Recent content by profesional worshiper

  1. P

    JamiiForums Tanzania Kifo cha Tambwe Hiza kiwe fundisho kwetu

    Ndomana mnakufaga na magonjwa yenu,unaambiwa dawa ipo ya kienyeji utaki,haya basi baki na wagonjwa wako.
  2. P

    JamiiForums Tanzania Kifo cha Tambwe Hiza kiwe fundisho kwetu

    Pumu inatibika kwa tiba za kienyeji,kuna rafiki yangu alikua anatatizo la pumu,tukaelekezwa twende kwa mpemba mmoja yupo tandika,akapewa dawa,baada ya kutumia sasa ni mwaka wa tano,hajasumbuliwa na pumu.
  3. P

    JamiiForums Tanzania Mume wangu lini nimekunyima utamu?

    Anaimarisha misuri ya mboo yake,maana nyeto pia ni sehemu ya mazoez.
  4. P

    JamiiForums Tanzania Salum Mwalimu ana watoto, asidhalilishwe

    Sisi tunataka mtu Wa kufanya kaz,sio mke wake.zito kabwe alianza ubunge kabla hajaoa,na wengine wengi tu.
  5. P

    JamiiForums Tanzania Kwa mfumo wa kampuni ya New Force lazima wafanyabiashara wetu wafilisike

    Mmeisha anza fitina,biashara ushindan.ushindan ndio unafanya biadhaa iwe bora.
  6. P

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa apewe fursa ya kutufanyia tohara ya kisiasa

    Tunatakiwa kuamin ktk taasisi,sio mtu.akiama chama anaendelea kuwepo na anatoa changamoto kwa wengine.akifa je?
  7. P

    JamiiForums Tanzania Walimu wa secondary kwenda msingi serikali inakwepa nini

    Ujanja ujanja kama huu,hauwez kusaidia.Ndomana,elimu yetu inakosa thaman,kila kiongoz anataka kuja na mifumo yake,na mifumo mingine haina tija kabisa.
  8. P

    JamiiForums Tanzania Kilichomponza Tido Mhando ni uzalendo wake

    Namkumbuka tido,ndio aliyekuja kulifanya gazeti la mwananchi liwe bora kuliko magaxeti yote,kwa sababu ya misingi aliyoiweka kwenye gazeti la mwananch,mwanaspot na the citizen, mpaka Leo ni magazeti bora.amefanya mageuz makubwa sana kwenye tasnia ya habari Tanzania.
  9. P

    JamiiForums Tanzania Charles Hillary amkaanga Polepole kuhusiana na marudio ya uchaguzi, Polepole ajing'atang'ata

    Zaidi ya billion moja,ni gharama za kawaida tu,duuh!!!.
  10. P

    JamiiForums Tanzania KISUTU: Tido Mhando afikishwa Mahakamani, asomewa mashtaka matano na kuachiwa kwa dhamana

    Huyu kaisababishia serikali hasara ya million 884,vp wanaojihudhuru ubunge na kugombea tena?
  11. P

    JamiiForums Tanzania Waraka kwa Jaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, Profesa Ibrahim Juma

    Wasimamizi washeria,wanakiuka sheria.vp kwa sisi tusiojua sheria?
  12. P

    JamiiForums Tanzania Walimu wa secondary kwenda msingi serikali inakwepa nini

    Tatizo hujaelewa,hapo Uganda tu,wanatoa degree in primary education.huyo mtu mwenye degree anatakiwa asome mambo ya Shule ya msingi,sio asome mambo ya sekondar harafu umpeleke akafundishe Shule ya msingi.sasa,niambie chuo gan Tanzania wanatoa degree ambayo inadili na elimu ya Shule ya...
  13. P

    JamiiForums Tanzania Walimu wa secondary kwenda msingi serikali inakwepa nini

    Kwa nchi zinazoelewa umuhimu Wa elimu,hawawez kumchukua mwalimu Wa sekondar kumpeleka Shule ya msingi,sababu njia za ufundishaji wa Shule za msing na sekondar ni tofauti,content ya msing na sekondar ni tofauti,na kuna tofauti ya kiuzoefu pia.sasa sijajua wamezingatia vigezo gan?
  14. P

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kuanza kudodosha nyaraka za rushwa alizopewa Mtulia

    Hata uwe mjinga vp,huwez kupiga kura Mara mbili kwa mtu yuleyule,bila sababu za msingi.
  15. P

    JamiiForums Tanzania Huyu hapa Jesca John Magufuli

    Matokeo yenyewe utata mtupu.
Back
Top Bottom