Recent content by Primary255

 1. P

  Hizi shule za English Medium zimetugeuza Wazazi kuwa Walimu?

  Tulipo ambiwa elimu sio lazima uajiliwe tuliahangaa sana.sasa ona madhala yake.
 2. P

  Yanga mnaivimbia TFF kisa kanuni imekiukwa. Mmejipanga kuzifuata kanuni zote au ni mihemko tu?

  Boss hanuniwi, sasa ngoja waone kitakachotokea maana wamesahau kuwa maisha lazima yaendelee.
 3. P

  Uchawi: Kwanini Nigeria na sio Misri?

  Siku moja kiongozi wetu wa madhabahu alikuwa anatoa ushuhuda kuhusu mambo aliyo kutana nayo Nigeria,hapo nilawa na mashaka nae.
 4. P

  Nisamehewe kwa kusapoti kufukuzwa kwa vijana JKT

  Hii ahadi ilitolewa na hayati,na majina yote alikuwa nayo,hapo ilibaki utekelezaji,me niseme kwenye hii dunia haki aipatikani kirahisi.
 5. P

  Saidia wengine kama wakati wako umekutupa mkono

  sio kwa ubaya ila nimeshauri tu mkuu(wazo sio vita)
 6. P

  Saidia wengine kama wakati wako umekutupa mkono

  Wakuu habari. Nimekuwa nikiwadadisi wazee wengi hasa wasomi kwa kujua kwanini wanapenda kwenda kuchukua madegree ambayo kwa umri walio nao ayata wasaidia kitu? au ndio itakuwa wasifu wa mwendanda zake. Kwa upande wangu ni bora hizo ada wanazo kwenda kulipia hayo masomo kwanini wasisaidie watu...
 7. P

  Hadithi ya kweli ya maisha yangu

  Mabuju buju,abhajita abhaaka.
 8. P

  Hadithi ya kweli ya maisha yangu

  Chimali wasu!!!
 9. P

  Mbinu mpya ya Kujiunga na Bando za Chuo za AIRTEL zenye gharama nafuu

  Airtel wanakupa Gb 10 mtandao katafute mwenyewe[emoji23][emoji23][emoji23]
 10. P

  Tanzania na Vifurushi vipya vya Data na Sauti (Aprili 2021) - Mwitikio wa wananchi

  Akuna kwenye unafuu mkuu,hata huku upigaji umebalikiwa kwa kina la Ndugulile,naanza kutumia simu ya tochi soon.
 11. P

  Nawezaje kuwa Usalama wa Taifa?

  Labda nikuweke sawa kwamba usalama wa taifa huanza kwenye jamii yako,je ulisha wahi kujitolea kuwa sungusungu pasipo kusukumwa au kuteuliwa na mjumbe? tuanzie hapo,maana kuwa usalama maana yake ni kuharifu au kutoa taharifa kwa vyombo vya ulinzi kama kuna watuhumiwa mtaani kwako,au we unataka...
Top Bottom