Zanzibar 2020 Maalim Seif atangaza kugombea urais Zanzibar kupitia ACT-Wazalendo

Mbona Magufuli hamwachii Tundu Lissu kipenzi cha Watanzania?
Tundu ni wa Chama gani vile? Na Magu naye?

Kwa uchaguzi huu, kama huko nyuma CCM walikuwa wakisingiziwa kuiba Kura za maalimu Sharifu, mwaka huu ndio wafanye kweli haswaa, Kwa sababu Yule Mzee kwanza kazeeeka na istoshe amekuwa yeye yeye yeye Tu, hii inataka kutuaminisha kuwa, mbali na kuchoka bado anataka Uraisi tu,hofu yangu Zanziba isije kuruhusu jitu kuwa Rais ambalo halitakubali kuachia ofsi za Ikuru ya Zanziba!

Kwa sababu sio kawaida, tangu akiwa na miaka 45+ anatafuta Uraisi tu, kuna nini moyoni mwake?

Sio Dicteta kweli huyu Jamaa?

CCM na wa Zanzibari, chondechonde, msiruhusu jamii ya huyo mtu kukanyaga Ikuru mtajuuuta nawambieni yakhee!!
 
Tundu ni wa Chama gani vile? Na Magu naye?

Kwa uchaguzi huu, kama huko nyuma CCM walikuwa wakisingiziwa kuiba Kura za maalimu Sharifu, mwaka huu ndio wafanye kweli haswaa, Kwa sababu Yule Mzee kwanza kazeeeka na istoshe amekuwa yeye yeye yeye Tu, hii inataka kutuaminisha kuwa, mbali na kuchoka bado anataka Uraisi tu,hofu yangu Zanziba isije kuruhusu jitu kuwa Rais ambalo halitakubali kuachia ofsi za Ikuru ya Zanziba!

Kwa sababu sio kawaida, tangu akiwa na miaka 45+ anatafuta Uraisi tu, kuna nini moyoni mwake?

Sio Dicteta kweli huyu Jamaa?

CCM na wa Zanzibari, chondechonde, msiruhusu jamii ya huyo mtu kukanyaga Ikuru mtajuuuta nawambieni yakhee!!
Mbona hujasema CCM dikteta maana tangu tupate uhuru wanaongoza wao tu.

Muacheni bwana tukutane kwenye sanduku la kura...
 
Wanasema vyama tawala hung'ang'ania madaraka kumbe hata nyie watawala wa vyama pinzani mnang'ang'ania pia.
Unakijua ambacho kinamuuma toka uchaguzi wa vyama vingi 1995??Huyo jamaa sio wa kawaida hata Nyerere akiwa hai ndio alikuwa wa kwanza kubadilisha matokeo ya ushindi wa Seif mezani,na kama hiyo haitoshi chaguzi zote zilizofuata baada ya 1995 Maalimu hajawahi kushindwa na hao ccm,ccm inabebwa na hujuma,wizi wa kura na kulazimisha matokeo ikisaidiwa zaidi na tume na vyombo vya dola.
 
Maalim kwa muda wa miaka yote kweli umeshindwa kumuandaa mtu mwingine kuchukua nafasi yako.

Miaka yote ni wewe tu,ina maana wazanzibar hawana mtu mwingine wa kumkubali hadi wakukubali wewe tu kuwa mgombea wao kwa miaka nenda rudi,jua siasa ni kama jeshi.

Kamanda mmoja akifeli mbinu anarudi nyuma na kuacha mwingine aje na mbinu mpya za kushinda vita,wewe umeshafeli achia wengine.
Hii ni ishara hata siku ukiipta hii nafasi hautoiacha

Toka enzi za Mkapa mgombea ni wewe tu,badilika sasa,waachie wengine.
Huyu maalim ndiye chaguo la wazanzibar na hafanani na kamanda aliyeshindwa kwa sababu mara zote kila dalili zilionesha kuwa mshindi ni yeye.Hivyo kama anajiona anaweza bado basi aendelee kugombea mpaka waliomnyima uraisi waone haya kumnyang'anya tena.Zaidi ya hivyo huyu maalim ni mwanasiasa bobezi na mvumilivu moja ya sifa ya mwanasiasa na mtu afaae kuwa raisi.Amekaa jela miaka mingi,akanyang'anywa ushindi mara kadhaa na hakuwahi kuwahamasisha watu wapigane kwa ajili yake .Yeye ni siasa tu. na kuwapa watu matumaini.Kama ni mimi ningekwisha ondoka na presha au ningetumia makonde kwa kila anayekuja karibu yangu.
Wasi wasi nilionao ni kuwa huyu ndiye chaguo la CCM pia kuiongoza Zanzibar safari hii kwa kutaka kutubu kwa makosa yao.Kwa hivyo huenda wameshakubaliana atapata lakini atatawala kwa ajenda za CCM,hivyo atawacha mambo mengi alaiyowahi kuyasimamia ambayo ndyo yaliyompa umaarufu kwa wale wazanzibari wazalendo.Kwa hilo si tatizo kubwa na kila upande kati ya CCM na Zanzibar watakuwa wamefaidika na huenda upande wa CCM ukafaidika zaidi.
Kwa sababu yapo mambo yanayoihusu Zanzibar na ya kihistoria ambayo maalim Seif akashinda anaweza kuyasimamia lakini hatoweza kwenda mbali na muungano kama walivyokuwa wakihofia wale wakereketwa wa CCM.
 
Muuza nchi na msaliti, muongo muongo na mchonganishi wa muungano nani amtangaze kuwa rais?? Hizo kura za kumtangaza kuwa mshindi zitatoka wapi???? Mtu ambaye amekuwa brainwashed na kazi yake ni kubrain wash wazanzibar apewe nchi??? Kwa ufupi Mh. Seif hawezi na haitakuja kutokea kura kutosha maana wazanzibar hawamtaki kabisa kabisa, tena safari hii atapata kura kiduchu zaidi ya za last time. Awaachie vijana wagombee
Povu la nini kwa chama cha wenyewe? Ebu jikite kwenye wagombea wenu 30 tafadhali.
 
Ni kazi yetu sisi wana CCM kuwasemea wote. Huyo Mh. Seif hafai kabisa
Maalim Seif ndiye raisi mpya wa Zanzibar.Isipokuwa ni mchezo maalum wa CCM na ccm ni mahodari kwa njama za kisiasa.Atatangazwa kuwa raisi baada ya CCM kumtoa kwenye ajenda nzito alizokuwa akisimamia katika chaguzi zote tangu 1995.Hizo ajenda ni zile za kuipa Zanzibar heshima yake na uwezo wa kujiendesha yenyewe.Baada kutangazwa atafanyiwa mizengwe aondolewe kweny madaraka na hapo hakutakuwa tena na mtu wa kusimamia yaliyokuwa matakwa ya wazanzibari.CCM itakuwa imevuna pakubwa katika siasa za Zanzibar.
 

Similar Discussions

16 Reactions
Reply
Back
Top Bottom