Recent content by PRINCE D

  1. P

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Habari zenu wana JF Tafadhali msaada Kwa mwenye link ya mobdro application
  2. P

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Pole sana mkuu Herrera,Mungu awatie nguvu katika kipindi hiki Sent using Jamii Forums mobile app
  3. P

    Je, Man united kucheza UEFA Champions League endapo itatwaa kombe la Europa?

    Hii siyo sahihi, sheria inaruhusu timu tano kushiriki endapo bingwa wa europa cup na champions league atakua si mmoja wa wale top 4 ndipo mshindi wa nne kwenye league anaqualify moja kwa moja europa cup.
  4. P

    Apps za radio

    Tunein
  5. P

    Utabiri:Makato ya HESLB ya asilimia 15 kuongeza makosa ya mtandao

    Kwa mwenye contract ya loan board kabla ya mabadiliko ya 15% naomba anisaidie
  6. P

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Itakua hajaelewa maana ya long pases[emoji85]
  7. P

    Police Tanzania wanunua gari ya usd 1,000,000

    Mmmmh jamani range sports ndo bei huanzia £50,000 napo inategemea ni ya aina gani kama ni V8 iko kwenye £80,000 na bei za kawaida za new vogue kabla ya kusafirishwa zina range kwenye $ 90,000 -$120,000 hizo habari fuatilieni kwenye mitandao.
  8. P

    Shule za Sekondari za Serikali zimeanza kufungwa kwa kukosa chakula cha wanafunzi

    Duh nchi yangu Tanzania,Kwa hiyo shule zote zilizofungwa kwa madai ya kukosa chakula kumbe hazina maana nadhani ni shule nyingi sana zimefungwa au serikali ni kipofu au kiziwi?
  9. P

    Tamko la Al-Shabaab kufuatia mashambulizi ya kigaidi Garissa

    Tuache kujifanya tuna busara kwa kuonyesha upumbavu wetu hivi wakristo pekee ndio wakenya?hivi wanajeshi wa Kenya walioko Somalia wote ni wakristo? Tusiwe tunaendekeza ujuha kwa kivuli cha Dini na sio tunasema mbona wasomali wanabakwa na wakenya then wakristo pekee ndo wanauwa. Ingekuwa watu...
  10. P

    Utambue uislam kwanza kabla ya kuhukumu

    Tuache kujifanya tuna busara kwa kuonyesha upumbavu wetu hivi wakristo pekee ndio wakenya?hivi wanajeshi wa Kenya walioko Somalia wote ni wakristo? Tusiwe tunaendekeza ujuha kwa kivuli cha Dini na sio tunasema mbona wasomali wanabakwa na wakenya then wakristo pekee ndo wanauwa. Ingekuwa watu...
  11. P

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Hodi humu ndani,tumeshinda ila nasikitika Rooney na de gea walikua chini ya kiwango na de gea kawapa goli liver fools
Back
Top Bottom