Recent content by Professor kipuyuyu

  1. Professor kipuyuyu

    Mrejesho: Simuachii Mungu, nalipa kisasi

    Itafute mbona kazi nyepesi kabisa
  2. Professor kipuyuyu

    Nipo single, haya ni Matumizi yangu ya wiki moja - nipe ushauri

    Kweli mchungaji anampenda mjinga na mtoaji SADAKA
  3. Professor kipuyuyu

    MSAADA;Natafuta bluetooth speaker nzuri na ya bei rahisi

    Kwa yoyote anaejua sehemu au duka linalouza izo speaker anipe msaada nipo dsm
  4. Professor kipuyuyu

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mi naona hawa wote wanashinda maana wanagombanua kombe
  5. Professor kipuyuyu

    KKKT imempa Dr Mengi heshima yote ya ibada ya mazishi

    Baada ya muda mrefu sana leo tena nimekutana na mtanzania anaeweza kufikiri kikamirifu kwa kutumia ubongo asante sana mungu azidi kukuoa uwezo wa kutambua mambo mengine zaidi
  6. Professor kipuyuyu

    Wataalamu Wa IT Mtusaidie Kwenye Hili

    Kwani kuwa kifua wazi ni kosa au dhambi??usipende kukremu jaribu kuelewa kila kitu
  7. Professor kipuyuyu

    Kwa jinsi navyomfahamu Gwajima, atatuambia hadi aliyetengeneza hio photoshop.

    Ukisoma comment za jf utajua kwanini Lowasa alisema ELIMU ELIMU ELIMU vichwa panzi ni wengi mno aina ya bashite wasioweza kureason mambo mepesi kabisa
  8. Professor kipuyuyu

    Picha: Jacky Mengi akiwa na mwanaume wa kiarabu ambaye inasemekana anatoka nae kimapenzi

    Sasa kama diamond platinumz na mazoezi yote yale na maviuno yote yale anayokata watu WAMEMLIA tunda lake vizuri sembuse kibabu kizee HAYATI DR. R.A MENGI?? Mbona hakuna jipya hapo kabisa alichofanya Jacky
  9. Professor kipuyuyu

    Ushahidi: Video inayodaiwa ni ya Gwajima nilikuwa nayo kwenye simu yangu tangia 2018, siyo ya Gwajima

    Ukitaka kujua uyo kwenye io video kuwa bishop gwajima or sio tuliza akili angalia na kisikiliza kwa umakini na vizuri mwisho lazima utapata jibu ambalo hata wewe utaridhika nalo don’t panic RELAX
  10. Professor kipuyuyu

    Ndugai kujaribu kumwingiza Rais katika chuki zake binafsi na CAG. Ndugai ni tatizo kubwa ambalo linaweza kuja kutugharimu sana

    Na bange nyingi sana mpaka inafanya ashindwe kufikiri kwa umakini Sent from my iPhone using JamiiForums
  11. Professor kipuyuyu

    CAG aongea na Wanahabari. Serikali Kuu kulikuwa na mapendekezo 91, mawili tu ndiyo yametekelezwa, neno "dhaifu" kuendelea kutumika

    Mi nakataa kabisa JPM kama kweli angekuwa ana nia njema na hili taifa na wananchi wake wa kipato cha chini asingetuletea io mindege yake ambayo shirika lina deni kuliko mtaji wake na SGR JPM angetuletea maji hadi vijijini, umeme hadi vijijini na kusaidia wakulima kiukweli sio kwa maneno tu...
  12. Professor kipuyuyu

    Ghafla Zitto Kabwe amegeuka adui wa CHADEMA, Kila dalili ya ACT kuwa chama kikuu cha upinzani bungeni baada ya uchaguzi mkuu 2020

    Hata ACT ikichukua nchi poa tu mbona ili mradi CCM kitoke hapo inatutosha si wananchi Sent from my iPhone using JamiiForums
Back
Top Bottom