Recent content by PRISCUS JR

  1. PRISCUS JR

    JamiiForums Tanzania Weka unaemtafuta yupo wapi ujibiwe, Wangu hawa hapa wako wapi??!

    Mie namtafuta Dada yangu anahitwa Benedicta (Kabene) kwao ni Kitaya Ibwera Bk kwa mara ya mwisho tulionana mwaka 1979 nasikia alikuwa anakaa Kigoma Sent using Jamii Forums mobile app
  2. PRISCUS JR

    JamiiForums Tanzania EATV mnakoelekea mnatia aibu sana!!!

    Mie nakachukia kale kabinti kipindi kanakpkiendesha nimekisahau kanavaa vinguo vifupi sana Sent using Jamii Forums mobile app
  3. PRISCUS JR

    JamiiForums Tanzania Kutoonekana kwa Viongozi/Mwakilishi wa Vyama vya Upinzani Katika Msiba wa Mke wa Mwakyembe

    Ni nyuma ya Mwadosya Sent using Jamii Forums mobile app
  4. PRISCUS JR

    JamiiForums Tanzania Kutoonekana kwa Viongozi/Mwakilishi wa Vyama vya Upinzani Katika Msiba wa Mke wa Mwakyembe

    Naona hukuwa makini hukumuona Sugu Nyumba ya Mwandosya? au Huyo sio kiongozi? Sent using Jamii Forums mobile app
  5. PRISCUS JR

    JamiiForums Tanzania Ananiambia kama nampenda nibadili dini, Kwani mapenzi ni dini?

    Ukibadiri ndo utakuwa bwege kwani wewe ndo unampenda yeye akupendi? Mpaka akupe masharti? Omba Mungu atakupa mwingine hata Isaka walimtafutia wa ukoo wake tafakari
  6. PRISCUS JR

    JamiiForums Tanzania Bajeti 2017/2018: Ukweli kuhusu kiasi kilichoongezwa kwa lita baada ya road licence kuondolewa

    Hongera hii bajeti upande road license imesaidia sana mtu unatembea kwa amani hata matrafiki waliozoea kuanzia kwenye kioo nakuomba mtonyo wameumia, kwa hili tupongeze
  7. PRISCUS JR

    JamiiForums Tanzania Bajeti 2016/2017 imebakiza miezi mitatu muda wake uishe,je imeleta mabadiliko huko kwenu?

    Hakuna hata kiwanda cha toothpick
  8. PRISCUS JR

    JamiiForums Tanzania Hali yazidi kuwa tete: Stashahada ya Juu ya ualimu shule ya msingi yafutwa

    Unapomsakama Mwenzako nawe jitazame, Mfuko wa maafa upo wapi? Unakumbuka tangazo la serikali wakati wa kuomba michango lilisemaje? Acha unazi ndugu.
  9. PRISCUS JR

    JamiiForums Tanzania TBC1 yasitisha kuonesha baadhi ya Mikutano ya Bunge moja kwa moja (Bunge LIVE)

    Wana wa nchi hii wakiwa bado na majonzi na uchungu uliotokana na ghiliba za kikundi cha watu wachache, waroho wa madaraka waharibifu na wakatiliwa hali ya juu, waliodiriki kuitumia katiba vibaya kupora haki ya walichochagua. Sasa Taifa linazidi kupondwa na kuumizwa na kundi lilelile kwa mbinu...
  10. PRISCUS JR

    JamiiForums Tanzania Msaada Unlock network code

    Ngnoja nijaribu kiongozi
  11. PRISCUS JR

    JamiiForums Tanzania Msaada Unlock network code

  12. PRISCUS JR

    JamiiForums Tanzania Msaada Unlock network code

    Carrier ni EE haijawai tumika kabisa kwa mujibu wa aliyetumiwa
  13. PRISCUS JR

    JamiiForums Tanzania Msaada Unlock network code

    Carrier ni EE haijawai tumika kabisa kwa mujibu wa aliyetumiwa
  14. PRISCUS JR

    JamiiForums Tanzania Msaada Unlock network code

    Poa poa
Back
Top Bottom