Dully sykes aachia ngoma mpya!

Dully ni mtu mkubwa mno na anajua wapi atapata watu wa kumuandikia nyimbo aende kwao asilazimishe vitu.

Na aache kutengeneza nyimbo zake mwenyewe anaziharibu..atafute Producer mwingine awe anafanya ngoma huko kama ilivyokuwa kwa INDE.

Wimbo ni Kawaida mno kwangu.
 
Wimbo biti linafanana na baadhi ya nyimbo zake za nyuma.. naungana na mkuu aliesema sasa ifike wakati wabongo waache kufanya kaz zote, kutunga, kuimba, kuproduce vyote mtu mmoja
 
Kachanganya radha kiganda hicho iyo kolasi ni ya ngoma ya Jose chameleon ktambo sana na ilikuwa hit song cc watu wa Mtukula kwenye border ya Uganda tunajua sana
 
Back
Top Bottom