Recent content by Prince216

  1. Prince216

    Nafikiria kuzaa mtoto wa nje, mke wangu anaharibu watoto kwa kigezo cha "upendo"

    Failure ya kwanza ni wewe kushindwa kummudu mwanamke wako. Nafasi ya baba tayari ishachukuliwa na mkeo
  2. Prince216

    Serikali ya Marekani hatarini kuishiwa fedha Mwezi Oktoba

    Ilikua mpango wa ObamaCare ndio walikua hawataki kuupitisha bungeni
  3. Prince216

    Chanjo ya Johnson & Johnson yaidhinishwa India

    Rudia kusoma tena
  4. Prince216

    TANZIA Profesa Augustine Massawe, Daktari bingwa wa Magonjwa ya Watoto afariki dunia

    Apumzike Kwa Amani Huu upepo mbaya sijui unakata lini,mwisho tutasikia mtu mzito mwingine kaondoka.
  5. Prince216

    Chanjo ya Johnson & Johnson yaidhinishwa India

    Wanaochanja na wachanje tu, nikifa itakua siku yangu imefika. Mwisho wa siku Mungu akikuhitaji mja wake hakuna kinachoweza kukuepushia mauti ila corona itakua ni sababu tu ya kuondoka kwangu.
  6. Prince216

    Dar: RC Makalla akerwa na ukamataji na faini za ‘wrong parking’

    Usikimbilie tu kusema mtu anapaki sehemu isiyoruhusiwa.....sehemu open space hakuna kibao kinanionyesha no parking na sihatarishi usalama wa watumiaji wengine wa barabara nikisimama hapo hat kuongea na simu tu wanakuja wananiambia nimepaki vibaya hata ingekua wewe ungekubali? Usiongee kwa...
  7. Prince216

    Ujerumani yenyewe imeweka solidarity fund, hii ni kwa ajili ya wale wenye uwezo

    Mimi mwenyewe tu hali yangu ya chini halafu unaniambia habari za hali ya chini zaidi yangu huyu jamaa ni bure kabisa
  8. Prince216

    Mwigulu: Wananchi wanaenda kupata fedha nyingi, watazoea makato

    Wangeziachia hizo hela nyingi kwanza wanazosema zitapatikana ndio walete hizo tozo na makato yao siyo wanatudunga sindano halafu wanatufariji kirahisi namna hiyo
  9. Prince216

    Dar: Amchoma mpenzi wake na Petroli kisa wivu wa mapenzi

    Omba sana yasikukute ndugu yangu, siku yake tu ilikua imefika apumzike kwa Amani mpambanaji mwenzetu. Matukio kama hayo ukitoka siyo sababu wewe jabari sana bali Mungu tu hajakuita kwake bado
  10. Prince216

    Old is good : UVC ft FEROUZ-VUMILIA

    Zamani ndo kulikua na muziki ujumbe aisee hii ngoma inanihusu 98% na jinsi vyuma vilivyokaza daah
  11. Prince216

    Tusiokuwa na Ajira Soma Hapa

    Nyie mnaosema kilimo mnakijua au mnasema tu,kwa kilimo chetu hiki cha kutegemea mvua ambazo hazieleweki zitanyesha lini si utalia.Mi sina hamu na hicho kilimo nimepoteza 1.5m kuandaa shamba,kununua mbegu matokeo yake mvua zimekataa ikawa imekula kwangu.
  12. Prince216

    Hodi!Hodi! Gr8 Thinkers

    Habari za hapa jamani mi ni mgeni wenu naomba mnipe guidance.Ahsanteni sana nawatakia siku njema
Back
Top Bottom