Saidia wengine kama wakati wako umekutupa mkono

Primary255

Member
Mar 23, 2021
16
45
Wakuu habari.

Nimekuwa nikiwadadisi wazee wengi hasa wasomi kwa kujua kwanini wanapenda kwenda kuchukua madegree ambayo kwa umri walio nao ayata wasaidia kitu? au ndio itakuwa wasifu wa mwendanda zake.

Kwa upande wangu ni bora hizo ada wanazo kwenda kulipia hayo masomo kwanini wasisaidie watu au ndugu wenye uhitaji?

Kivyovyote hata uwe tajiri au na elimu kiasi gani awawezi kosekana wasio jiweza au wasio na elimu katika ukoo.

Narudia ni bora kusaidia wasio jiweza kuliko kuongeza elimu isiyo kusaidia kwa umri ulio nao. #ukitoa droo ujanani uzeeni penalt zinakuusu.
 
ILLUMINATI RUMI

Senior Member
Aug 21, 2018
175
250
Baba yako,Kaka zako,Dada zako,ukoo wako wote,hao wote Ni maskini wa kutupwa mpaka uombe misaada kwa wazee wa wenzio Tena unawasimanga watakufa,kwani wewe haufi,Tena utakufa ukiwa maskini,huna elimu huna Mali,kumbuka kifo kinakuja kwa njia nyingi Sana sio uzee tu ,mawazo yako mafupi Sana na umaskini kwenye familia yenu hautaisha,acha wazee wasome,wewe kaa ukinywa pombe
 
Kaka pembe

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
581
1,000

Eeeeehh.....
 
sio kwa ubaya ila nimeshauri tu mkuu(wazo sio vita)
 
jiwekuu770

JF-Expert Member
Feb 12, 2015
2,184
2,000
Baba yako,Kaka zako,Dada zako,ukoo wako wote,hao wote Ni maskini wa kutupwa mpaka uombe misaada kwa wazee wa wenzio Tena unawasimanga watakufa,kwani wewe haufi,Tena utakufa ukiwa maskini,huna elimu huna Mali,kumbuka kifo kinakuja kwa njia nyingi Sana sio uzee tu ,mawazo yako mafupi Sana na umaskini kwenye familia yenu hautaisha,acha wazee wasome,wewe kaa ukinywa pombe

Eehh we jamaa cjui sura yako itakua mbaya kama kauli zako
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom