Nilipo ingia sekondali NYANDA ZA JUU KUSINI huko nilijikuta hamu yangu ya kuja kuwa banker NMB inaongeza sana sana nashindwa hata kueleza.

Nikiwa form one, nikaanza kwenda kwenye tawi lao moja na kuanza kuchukua vipeperushi vyao ili na mimi nijifunze (how NMB operate, na kujua Services ambazo wana-offer).nakumbuka nilipo rudi likizo nikatengeneza blog na kuweka tangazo la bank na ile blog ilitembelewa na thousands of people,si wengi ila at least.

Nikiwa form two Nilichanguliwa kuwa social Leader,siku moja nikiwa naenda mjini nimesimama barabarani ikaja Toyota Corolla old model ndani alikuwa amekaa baba mmoja akaniuliza unaelekea wapi?..nikamjibu naelekea makambako akasema Panda twende mwanangu.

Tulipo anza kutoka tu, ndani ya gari lake nikakuta documents za NMB, i was very surprised, nikajitambulisha na position yangu shuleni kwetu, nikamwomba aje atufungulie akaunti akaniahidi atakuja next week.

Wiki hiyo nikaanza kutoa shule ya umuhimu wa bank kwa wanafunzi na walimu(nikitumia vipeperushi nilivo chukua banki) na kwa wanakijiji kadhaa watakao hitaji tuwafungulie akaunti kwangu ilikuwa ndio Furaha yangu.

Huwezi amini wiki aliyo niahidi kuja bahati mbaya kwake sijajua nini kilitokea HAKUJA.nikasema hakuna shida siku nikipata chance ya kwenda mjini nitaenda kumkumbusha.

Wiki ya tatu Mungu alivyo mkubwa yule baba alikuja na watu kama 50+ walijiunga na bank. Personally i was very happy japo watu si wengi ila it was amazing to me.

Nilipo fika A-Levl(2014) nikachaguliwa kuwa HEADPREFECT (H-P). Japo nilikuwa na majukumu mengi(dini pia nilikuwa kiongozi) nilitamani pia kuihishi ndoto yangu. Nikawapigia NMB waje na ukweli walipo kuja nikiwa o-level sikufungua akaunti kwakuwa sikuwa na fedha (10k) nikasema now nitafungua.

Nilipo watafuta tena Facebook, wakaniahidi kuja(they are active kwakweli) na niliacha namba zangu na kesho yake kuna dada akanipigia akasema watakuja ijumaa.

Kwakuwa ilikuwa siku ya dini,nikawaambia waje mapema ili watu wasali,na baada ya hapo tuwe nao hadi jioni.

Kweli walikuja na watu zaidi ya 100+ walifungua akaunti kwao.

Kuna mengi yalifuata, ila nilikuwa na ndoto kubwa ya siku moja na mimi kuja kuwa banker. Nilipo fika chuo nikiwa na diploma yangu ya Finance and Banking, nikaomba nifanye field kwao NIKAKOSA

Nikawa namshirikisha sana Mungu kwamba nikikosa kazi,nipate tempo au hata intern japo niweke 'record' kuwa NIMEFIKIA NDOTO YANGU.

siku moja nimetoka kuomba kesho yake,napigiwa simu na bank(sio kuajiliwa nadhan ilikuwa interview) kwenye post moja niliyo omba. Siku amini,ila kumbuka kesho yake natakiwa kwenda kuripoti chuo kuanza digree. Ila yule dada alinielekeza vizuri na kunishauri kama naendelea niende japo guarantee ya hiyo postion tena HAIPO niliumia sanaa

nilipo fika Bachelor, mwaka wa pili na digree yangu ya uhasibu nikaomba tena field NIKAKOSA.

Nikatafuta fedha kama elfu kumi, nikatuma mikoani na kote NILIKOSA.

nikajipa moyo kwamba kama Ni mapenzi ya Mungu na yatimizwe.

Nilipo maliza chuo(this year) nimeomba intern kwa njia zaidi ya kumi ikijumuisha (kwenye website, physical, facebook,linkedIn, etc) KOTE NIMEKOSA.

ninacho taka kusema, kamwe usikate tamaa, kama mimi sijakata tamaa japo inaweza isiwezekane leo ila NAAMINI ipo siku. kama wewe kijana unandoto na unatamani kuifikia USIKATE TAMAA.

binafsi nimesema nitajaribu, na kujalibu, nakujalibu hata mara elfu nikishidwa nitafungua hata uwakala ila kama kijana jaribu KUISHI NDOTO YAKO USIKATE TAMAA.
Bahati yako umeshaichezea,ulipopigiwa simu na kesho yake unaanza degree ulitakiwa kushitisha kuendelea na masomo,ungeanza kazi kwanza kisha baadae unaomba kuendelea na masomo,bahati hazijagi mara mbili
 
Kuwa mvumilivu tu wakati wako ukifika utapata position ya juu zaidi huko NMB. Ni swala la muda tu. Changamoto ni lazima ukutane nazo ili ukomae.
 
Isack Newton alikofanya majaribio zaidi ya mara 999 na akafanikiwa mara ya 1000.

Komaa ndugu kukata tamaa ilihali uko hai ni dhambi ya malusudi.
 
Isack Newton alifanya majaribio ya kutengeneza bulb lights zaidi ya mara 999 na akafanikiwa mara ya 1000.

Komaa ndugu kukata tamaa ilihali uko hai ni dhambi ya malusudi.
 
Bahati yako umeshaichezea,ulipopigiwa simu na kesho yake unaanza degree ulitakiwa kushitisha kuendelea na masomo,ungeanza kazi kwanza kisha baadae unaomba kuendelea na masomo,bahati hazijagi mara mbili
Absolutely mkuu, ila ndo hivo imesha tokea sina namna tena, kama Mungu atajalia labda, ila kweli mkuu BAHATI HAIJI MARA MBILI
 
Back
Top Bottom