Vipepeo Weusi: Mkakati Namba 0034 (Simulizi)

Inakuja wakuu.. Episode 7, lazima idondoke usiku huu huu..

Ila hakikisha uko na mwenzi wako pembeni, usije ukajiunga Chaputa bila kupenda..

Mimi hapa Nifah ameniganda ubavuni.! Anajua balaa la leo litakalosababishwa na hii episode..

Tuvute subira kidogo! Inadondoka ndani ya lisaa limoja..
Aiseee sisi wazeee tufanyeje?


Baaaasi ngoja niangalie mechi za Afcon Diamond vs Cameroon
 
mh.waziri kamfungukia ray mazima..kama vile ni mwenzao kitambo...

iko poa mkuu...."I hav plan".....
 
Muhimu: Episode hii ina vipande vyenye kuchochea/kuamsha hisia za kimapenzi. Readers discretion is strongly adviced.

EPISODE 7

Tayari tulikuwa tumefika Mazimbu Morogoro. Na tulikuwa tupo sebuleni mimi na Cheupe.

Njiani tukiwa tunatoka Dar kuja Morogoro, nilimsimulia Hasnat kila kitu ambacho kilitokea.

Kuanzia kuchukuliwa na watu wa Usalama kutoka kwenye gari yangu maeneo ya Magomeni Popobawa na kupelekwa Mbezi Beach, kukutana na maafisa wao akiwemo Baba Bite, uwepo wa Waziri Charles Wangwe katika kikao hicho na kila kitu walichonieleza kuhusu mikakati ya The Board na wanachohisi kuhusu mkakati namba 0034.

Pia nikamueleza kuhusu kwanini Usalama wa Taifa wanamshikilia Baba yake Muhandisi Jaffar Kumbea. Nikamueleza kuhusu Mhandisi kumbea kukutana na Waziri Kipanju muda mfupi kabla ya Waziri kupigwa risasi maeneo ya Ubungo na kupotea kwa nyaraka alizokuwa nazo.

Safari yetu yote kutoka Dar mpaka Morogoro nilikuwa namuelezea mambo haya kwa kina na kwa utaratibu. Nilikuwa nataka ayaelewe mambo haya kwa ufasaha kutokana na mpango wangu niliokuwa nimeupanga kichwani.

Sasa nilikuwa nimeshamaliza kumueleza kila kitu na alikuwa ameelewa kwa ufasaha kabisa na tulikuwa tumeshafika Nyumbani mazimbu, tumeoga na tumekaa sebuleni na kulikuwa na swali moja tu mbele yatu.

"So what's your plan Ray?" Akaniuliza Cheupe. Tulikuwa tumekaa kwenye Sofa dogo la watu wawili na tumevuta meza karibu yetu na nilikuwa nimeweka makaratasi kadhaa juu ya meza nayachambua chambua.

Nikaacha kuchambua yale makaratasi nikakaa sawa na kumuangali.

"Cheupe, sasa hivi sitaki kufanya chochote kwa ajili ya kusaidiana na The Board wala watu wa Usalama. Kilichopo akilini mwangu ni namna gani tunaweza kusaidia Mzee wetu asipatwe na matatizo makubwa ya kukabiliwa na kesi ya mauaji! Hayo masuala yao ya ugomvi wa vitalu vya gesi na mikakati yao sitaki kujisumbua nayo! Thats their business not mine" nikaongea nikiwa nimemsogelea cheupe.

"Nimekuelewa hilo baba toka mwanzo" Cheupe akanijibu.

"Kwahiyo sasa, ninachokiona ni kwamba jambo la kwanza kabisa ili kuelewa kwanini Waziri Kipanju aliuwawa inatupasa tuelewe wanachokipanga The Board, na hii inaweza kutoa mwanga nyaraka zilizoibiwa siku Wazriri alipouwawa zilihusu nini na pengine inaweza kutuwezesha kumjua muuaji halisi" nikamueleza Cheupe sasa nikiwa nimemkaribia karibu yake kabisa.

"Ok! That make sense! So umepanga tunafanikishaje hilo?"

"Ninachokiona uwezekano pekee kwangu kuelewa kilichopangwa na The Board ni kuanza kwenye source iliyonifanya niingie kwenye mipango yao.. Hapa naongelea Alice Cartz Foundation, na nikiwaongelea wao nawagusa donors wao Ndeshema Safaris na nikiongelea Ndeshema Safaris tunamuongelea mmliki wake Eric Kaburu." Nikanyamaza kidogo.

"Nakusikiliza baba" akaongea Cheupe huku ananiangalia kwa macho ya udadisi.

"Tunachotakiwa kufanya ni kuhakikisha kuwa Eric Kaburu anazungumza nasi! Na hili kufanikisha hili natakiwa nikae nae kwa muda mrefu kumshawishi kwa kutumia details zozote ambazo tutakuwa nazo juu yake ambazo zinaweza kumfanya asiwe na jinsi nyingine zaidi ya kuongea nasi" nikamueleza huku namtazama machoni. Cheupe alianza kupepeaa macho, alikuwa na desturi akianza kupaniki anapepesa macho haraka haraka, akiyafumba na kuyafumbua.

"Well, kama hukumbuki wacha nikukumbushe! Ni juzi tu umetoka gerezani kuongea naye na amekataa na akakuambia kwa usalama wake na wako usiende tena kumtembelea ili uongee naye" akaongea Cheupe huku kupeoesa macho kukiwa kumeongezeka.

Nikavuta pumzi ndani na kuzishusha taratibu. Nikajikaza kiume ili nipate ujasiri kumuambia "bomu" nililokuwa nimelipanga kichwani. Nikamuangalia machoni Cheupe na 'kutumbua jipu'.

"Cheupe, nataka niingie gerezani nikiwa kama mfungwa au mahabusu" nikamueleza huku nimemkazia macho hasa.

"Whaaaaaaaaaaattt.!!?? I knew you had a crazy idea lakini sikudhani litakuwa wazo baya kiasi hiki! No no no no nooooo Ray, you are not going anywhere! Unanisikia? You are not going to do that"

Cheupe aliongea kwa hisia huku akianza kulengwa lengwa na machozi. Alijua fika kuwa haijalishi angenisisitiza kiasi gani lazima ningetekeleza wazo hilo.
Alijua udhaifu wangu. Nikishapataga wazo kichwani mwangu, inakuwa ni impossible to talk me out of it! Lazima nitalitekeleza. Nikamuona akianza kulia.

"Hasnat please I have to do this.. Kesho Issack anakuja hapa Morogoro na mimi nikishaingia gerezani mtashirikiana kukusanya taarifa kuhusu Kaburu then mtakuwa mnaniletea gerezani ili zinisaidie kumshawishi aongee na sisi" nikaongea kwa taharuki.

Wote tulikuwa tumesimama. Hasnat alikuwa analia akishindwa aniambie nini ili nielewe. Nilitamani nibadili mawazo yangu, lakini kila nilipofikiria kubadili mawazo nikajikuta najiuliza. Je, kuna alternative nyingine? Na nikajijibu mwenyewe hakuna!
Hasnat alikuwa ana bubujikwa na machozi. Roho iliniuma kweli kweli. Nikamshika na kumsogeza kwangu na kumkumbatia kwa nguvu.!!

"Please don't do this to me Ray, please don't!" Hasnat alilia na kuongea kwa sauti ndogo.

"I have to do this honey! I have to do this kwa ajili ya Mzee, kwa ajili yako, kwa ajili yangu, kwa ajili yetu sote! I have to do this honey, I'm so sorry!!" Nikamkumbatia kwa nguvu zaidi.

Hasnat akaendelea kulia na kadiri muda ulivyokuwa unaenda kilio chake kilijuwa kinapungua. Zikawa kama kwikwi hivi. Nikaendelea kumkumbatia kwa nguvu.. Akalala kifuani kwangu tukiwa bado tumesimama pale pale katikati ya sebule.

"Hasnat nadhani nikueleze sasa jinsi nilivyo panga kuingia………" Kabla sijamaliza kusema nilichotaka akanikatisha.

"Please Ray, usiseme chochote kingine! Just hold me tight" akaongea akikilaza tena kichwa chake kifuani na mimi nikamkumbatia kwa nguvu.

Nikamsogeza kwenye sofa kubwa ya watu watatu. Tukajilaza. Akalala kifuani kwangu huku nimemkumbatia kwa nguvu.
Tukakaa hivyo kwa takribani dakika kumi bila yeyote kati yetu kusema chochote.
Mara Hasnat akainua kichwa na kunitazama.

"Honey I'm scared!" Akaongea huku ananitazama ndani ya macho.

"Unaogopa nini mama?" Nikamjibu huku namdekeza kwa kupitisha vidole vyangu kwenye nywele na kumkumbatia kwa nguvu.

"Gerezani sehemu ya hatari baba, I'm really scared" akaongea huku bado ananitazama machoni.

"Usijali mama, its going to be fine" nikamjibu kiume nikimuondoa hofu kisha nikaweka mkono nyuma ya kichwa chake na kumvuta taratibu nikimuashiri aendelee kulala kifuani.

Akalala ingawa kichwa hakikulala kifuani exactly kilikuwa juu kidogo ya mabega yagu na kufanya uso wake uwe umenigusa shingoni.

"Nakupenda sana Kichwa!" Akaongea taratibu sana kama ananinong'oneza na dizaini kama ananibusu kwa taratibu sana shingoni. Nikaanza kusikia kama cheche kwa mbali zinapita mwilini.

"Nakupenda zaidi cheupe wangu" nikamjibu kwa sauti ya taratibu pia huku nami nikipitisha vidole kwenye nywele.

Yale mabusu yake ya taratibu shingoni yakaaanza kugeuka na akanza kuninyonya shingoni kwa taratibu.
Zile cheche nilizokuwa nazisikia mwilini zikaanza kuongezeka na "jambazi Mkuu" wa toka utotoni bolo yanki nikaanza kumsikia anaamka kutoka usingizini.

Nahisi Cheupe alihisi jinsi nilivyosisimka, na akataka 'kunitesa' zaidi. Akapenyeza mkono ndani ya pensi taratibu akamshika jambazi kuu. Bolo yanki hanaga utani akiguswa tu anachachamaa, nikamsikia alivyosimama mara baada ya kuguswa. Cheupe ili kumpandisha hasira zaidi bolo yanki akaanza kuchezea mayai yake.
Daaaammmnn, nikaanza kusikia mwili jinsi ulivyokuwa unaitikia uchokozi unaofanywa na cheupe. Na kwa kuwa cheupe alidhamiria 'kunitesa' zaidi akatoka mkono kutoka kwenye pensi.. Mda huo mimi tayari nishaanza kuwa hoi, alafu alaniangalia moja kwa moja machoni.

Akawa kama anatabasamu hivi, alafu akakipaka mate kiganja chake cha mkono kwa mtindo kama anakilamba hivi kisha akaingiza tena mkono ndani ya pensi. Combination ya vile vitendo alivyonifanya nilisikia raha na kusisikwa nikajikuta nimemkamata kama katoto na kumvuta kwa nguvu nikaanza kuinjoi kunyonya lips zake na mate.

Mkono wake bado ulikuwa ndani ya pensi unamfanyia fujo bolo yanki.
Na mimi nikapenyeza mkono wangu taratibu ndani ya top ya kuanza kuziminya 'konzi' kifuani kwake.
Nikaanza kumsikia jinsi alivyoanza kuhema juu juu kwa haraka.

Ghafla tu cheupe akajivuta na kushuka chini akaanza kunisaidia kuvua pensi. Na mimi niakavua tisheti 'fasta fasta' na alipomaliza kunivua pensi akavua top yake.

So, mimi nilikuwa kama nilivyozaliwa na yeye alikuwa kifua wazi ila akiwa amebakia na kikaptula tu ambacho alikuwa amekivaa mda wote.

Nikiwa nimelala pale kwenye sofa, Cheupe akashuka na kupiga magoti.
Jambazi kuu bolo yanki mnara ulikuwa uko juu kweli kweli lakini baada ya cheupe kupiga magoti ili ampooze kwa 'kumtesa', kitu kikaenda dede zaidi mnara unasoma 4G.

Cheupe akaanza kucheza na jambazi kuu na mdomo wake. Kwa kila aina ya utundu na ufundi. Mara acheze na kichwa tu cha mnara, mara atumie mikono tu. Katika mda huu nikasahau matatizo yote duniani, kuna mda unasikia raha mpaka hujui urespond vipi! Nilichokifanya ni kumshika kichwa tu na kumuacha cheupe aendelee 'kudili' na jambazi kuu.

Baada ya kuridhika kumpooza jambazi kuu, cheupe akaanza kufanya utalii taratibu kwenye mwili wangu huku akibusu na kunyonya kila palipomvutia. Kuanzia tumboni, kifuani mpaka akafika mdomoni.

Nikamuinua na kumgeuza yeye akawa amelala juu ya sofa na mimi nikasimama. Nikamuinua miguu juu kisha nikamvua taratibu kikaptula chake na kuanza kuubusu mguu mmoja mmoja, kuanzia kwenye vidole mpaka kwenye mapaja, nikafanya hivyo pia kwenye mguu mwingine.
Kila nilipokuwa nashuka chini nikimbusu mapajani, pumzi zilimuishia cheupe wangu akaanza kuhema juu juu. Sikumchelewesha. Nikakata tiketi ya bombadia, nikaenda uvinza kuchimba chumvi.

Kila alipokuwa anakaribia kutaka kufika kibo na mawenzi nikawa naacha 'kuchimba' chumvi.. Makusudi tu ili 'nimtese'..

"Ray pleeeeeeeeeeaaassse" alijinyonga nyonga na kulia kila mara.

Nikainuka na kuanza kuzinyonya 'konzi' kifuani kwake, kisha nikahamia shingoni, na kisha mdomoni.
Nikiwa naendelea kutalii mdoni kwake, nikamuinua mguu mmoja na kuuweka begani kisha nikamruhusu jambazi kuu aingie alipe kisasi cha kuteswa mda wote huu.

Nikaanza kwa kupiga 'punch' za taratibu tu lakini zilizo shiba dona na sato.
Nilikuwa natoa dozi huku sibanduki kumnyonya mdomoni kwake na shingoni. Cheupe wangu akawa anagala gala tu kwa raha. Nilipoanza kumpa dozi mikono yake nilikuwa nimeishika na kuibana kwa kuigandamiza kwenye sofa.
Lakini kadiri utamu ulivyomkolea alikuwa anahangaika aitoe mikonoanikumbatie. 'Nikamtesa' hivyo kwa muda na baadae nikamuachia, akanikumbatia kwa nguvu akihaha asijue ashike wapi. Mara ashike kiunoni, mara anipapase mgongoni, mara anishike shingoni na kunivuta kwa nguvu nimnyonye mdomoni. Ili mradi tu raha ilikuwa imemkolea.

Nilipoona raha imemkolea zaidi na anakaribia kufika mawenzi, nikaongeza uzito wa 'punch'! Nikaanza kumpa punchi nzito nzito. Mimi mwenyewe wazungu nilishaanza kuwasikia wanakuja, nikajikaza ili niwaachie waende kwao mda ule ule cheupe akiwa juu ya mawenzi. Cheupe mwenyewe anasemag "hakuna raha duniani kama kufika pamoja".

Nikaanza kusikia jinsi mwili wake ulivyokuwa kama unavunjia vipande vipande, akijinyongorota kwa kila namna na amenishikilia kiuno kwa nguvu kweli kweli. Ooohh yeah, alikuwa anawasili mlimani, na mimi hapo hapo nikawaruhusu wazungu waende kwao.

Hakika hakuna raha kubwa kama kufika juu pamoja. Kwa jinsi ambavyo tuling'ang'aniana na kila mmoja sauti aliyoitoa! Hakunaga kama zile sekunde ishirini na tatu za kufika juu ya mlima.

Nikajitupa juu ya Cheupe niko hoi! Akawa ananipapasa tu mgongoni. Baada ya muda nikalala pembeni yake, bila kuongea chochote tukiendelea kunyonyana mate kwa karibia dakika kumi na tano.

Baada ya muda kidogo Cheupe akakumbuka maongezi yetu tuliyokuwa tunaongea kabla 'hatujaondoka duniani' na kurudi tena.

"Thank you honey! Nakupenda sana kichwa" akaongea huku anashika shika kidevu.

"Anything for you hny! Nakupenda zaidi cheupe" nikamjibu huku namuangalia machoni.


"So tell me hiyo plan yako ya namna utakavyoingia gerezani" cheupe akaniuliza.

"Ni simple tu" nikamjibu na kukaa sawa kuanza kumueleza.

Itaendelea Jumatano..
 
Damnnnn jambazi kuu na mimi ameanza fujo wacha nimuamshe bibi @CIkey hali ni mbaya,
Kwa style hyo mkuu usiende jela ooohhhhooo kule hakuna hayo mambo kule ukizubaa unaombwa ww (kidding)
Ila shukurani mkuu umekeep promise yako japo ni too late lakini nishakusamehe najua tatizo ni nini
goodnite The bold, Nifah
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom