CIA ya wamarekani yatoa takwimu ya wakristo/waislam TZ ktk website ya

Aisee wamarekani C watu wa mchezo mchezo, nimeingia katika WEB library ya Central intelligence Agency Nimekuta data ambazo hata Serikali ya TZ hawana, nimeona data mbalimbali kila aina, kilichonistua ni hizi takwimu za wakristo na waislamu tanzania hizi hapa chini

Christian 61.4%, Muslim 35.2%, folk religion 1.8%, other 0.2%, unaffiliated 1.4%
note: Zanzibar is almost entirely Muslim (2010 est.)

Kwa data zaidi ingia link hii hapa
The World Factbook — Central Intelligence Agency

Je hizi data za wamarekani ni za kweli????
wapo sahihi. ingelikuwa vice versa, Lipumba angeshashinda urais miaka mingi sana, lakini kwasababu ni wachache, imeshindikana kabisa.
 
Hawana lolote hawa USA secret service yote kwa ujumla,
Kama Putin amewadukua hadi vyumbani kwao wanakolala sasa wameona waanze kuleta umbea kwingine ambako hata toothpick hatutengenezi.

Watuache, jamani matatizo yetu tu yanatutosha.

Aliyekaribu nao awaambie.jamani watuache kabisaaaa.
 
Jamani hebu acheni kutudanganya kamwe hakuna anayeweza kuingia websites za CIA wala FBI kamwe, usitudanganye hata usalama Wa taifa nchini mwako uzijui sembuse USA
 
Hao CIA si ndo walisema Saddam ana silaha za maangamizi Wakati siyo kweli!. Hao ni wa kupuuza tu, ni lini wamefanya sensa nchini?

Tungeweza kujua ukweli kama serikali ingekubali takwa la masheikh la kuweka kipengele cha dini za watu ktk sensa!

Hizi speculation za aina hii ndiyo maana Masheikh wakataka kukatwa mzizi wa fitina, kiwekwe kipengele cha dini za watu, ukweli ujulikane!
Unashindanaje kuzaa na mtu ana wake wanne!!!!!!!?:D:D:D:D:D Nawaza tu.
 
Kila kitu ni kww udhamini wa Marekani lakini swala la dini ni uongo, sensa ipi ilifanyika na kipengele cha dini? Tusitake kudanganyana hapa. Je hao wwfanya research wanaulizia dini?.
Ukiingia kwenye google utaona mengi kuhusu tanzania lakini ni uongo mtupu. Wanatuletea tqkwimu nyingi za uongo, eti mabusha yanatokana na kunywa au kula madafu, sasa mtu yuko kigoma na ana busha hilo dafu kala lini.
 
[:)QUOTE="Babati, post: 19441562, member: 239258"]wana vyanzo vya uhakika[/QUOTE]
kuwa na vyanzo vya uhakika aimaanishi hutakosea ndo maan wanasema hauna kiube kilicho perfect 100 %even machines
 
Unaonekana unawaamini na kuwapenda wazungu........ lkn jua tu kwamba wale si watu wazuri kiviiile hapo wanawavuta Mabikra Me'' subiri uone!
 
Unaonekana unawaamini na kuwapenda wazungu........ lkn jua tu kwamba wale si watu wazuri kiviiile hapo wanawavuta Mabikra Me'' subiri uone!

Watu ni sawa tofauti ya mtu mweupe na mweusi ni wingi wa Pigment ya Melanin kwa Weusi na uchache wa melanin kwa weupe

Think big, tofauti kubwa ni mazingira, wewe ungezaliwa kule usingekuwa unafikiria kama unavyokiria sasa
 
watu si sawa, nakataa!! weusi tulitapakaa Dunia nzima! mpaka leo ni ivo! utumwa tulipigwa changa la macho! na tulifikiria ivo ivo! Ki historia! weusi ni tofauti na weupe, kimwili,kimawazo, kimwenendo, ki lishe,

kisiasa na kiutamaduni hata uje na winch tutabaki ivo!! ivo mbona shega tuu mwana!.. ila wengi sana mmefundishwa na kuiga umagharibi sana!!...yoote ili kuficha kujielewa kwenu!

SIYO Melanin tu!! hata nywele zao ni tofauti na sisi!! ni wazi km mtu hana Melanin kabisa! au pungufu si ukilema huo Mazee?....huyo ni kilema!! akikaa kwenye jua anaumuka km Plastic! atakuwaje sawa na mie, labda weye!! lkn mie na waafrica wengine Nooo! yaani .ningekuwa kilema!!

hakuna mtu mwenye akili timamu anae furahia mapungufu yeyote yale! labda km anaumwa!..hata wao hawafurahii kutokuwa na Melanin ndo maana wanatumia nguvu nyingi sana kujibeba na kutubagua sisi wenye ukamilifu kimaumbile, .....

na lengo ni ili tusijue mapungufu yao!
 
Hakuna mkamilifu wewe, eti mkamilifu kimaumbile nachokuambia mitazamo ya watu na tabia inachangiwa na vitu vingi toka mtu alipozaliwa mpaka anapokulia, mazingira na culture kiujumla

Naamini katika akili na ufahamu wa mtu kuliko hata rangi au nywele, kuna wazungu kibao ambao wapumbavu ukiwauliza hata swali dogo, wakutajie mabara saba ya dunia hawayafahamu
 
Back
Top Bottom