Inaendelea
Nirudi tena kwa Manzi angu...............
Kabla My wangu hajaenda chuo tulikua tunapendana balaa nikikumbuka mapenz aliyokua akinipa....ila mapenzi yakiwa yamenoga sana basi ujue ndo yanakarbia kuisha ( kwa kizaz chetu lakin ) kuna cku Manz alinambia anasafir kwenda Simiyu kuchukua Cheti cha form four ili aweze ku aplayi ( apply) Chuo, basi alinambia atarud cku hyo hyo ko nije nimpokee stend wakat akirud.
Kweli alisafir na wakat akiwa njian anarud alinambia niende kumpokea, ilikua usiku ckuhyo kimvua cha uongo kilinyesha na baridi ndo ilikua ya kutosha.
Mtaalamu ilivyofika saa mbili nilifunga ofisi huyo nikadandia boda kwenda kumpokea
Mywangu nilifika stend ya zamani basi lilikua bado halijafika ilibid nimsubir.Ilifika saa tatu Basi likawa limefika
AFRICA RAHA mtoto akashuka nikampokea pochi yake, tukaenda kwa boda mmoja ni mtu mzima tukapanda.Mywangu ndo alianza kukaa na kwa vile alikua amevaa kimini alikaa ki kike alafu me nikakaa nyuma yake.
Wakat boda iko kwenye mwendo wa taratibu me nilikua nampiga mabusu mazito mtoto wa watu mpk akawa hoi


nilikua nampapasa kwenye matiti na kiunoni, cjui yule boda aliona wivu au hisia zilimzidi.Tulivyofika ile njia ya kwa mkuu wa mkoa tulishangaa pikipiki inasimama.Boda alitutaka tushuke tuchukue boda nyingine aligomba kuwa hatuna adabu


yule myngu alimwambia adabu gani na huku hela unapewa

.
Ila hili tukio nikilikumbuka hua nacheka tu....basi tulichukua boda nyingine maana yule boda alivyo tushusha hakutudai hata hela, tulipanda tukasepa mpk kwao na Manzi mitaa ya Kamnyonge tuliagana nikasepa zangu kwa rafiki zangu ni wape hyo story.
Sema hyo
Mywangu alikua anapendwa na wengi walikua wakimtongoza ananambia fulani kamtongoza ko nilikua cna noma na hao wanao mtongoza maana nilijua nao wanajarbu bahat zao.
Me nilimwambia tu heshima ndo anipe.Jamaa mmoja tulikua tuna sali nae walikua ni marafiki wakubwa na
Mywangu mpk kuna cku moja tukia church manzi alinambia anajiskia vby ko akaondoka kwenda kwao..nilimwambia anisubir sehemu hivi nitamkuta.Sasa ile sehemu tuliyokubalia kuwa nitamkuta nilifika nikamkuta kasimama na kale kafala ( rafiki ake )..niliwapita bila kuwa semesha hasira zikawaka hatari.Dem mwenyew alijua akanifuata ananiita siitiki ( eti nikawa nimenuna




) alinikimbilia akaanza kusema ooh...usinifikirie vby yule ni rafiki cjui nini cjui nini....yani alijitetea sana cku hyo akanambia me ndo bwana ake wa maisha ( ila nyie watoto wa kike nyie


acheni laana za bure bure ) hasira ziliisha tukaanza kupiga story za kawaida.
Siku anaondoka kwenda chuo basii tabu ikaanza kuwa juu yangu...niki mtext kujibu mpk apende nikimwambia mbn kimya mara cjui yupo busy na kitabu na uki check last seen yake whatsapp ni online duh..na nilijua sina changu mpk nikakumbuka wasela walinambia kua huyu demu akishaenda chuo basi huna chako.
Demu alifanya stress zangu zizidi kuwa nyingi ukijumlisha na yule classmate kunipindua pale job.kuna cku ameweka status yupo na bishoo mmoja huko chuo ( Udom ) niliumia cjawai kuumizwa hivyo ila uzur hayo maumivu yalikua yananijenga



chakula kikua hakipiti yani mpk home walikua wanambia mbn ckuiz huwa unakula wapi mbn hatukuon ukikula...yan nyie acheni tu mapenzi.
Kabla hatuja achana rasmi na bado alikua hajaenda chuo nilijisikia vby ckumoja nilimsaliti.
Siku hyo ilikua hivi....Nilitoka job usiku sana nilifika home nikawa na chat na huyo mywangu.nilitoka nje kuongea na simu.ile namaliza tu kuongea naskia sauti ikiniita hoy..holy we holy...ilikua ni saut ya kike
kalikua ni kabinti kadogo ka form two alikua anaishi na bibi ake na walikua ni jirani zetu.Nilimfuata kusikia anasema nini...hakua na chamaana sana kuniambia.Nilimtaka tukapige story kwenye ile nyumba yetu iliyokua bado haijamaliziwa kujengwa, kalizingua kidogo lakin kakakubali.
Ile naondoka naye hivi bibi ake alitoka nje acha aanze kugomba kuwa mampelekea wapi mjukuu wake.niliona ili asilete noma nilimpa buku 2 huyo bibi akatulia kama sio yeye aliyekua anagomba.Alitaka niwai kumrudisha mjukuu wake.
Tulienda kwenye hyo nyumba ckua na story ko nilikapiga rungu katoto ka watu alafu nikarudisha kakalale.
Hako katoto nako kalienda kusimulia kwa marafiki zake ko noma ilikuepo lakin sio sana.
Tarehe 01 January 2020 ndo mapenzi yangu na
Mywangu yalifika tamati siku alinipigia ( wakati huo yupo chuo ) akanitakia heri ya mwaka akadai mapenz yetu yazid kukua kwa jina la Yesu kristo.
kesho yake tarehe 02 nikaona status kaniweka kaandika caption
old alafu status iliyofuatia alikua yeye na mpenzi wake mpya kaandika "*new chapter *".....jamani me nilikua na mademu wengi lakin cku hyo niliumia sana.
Mpk niliweka hapa Uzi nikiomba msaada wa namna ya kusoma sms za mpenzi wako bila yeye kujua.
Nilimua kwa muda lakini niliona ni ujinga kwa mtu kama mimi kuumia umia kisa mapenzi.Kwanzs nilimtafuta lizy wangu tukayajenga upya ingawa alikua mdangaji ckua na namna kabisa.
Note.Hapo nimewarudisha nyuma kidogo kabla cjaanza kutapeli/ kudhumu watu.
Nitarejea.