Mume wangu lini nimekunyima utamu?

Mume wangu lini nimekunyima utamu?

Habari wana gt!
Naandika kwa masikitiko sana mume wangu nimemfumania akipiga punyeto huku akilia kwa mahaba na sabuni mkononi.

Kila anapohitaji nampa muda wowote
Leo unafanya sex na sabuni hivi tatizo nini jamani isitoshe kuna watoto ndani waje wasikie miguno bafuni.

Tatizo nini mnaopiga punyeto hali ya kuwa wake zenu tupo?
Ukiona hivyo jamaa kamiss sodomy ndio anapiga puli na kelele za Mahaba juu
 
Siku hizi maadili sifuri yaani hadi watoto wadogo wanajua baba na mama leo watafanya nini.
 
Duh! Kaa naye uongee kwa kina akueleze chanzo hasa cha yeye kupiga punyeto wakati hujawahi kumnyima uchi. Mambo mengine yanastaajabisha sana. Mtu una mke na hajawahi kukunyima uchi lakini unapiga nyeto kwa siri. Angekukuta wewe unajichezea mwenyewe varangati lake si ajabu lingekuwa la kufa mtu. Pole sana I hope jibu lake halitakuwa anaenjoy zaidi akipiga nyeto kuliko wakati anakut**$%mba

Habari wana gt!
Naandika kwa masikitiko sana mume wangu nimemfumania akipiga punyeto huku akilia kwa mahaba na sabuni mkononi.

Kila anapohitaji nampa muda wowote
Leo unafanya sex na sabuni hivi tatizo nini jamani isitoshe kuna watoto ndani waje wasikie miguno bafuni.

Tatizo nini mnaopiga punyeto hali ya kuwa wake zenu tupo?
 
Mh, kama kweli kila siku akitaka anapewa?!??? wewe ni muungwana sana! is not normal! kwa kweli mimi sina jibu! simuelewi hata mimi!
My sweetheart ananipa daily two times asubuhi anahakikisha nikitoka home nikienda mihangaikoni sitamani mwingine. I love her, yaani sihitaji kingine kutoka kwa mwingine
 
Nguva jike umekosea kuleta uzi wako humu jf! Kama uzi huu ni wa kweli unaonaje ungekaa kwanza na huyo unayemuita mumeo ndio umuulize hayo maswali kuliko kutuletea sisi hayo maswali yako? Una uhakika gani kwamba hayo maswali yako atayasoma tu huyo unayemuita mumeo? Humu jf ni wengi tunapita sio mumeo peke yake! Lbd ungeomba ushauri ufanye nn baada ya kumkuta huyo mumeo akifanya huo upuuzi wake ningekupa ushauri, sasa umeuliza swali kwamba lini umemnyima utamu! Sina ushauri ila umekosea kuleta Uzi wako hapa jf!
 
Habari wana gt!
Naandika kwa masikitiko sana mume wangu nimemfumania akipiga punyeto huku akilia kwa mahaba na sabuni mkononi.

Kila anapohitaji nampa muda wowote
Leo unafanya sex na sabuni hivi tatizo nini jamani isitoshe kuna watoto ndani waje wasikie miguno bafuni.

Tatizo nini mnaopiga punyeto hali ya kuwa wake zenu tupo?
Tatizo ni kuwa kuna kitu anakikosa kwako ila anakipata kwenye mikono yake.
 
Kuna utamu wa papuchi na utamu wa mkono. Kwa hiyo mumeo anapata raha zote
 
Mmh. Pole sana huenda ikawa humalizi hamu zake hivyo anabaki nazo na kuona njia sahihi ya kuzimaliza ni hiyo.

Ila tuende mbele na nyuma hapo kujisikia vibaya ni muhimu bana.

Kaa uzungumze naye ili upate kuja kama ni uteja wa nyeto basi ujue nini cha kufanya kumnasua huko.
Hujambo?
 
Habari wana gt!
Naandika kwa masikitiko sana mume wangu nimemfumania akipiga punyeto huku akilia kwa mahaba na sabuni mkononi.

Kila anapohitaji nampa muda wowote
Leo unafanya sex na sabuni hivi tatizo nini jamani isitoshe kuna watoto ndani waje wasikie miguno bafuni.

Tatizo nini mnaopiga punyeto hali ya kuwa wake zenu tupo?
Ni tatizo la kisaikolojia ni ulevi kama ulevi mwingine itabidi umsaidie sio kumsimanga
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom