CHADEMA kuanza kudodosha nyaraka za rushwa alizopewa Mtulia | Page 5 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CHADEMA kuanza kudodosha nyaraka za rushwa alizopewa Mtulia

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by OKW BOBAN SUNZU, Jan 23, 2018.

 1. OKW BOBAN SUNZU

  OKW BOBAN SUNZU JF-Expert Member

  #1
  Jan 23, 2018
  Joined: Aug 24, 2011
  Messages: 23,867
  Likes Received: 20,219
  Trophy Points: 280
  26731016_1077722132369277_1004047942664872173_n.jpg

  Mda wowote wakati wa kampeni Chadema na UKAWA wataanza udondozi wa nyaraka na video za Mtulia zikidhibitisha kupokea rushwa za kujiuzuru ubunge.

  Mtulia ameonywa kuwa asijione mjanja kuwafanya wana Kinondoni wajinga. Chadema itatumia kampeni kuwaambia kwa ushahidi kwamba Mtulia hawafai na anatakiwa awe gerezani na sio uraiani kwa msaada wa wanaommiliki

  Nyaraka hizo zitawekwa wazi kwa waandishi wa habari na mitandaoni
   
 2. l

  laki si pesa. JF-Expert Member

  #81
  Jan 24, 2018
  Joined: Jul 14, 2015
  Messages: 9,067
  Likes Received: 7,493
  Trophy Points: 280
  hizo siasa unazoshauri sio za CHADEMA.....SIASA ZA chadema NI ZA SHARI SHARI, VURUGU,MATUSI,BANGE..N.K....KAMA UNATAKA SIASA ZA KISTAARABU NJOO CCM
   
 3. a

  auferet dominus JF-Expert Member

  #82
  Jan 24, 2018
  Joined: Jul 18, 2017
  Messages: 1,314
  Likes Received: 823
  Trophy Points: 280
  sasa kwa picha hiyo si atakuja kuambiwa ameanza kufanya kampeni kabla ya kipindi kilichoidhinishwa? au atasema hajui aliyefanya hilo?
   
 4. C

  COPPER JF-Expert Member

  #83
  Jan 24, 2018
  Joined: Dec 28, 2012
  Messages: 1,935
  Likes Received: 538
  Trophy Points: 280
  Nakumbuka bango aliloshika alipokamatwa Bariadi katika OP Ukuta
   
 5. p

  pilipili kichaa JF-Expert Member

  #84
  Jan 24, 2018
  Joined: Sep 3, 2013
  Messages: 7,582
  Likes Received: 3,002
  Trophy Points: 280
  [QUOTE="YEHODAYA, post: 25461270, member: 315573"]wakidakwa na kuswekwa ndani kwa uchochezi wasije piga yowe kuwa wanaonewa watatoka baada ya uchaguzi.Waage makwao kabisa[/QUOTE]
  Hizi ni kauli za mpumbavu na sio za mtu anaejitambua hata kidogo. ILA kumbuka kuwa Mungu hamnyimi kiumbe chake kila kitu, alikunyima akili akakupa upumbavu.
   
 6. l

  laki si pesa. JF-Expert Member

  #85
  Jan 24, 2018
  Joined: Jul 14, 2015
  Messages: 9,067
  Likes Received: 7,493
  Trophy Points: 280
  hicho sio kipaumbele cha wananchi wa kinondoni...sisi wanakinondoni tunataka huduma nzuri za maji, barabara, matibabu
   
 7. p

  profesional worshiper JF-Expert Member

  #86
  Jan 24, 2018
  Joined: Dec 23, 2016
  Messages: 540
  Likes Received: 378
  Trophy Points: 80
  Hata uwe mjinga vp,huwez kupiga kura Mara mbili kwa mtu yuleyule,bila sababu za msingi.
   
 8. Oii

  Oii JF-Expert Member

  #87
  Jan 24, 2018
  Joined: Sep 8, 2017
  Messages: 1,201
  Likes Received: 893
  Trophy Points: 280
  Mbona chadema mlinunuliwa na Lowasa.
   
 9. p

  pilipili kichaa JF-Expert Member

  #88
  Jan 24, 2018
  Joined: Sep 3, 2013
  Messages: 7,582
  Likes Received: 3,002
  Trophy Points: 280
  Waanikwe tu kwani fedha zetu za maendeleo wanaziharibu sana kwa upumbavu mtupu, halafu etu' tunapambana na rushwa'
   
 10. p

  pilipili kichaa JF-Expert Member

  #89
  Jan 24, 2018
  Joined: Sep 3, 2013
  Messages: 7,582
  Likes Received: 3,002
  Trophy Points: 280
  Ni mpumbavu peke yake anaeweza kupiga kura mara ya pili kwa mtu yuleyule asiyeaminika na aliyelitia Taifa ktk hasara kubwa kiasi hiki.
   
 11. misasa

  misasa JF-Expert Member

  #90
  Jan 24, 2018
  Joined: Feb 5, 2014
  Messages: 7,189
  Likes Received: 3,701
  Trophy Points: 280
  Upuuzi mtupu waelezeni wananchi ahadi zenu wao ndio watajua yupi wa kumchagua. Kama mnataka siasa za kuchafuana hamna mtu yupo msafi si CHADEMA,CCM,CUF
   
 12. N J subi

  N J subi JF-Expert Member

  #91
  Jan 24, 2018
  Joined: Nov 24, 2017
  Messages: 399
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 80
  *WAMBOWE 9:5*

  "Naye akawajibu "Msinililie Mimi,jililieni na ushamba wenu,kwa maana hakuna aliyewalazimisha kujiunga na CHAMA AMBACHO NI MALI YANGU NILICHOPEWA NA BABA MKWE* Basi wakainamisha nyuso zao kwa huzuni,wala wasiweze kumjibu.
  Naye akiisha kusema hayo akapita katikati yao akaenda zake benki na kuchukua RUZUKU YOTE NA KUITUMIA ATAKAVYO. *
   
 13. tindo

  tindo JF-Expert Member

  #92
  Jan 24, 2018
  Joined: Sep 28, 2011
  Messages: 11,966
  Likes Received: 13,449
  Trophy Points: 280
  Ccm hawana siasa za kistaarabu asikudanganye mtu. Ccm wanatumia nafasi ya mwenyekiti wake kama amiri jeshi mkuu kufanya lolote kisha kutumia vyombo vya kimamlaka kuficha uovu wao.
   
 14. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #93
  Jan 24, 2018
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 12,859
  Likes Received: 17,473
  Trophy Points: 280
  Siyo bure lazima utakuwa mfuasi wa Nabii Tito wewe.
   
 15. MAGALEMWA

  MAGALEMWA JF-Expert Member

  #94
  Jan 24, 2018
  Joined: Jul 8, 2015
  Messages: 4,225
  Likes Received: 2,431
  Trophy Points: 280
  Kumbe unajua nyaraka na video za ushahidi wa Mtulia zipo ila kwako wewe bora rushwa. Nakuomba usiwe na wasiwasi maana TUKUKURU itaukataa ushahidi huo kwa vile rushwa kwenye chama na watawala wetu wa sasa ni halali.
   
 16. stroke

  stroke JF-Expert Member

  #95
  Jan 24, 2018
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 14,736
  Likes Received: 7,849
  Trophy Points: 280
  Chadema wanaushahidi wa kila kitu MITANDAONI ila kiuhalisia, ni kiki tu za kisiasa, hawana ushahidi wowote wa kuutoa popote.
   
 17. Chiwaso

  Chiwaso JF-Expert Member

  #96
  Jan 24, 2018
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 4,738
  Likes Received: 2,555
  Trophy Points: 280
  NImeipenda hii:-

  Mtoa kitendawili: Kitendawili
  Watoa majibu: Tega
  Mtoa kitendawili: Mtulia
  JIBU:- "Binadamu aliyeuzwa na kununuliwa na mmiliki wake mnadani "

  Safi sana Mkuu GUSSIE.
   
 18. Tairi bovu

  Tairi bovu JF-Expert Member

  #97
  Jan 24, 2018
  Joined: Sep 28, 2017
  Messages: 2,304
  Likes Received: 2,139
  Trophy Points: 280
  Who are you sister?
   
 19. J

  Jaimee JF-Expert Member

  #98
  Jan 24, 2018
  Joined: Aug 4, 2017
  Messages: 1,982
  Likes Received: 1,183
  Trophy Points: 280
  Tunza kumbukumbu vizuri,mamlaka husika haikusema ni feki,bali waliingiza siasa.
   
 20. J

  Jaimee JF-Expert Member

  #99
  Jan 24, 2018
  Joined: Aug 4, 2017
  Messages: 1,982
  Likes Received: 1,183
  Trophy Points: 280
  Kwahiyo wewe unataka kuwaeleza nini watu wenye akili timamu?
   
 21. kama kawaida

  kama kawaida Senior Member

  #100
  Jan 24, 2018
  Joined: Jul 20, 2015
  Messages: 123
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 45
  [​IMG]
   
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...