Huyu hapa Jesca John Magufuli

Huyu hapa Jesca John Magufuli

kwa utawala huu huyu dem sidhani kama ana Bf labda kama asitumie ID yake og au huyo bf awe na roho ya paka
 
Huyo yuko na improper fraction figure......cjawahi kusikia wakiume
 
hebu nisaidieni utaratibu wa kujitambulisha kwao na binti wa raisi ukoje hasa kama huyu! wazazi wake wanaishi ikulu! naanza anzaje kwanza!? fursa hii! lakini yenye ukakasi!
 
Kusema kweli she cute tofauti na mnavyomponda
 
ni uzee tu umeniwahi ingekuwa ndiyo miaka ile ya 1980 ndiyo nimechanua sasa haki ya mama ningetia timu pale magogoni na Landrover119 ya babu kumposa huyu mtoto isitoshe kisukuma nakijua nje ndani lazima tu ningebeba mtoto ningekuwa na mama mkwe mpole ila baba mkwe hajaribiwi sijui ni nani alimwambia atamjaribu
Hakuna m2 ninayemwogopa kama mswahili chini ya jua,akipata habar zako lazma akuweke sawa!
 
Back
Top Bottom