Recent content by poverty eliminator

  1. poverty eliminator

    Mjue Kanali Seif Bakari, ivumayo haidumu, asubuhi imekaribia

    Haya mambo kama ya State Research Bureau ya Iddi Amin, Go with him to where he sleeps
  2. poverty eliminator

    Jinsi ninavyotengeneza Websites zenye mvuto bila ujuzi wowote wa Coding (Hatua kwa Hatua)

    Ni kweli. Maana hata hizo plugins na themes wanazotumia ni products za hao Coders. Yaani kwa kifupi bila coding na uwepo wa coders hiyo industry ya wordpress haiwezi kuexist.
  3. poverty eliminator

    Kwanini Watu Hawapendi Kulipa Kodi Ya Mapato!?

    Hata pesa zikijenga mikoani still watu hawataona umuhimu wa kulipa kodi. Nikupe mfano mmoja, wakati inajengwa barabara ile bagamoyo msata watu walikuwa wakilalamika kuwa mkwele anajenga kwao, lakini wanasahau ile njia pia watu wanaoenda tanga, kilimanjaro na arusha wanaitumia na inawasaidia...
  4. poverty eliminator

    Introduction to Facebook and Instagram Ads (Matangazo ya sponsored) 2020

    Safi sana chief. Unajua hivi vitu watu wengi hawavifahamu, mtu anajua ukishalipia tangazo tu facebook basi ni lazima upate sales. Hii ni knowledge ambayo watu wanatakiwa kuipata ili waweze kufanikiwa kwenye kufanya marketing kupitia hiyo mitandao. Kuna kitu umekieleza hapo mwanzo kuhusu purpose...
  5. poverty eliminator

    Mbona matajiri hawavai vizuri, hawapendi kula bata na wakati hela wanazo?

    Ni kweli jamaa ameangalia vitu vidogo sana, lakini matusi wanayofanya hawa wenye pesa ni hatari......Larry Ellison amenunua private island ya $300 million huko Lanai, Hawaii.....ni shidaaaa.
  6. poverty eliminator

    Mbona matajiri hawavai vizuri, hawapendi kula bata na wakati hela wanazo?

    Nadhani pia ni hulka tu ya mtu na mtu. Larry Ellison, Co-founder wa Oracle Corporation ni mmoja wa mabilionea wakubwa tu ambao wana spend ile mbaya, jamaa anaishi Lavish lifestyle sana, kwahiyo inategemea tu na hulka ya mtu.
  7. poverty eliminator

    Hivi ni kweli, huwezi kuwa tajiri bila kufilisika?

    Huyo Francois Nguema baba yake Teodoro Obiang Nguema yuko madarakani tangu 79, yaani zaidi ya miaka 41 sasa.
  8. poverty eliminator

    Online Chanel, Youtube, Instagram na Facebook ziangaliwe zina pesa

    Kwa mtazamo wangu nadhani kwa nchi kama Tanzania na nchi nyingi za Africa mtumiaji wa mitandao ndiye anayelipa kodi. Yaani mtu mmoja mmoja na makampuni ambayo yanatangaza kupitia hiyo mitandao kutokana na vifurushi vya data wanavyonunua pamoja na makato ya card za benki wanazotumia kulipia hayo...
  9. poverty eliminator

    Vijana msipoteze muda kwenye project zenu za kiteknolojia

    Mkuu hapa ulikosea, we uliacha kazi ya kwenye kampuni na kufanya privately lakini still ulikuwa bado unasubiri clients then uwe hired, so you were working on someone else. Developers wengi wametajirika kwa kuja na product ambayo ina demand kubwa na kuipeleka sokoni. Labda ungesema ulidrop...
  10. poverty eliminator

    Vijana msipoteze muda kwenye project zenu za kiteknolojia

    Mkuu, coding is about practical. Hizo useless apps wengine wanafanya kutest skills walizonazo, kama ulivyosema kwa vile soko huria hata wanafunzi wa vyuo wanaweza kucode hizo apps, lakini kikubwa siyo lazima watengeneze mamilioni ila wanafanya kutest skills walizonazo, ni kama kujaribisha...
  11. poverty eliminator

    Maalim Seif atangaza kugombea urais Zanzibar kupitia ACT-Wazalendo

    Hakika Maalim ile dhana ya PERSISTENCE anaitekeleza kwa vitendo.
Back
Top Bottom