Salum Mwalimu ana watoto, asidhalilishwe

ching'wa

Senior Member
Joined
Jan 2, 2015
Messages
163
Likes
102
Points
60
Age
46

ching'wa

Senior Member
Joined Jan 2, 2015
163 102 60
Mleta hoja nia yako ni kumchafua S. MWALIMU.
Na imekuwa hoja yako /yenu kwa muda mrefu hata kabla haijafikilika kwamba Kuna siku atagombea Kinondoni.

Mwanzoni aliekuwa anachafuliwa ni mbunge na sasa imeunganishwa upande wapili.

Sijui wewe ni jinsi gani lakini kama ni yule ninamfahamu naweza Pata mashaka ya elimu yako na malezi yako. Bila shaka kabisa utakuwa kwenye kundi la wasenge ndio maana unajadili mambo Binafsi ya faragha ambayo huna uwezo wa kuthibitisha.

Nakama ni suala la mahusiano kila mtu anauhuru wa Faragha yake nakama ingetokea Kuna ukweli tungemsikia mlengwa akilalamika sio wewe.

Nakushangaa badala Ya kufanya siasa yenye masilahi kwa umma UMEBAKI KUCHUNGULIA HUKU UNAKATA KIUNO.

KAMA UMENOGEWA JITOSE MAANA AISIFIAE MVUA IMEMNYEA. INGIA ULINGONI UTAPATA CHETI CHA NDOA.
 
Tz mbongo

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2015
Messages
3,756
Likes
1,185
Points
280

Tz mbongo

JF-Expert Member
Joined Mar 12, 2015
3,756 1,185 280
Tatizo la watu humu ni kukemea yale wasiyoyataka na si kukemea yale yasiyofaa, ndiyo utaona wengine wakizungumziwa mambo yao ya faragha wao huona sawa tu ila kwa wengine ndiyo hukumbuka kuwa kuzungumzia mambo ya faragha ya mtu ni jambo lisilofaa.

Sasa huo unakuwa ni unafki.
 
Joined
Dec 10, 2017
Messages
52
Likes
125
Points
40
Joined Dec 10, 2017
52 125 40
Mleta hoja nia yako ni kumchafua S. MWALIMU.
Na imekuwa hoja yako /yenu kwa muda mrefu hata kabla haijafikilika kwamba Kuna siku atagombea Kinondoni.

Mwanzoni aliekuwa anachafuliwa ni mbunge na sasa imeunganishwa upande wapili.

Sijui wewe ni jinsi gani lakini kama ni yule ninamfahamu naweza Pata mashaka ya elimu yako na malezi yako. Bila shaka kabisa utakuwa kwenye kundi la wasenge ndio maana unajadili mambo Binafsi ya faragha ambayo huna uwezo wa kuthibitisha.

Nakama ni suala la mahusiano kila mtu anauhuru wa Faragha yake nakama ingetokea Kuna ukweli tungemsikia mlengwa akilalamika sio wewe.

Nakushangaa badala Ya kufanya siasa yenye masilahi kwa umma UMEBAKI KUCHUNGULIA HUKU UNAKATA KIUNO.

KAMA UMENOGEWA JITOSE MAANA AISIFIAE MVUA IMEMNYEA. INGIA ULINGONI UTAPATA CHETI CHA NDOA.
Nafikiri ndugu yangu hujaelewa maana ya sisi timu ya kampeni kuweka haya mambo bayana. Jana katika uzinduzi wa kampeni za CCM, watu walilenga kuaminishwa kuwa Salum Mwalimu sio mwanaume kamili na kuwa ni shoga, hivyo kukata mzizi wa fitina kuwa sio shoga ni kuweka wazi kuwa mtu huyu ana watoto, mashoga wengi hawasimamishi hivyo hawawezi kuzalisha, hivyo Mwalim sio shoga kwa muktadha huo, asilimia 70 ya wapiga kura ni waislamu na waislamu hatupendi ufilauni, hivyo kujulikana kuwa mgombea wetu ana sifa hizo tutapoteza kura asilimia kubwa na ukija kwa asilimia 30 iliyobaki ya wakristo pia tutapoteza.

Sio kweli tunamchafua Mwalimu, kwani wewe unafikiri hizi picha nani kanipa? usiwe na mawazo mgambo, hii kazi ya kinondoni tunaijua sisi, wewe kama unaishi mbagala huwezi jua tunachopambana nacho kwenye kampeni ya nyumba kwa nyumba. Pia hakuna mtu anayechafuliwa maana hata watoto na mume wa Esther yule babu anajua status ya watoto na hana shida na hao watoto kadri kampeni zinavyoendelea tutawapandisha jukwaani kumuombea baba yao kura. Na pia Mh. Esther pia atapanda majukwaani na kumnadi mzazi mwenzie na akipata ni faida kubwa kwa watanzania na pia kwa watoto kwa ujumla.
 
Forum statistics

Threads 1,203,210
Members 456,663
Posts 28,104,621