johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 93,977
- 164,223
Kuna taarifa kuwa hata kama manchester watashinda europa cup hawatashiriki ligi ya mabingwa kwakuwa kanuni haziruhusu.Je kuna ukweli wowote?!
Ni kweli kabisa mkuuHamna hiyo..akishinda kombe la Europa anafuzu moja kwa moja Champs League
Wanasema Man U wangepata hiyo nafasi endapo tu bingwa wa uefa naye angetoka England, hapo ndipo mshindi wa 4 wa epl angekosa nafasi.Wanatolea mfano wa Sevilla ya Spain ilivyofanikiwa kikanuni.Nakumbuka wakati fulani totenham ilikuwa ya nne imapoteza nafasi, wakati huo bingwa wa uefa alikuwa Chelsea najaribu kutafuta ndoo ya europa ilibebwa na nani?!Hamna hiyo..akishinda kombe la Europa anafuzu moja kwa moja Champs League
Una uhakika?Ni kweli manU ikishinda uropa cup inacheza moja kwa moja UEFA Champion league, halafu mshindi wa nne EPL anaenda kucheza UROPA, halafu mshindi wa tano wa EPL anaambulia patupu hachezi UROPA kama ilivyozoeleka.
Ndio maana GARDIOLA, KLOPP na WENGER matumbo jato wanapigana vikumbo kuwahi nafasi ya 3 ambayo ndiyo salama.
Jose anachotaka ni walau abebe tu hiyo NDOO lakini ukweli wa kikanuni anaujua!Wewe jamaa unachanganya mambo! Ingekuwa hivyo Mourinho asingezipuuzia mechi za EPL.
Tunamkamua Ajax na tunatinga UCL.
Nyie Asenane mtacheza ALHAMISI usiku.
Pia timu ya nne ktk ligi nayo itaingia ktk hatua za awali za UCL na ikipita kama Manu nao watashinda europa cup basi england itakuwa na timu tano i think, rule unayosema nafikiri inaaply kwa defending champion kama hatokuwapo ktk top 4 basi yule wa nne atampisha defending champ aende tetea kikombe chake!Hamna hiyo..akishinda kombe la Europa anafuzu moja kwa moja Champs League
noooo, mshndi wa nne kama kawa atacheza uefa nae {ila kwa hatua ya ku qualify kwnza},,, so kutakua na 5 spots kwa tim za englandNi kweli manU ikishinda uropa cup inacheza moja kwa moja UEFA Champion league, halafu mshindi wa nne EPL anaenda kucheza UROPA, halafu mshindi wa tano wa EPL anaambulia patupu hachezi UROPA kama ilivyozoeleka.
Ndio maana GARDIOLA, KLOPP na WENGER matumbo jato wanapigana vikumbo kuwahi nafasi ya 3 ambayo ndiyo salama.
so ni timu 5 zitakua, sabab wamekwmbia apo juu endapo timu mbili zitashinda uefa na europa katika nchi tajwa hapo juu, ila tim hzo mbili zisimalize top 4! bas apo tim aliyeshnda kombe la uefa ataingia moja kwa moja hatua ya makundi ila yule aliyebeba europa ataingia hatua ya ku qualify ilihali aliyemalza nafas ya nne atakua amempisha uyo bngwa wa europaPeruzi web hapa CHINI wacha maneno
How the Europa League winners enter the Champions League
=============
• Regarding the top three associations (currently Spain, Germany and England): if two clubs from one of these countries win the UEFA Champions League and UEFA Europa League, and neither finish their domestic league in a position that qualifies them for the UEFA Champions League, the following will happen:
– The club that won the UEFA Champions League will go straight into the group stage.
– The UEFA Europa League winners will go into the UEFA Champions League play-offs.
– The club that had qualified for a UEFA Champions League play-off spot via their domestic league competition (i.e. finished fourth) transfer to the UEFA Europa League.
+++++++++++++++
Hii siyo sahihi, sheria inaruhusu timu tano kushiriki endapo bingwa wa europa cup na champions league atakua si mmoja wa wale top 4 ndipo mshindi wa nne kwenye league anaqualify moja kwa moja europa cup.Ni kweli manU ikishinda uropa cup inacheza moja kwa moja UEFA Champion league, halafu mshindi wa nne EPL anaenda kucheza UROPA, halafu mshindi wa tano wa EPL anaambulia patupu hachezi UROPA kama ilivyozoeleka.
Ndio maana GARDIOLA, KLOPP na WENGER matumbo jato wanapigana vikumbo kuwahi nafasi ya 3 ambayo ndiyo salama.
Nani kakuambia?Ni kweli manU ikishinda uropa cup inacheza moja kwa moja UEFA Champion league, halafu mshindi wa nne EPL anaenda kucheza UROPA, halafu mshindi wa tano wa EPL anaambulia patupu hachezi UROPA kama ilivyozoeleka.
Ndio maana GARDIOLA, KLOPP na WENGER matumbo jato wanapigana vikumbo kuwahi nafasi ya 3 ambayo ndiyo salama.
Ukitafsiri vizuri man U haiendi uefaPeruzi web hapa CHINI wacha maneno
How the Europa League winners enter the Champions League
=============
• Regarding the top three associations (currently Spain, Germany and England): if two clubs from one of these countries win the UEFA Champions League and UEFA Europa League, and neither finish their domestic league in a position that qualifies them for the UEFA Champions League, the following will happen:
– The club that won the UEFA Champions League will go straight into the group stage.
– The UEFA Europa League winners will go into the UEFA Champions League play-offs.
– The club that had qualified for a UEFA Champions League play-off spot via their domestic league competition (i.e. finished fourth) transfer to the UEFA Europa League.
+++++++++++++++
Bingwa wa uefa alikuwa nani?!!Nani kakuambia?
Msimu huu unaoisha ilishuhudiwa timu ya sevilla ikifuzu kucheza UEFA baada ya kushinda Europa Huku ikiwa out of top 4 huko spain na kwa mara ya kwanza la liga ilichezesha timu tano UEFA
AhahahahBingwa wa uefa alikuwa nani?!!