Recent content by Pressure point

  1. P

    JamiiForums Tanzania Wagombea 10 Urais Somalia ni Raia wa Marekani

    Zuio ni siku (90) yaani miezi mitatu au hujamuelewa Trump
  2. P

    JamiiForums Tanzania Matokeo Kidato cha Nne 2016 yatoka, Feza Boys yaongoza!

    Masjid wanafundisha Kibra, wakisoma nani achinje kuku!!!??
  3. P

    JamiiForums Tanzania Bukoba kuipiku Dubai kwa miundombinu kabla ya 2017

    Ivi mna chuki binafsi na wahaya nini, mtu anajitungia uzi ili mradi awachambe wahaya na mlivyo na uwezo mdogo wa kufikiri mnatokwa mapovu kidogo mpasuke yaani mpaka mnataka kulia watu kama awa ndo wanahanzisha uzi wa dini x vs dini y akili za kuambiwa changaya na zako "A child who can wash...
  4. P

    JamiiForums Tanzania Mzee wa Upako: Weka muziki acha maneno ndio yenyewe

    Zitakuja dini zote ila RC itabaki ni roma co mimi
  5. P

    JamiiForums Tanzania CIA ya wamarekani yatoa takwimu ya wakristo/waislam TZ ktk website ya

    Zinaweza kuwa za kweli kwani ni majuzi tu walipotoa data wailivyo kuwa wakiifanyia uchunguzi tanzania mbn watu awakusema walikusanya lini data zao hawa watu ni wasiri sana
  6. P

    JamiiForums Tanzania Nimeamua kubadili dini na kuwa Mwislamu

    Jk kujenga shule yalikuwa majukumu yake aliopewa na wananchi wa dini zote
  7. P

    JamiiForums Tanzania Nimeamua kubadili dini na kuwa Mwislamu

    Umezaliwa 2000 -2017 mpaka umehenda chuo nakufundisha tena kwanza ndo tupo mwanzon mwa mwaka kwel watoto wa muddy mna mambo
  8. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu wa zamani ( ex - girlfriend ) ananilaumu na kunipa lawama kwa matendo niliyomfanyia

    Izo pcha ndo demu mwenyew au????
  9. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi ya ku root simu yako ya Android

    My 4n version Is 5.2.2
  10. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi ya ku root simu yako ya Android

    Mkuu mbona mimi naambiwa nkusanye tokens kwanza (collect tokens ) about 7000 hapo vp kwan???
  11. P

    JamiiForums Tanzania Shoga maarufu mjini Dar apania kumpokonya Jux kutoka kwa Vanessa Mdee

    Inaonesha mshkaji kazamilia kwel mchek hapo chini na anavyoeleza feelings zake!!!
  12. P

    JamiiForums Tanzania Shoga maarufu mjini Dar apania kumpokonya Jux kutoka kwa Vanessa Mdee

    Mmhh duh Umempenda gafla!!! We bigonzo kwel
  13. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vipepeo Weusi: Mkakati Namba 0034 (Simulizi)

    Unazngua nnavyokujua toka primary
  14. P

    JamiiForums Tanzania Dully sykes aachia ngoma mpya!

    Kachanganya radha kiganda hicho iyo kolasi ni ya ngoma ya Jose chameleon ktambo sana na ilikuwa hit song cc watu wa Mtukula kwenye border ya Uganda tunajua sana
  15. P

    JamiiForums Tanzania Manfongo mbona kimya

    Mwaga maji tucheze kama kambale, wiso wiso garagara nasema garagara , miguu yote juu.....!!!
Back
Top Bottom