Ananiambia kama nampenda nibadili dini, Kwani mapenzi ni dini?

SuperHb

JF-Expert Member
Mar 21, 2016
793
500
Habari bests zangu jf...

Mojamoja kwa moja nielekee kwenye mada..
Kuna mtoto fulani shombe shombe fulani ivi rangi ya Kiarabu,ni dhehebu la Islamic...nimetokea kumpenda sana......,,,MIMI NI ROMAN
Tatizo lake ameniambia kama nampenda nibadirishe Dini ili mambo yaende vizuri..la sivyo itakuwa ngumu..

Nifanyeje ndugu zangu na moyo ndo ushapenda ivo..

Je nikibadilisha si ataniona bwege ?
 

KENZY

JF-Expert Member
Dec 27, 2015
16,378
2,000
hapa ndipo umuhimu wa misingi huru inapoonekana.

mapenzi ni nini..?
ni mtu me au ke kuvutiwa kimapenzi na mtu wa jinsia tofauti ktk hali ya kuwa nae kiundani zaidi ya kumtamani (hiyo ni kwamujibu wangu).

Nina wasiwasi mkubwa na mapenzi yenu ndio maana nikatoa hiyo slogan hapo juu!.. dini huenda na mungu wa aina fulani kutokana na anavyoamini mtu husika so unataka kumuacha mungu ulienae sasa na huenda ulishaga muapia kuwa hutomuacha n.k.. sasa pendo lake kwako uhamie kwenye dini yake! sidhani kama hili ni sahihi..jitafakari
niishie hapo nisije kuchachisha mambo
 

Mehek

JF-Expert Member
Feb 26, 2017
7,487
2,000
Woyo woyo hata tukikushauri mwenye maamuzi ya mwisho ni wewe mwenyew
 

PRISCUS JR

JF-Expert Member
Oct 3, 2011
448
225
Ukibadiri ndo utakuwa bwege kwani wewe ndo unampenda yeye akupendi? Mpaka akupe masharti? Omba Mungu atakupa mwingine hata Isaka walimtafutia wa ukoo wake tafakari
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom