Oxpower
JF-Expert Member
- Jan 15, 2012
- 2,181
- 3,115
Naamini wote sisi ni wazima
Jana nmeona tangazo linatembea lihusulo uhamisho wa walimu wa secondary wa sanaa kwenda kufundisha shule ya msingi kwa lengo la kufidia upungufu wa walimu uliopo shule za msingi.
Nmejikuta napata maswali
Je ni kwamba serikali haina pesa ya kuajiri walimu wengine au inaongeza ufanisi katika kazi na ni kwa namna gani sasa?
Mtaani kuna walimu tokea 2015, je hawa hatima yao ni nini?
Kiufanisi litakuaje hili?
Je hawa walimu wataokwenda shule za msingi wataweza kuendana na kasi ya huko