Recent content by possible

  1. P

    JamiiForums Tanzania Nguvu chanya hubadili Maisha yako

    Asante sana The redeemer.
  2. P

    JamiiForums Tanzania 7 natural laws of business

    Tanzania Dream, tunashukuru kwa utafiti wako.Naomba kuuliza japo sio sehemu ya mada yako kwa leo, kwa nini unaandika M-ngu ?ni bahati mbaya au unamaana tofauti na sisi tunayojua ya Mungu?
  3. P

    JamiiForums Tanzania Umuhimu wa kupanga muda

    Moja ya mada bora kabisa ambayo nimesoma hapa JF.Bahati mbaya ,uzi ulikosa wachingiaji na hivyo ukawa mfupi. Mleta mada, ubarikiwe sana.
  4. P

    JamiiForums Tanzania Chanzo cha ufukara wa mtanzania ni kua na poor mindset

    Covax, hapo pa Mtanzania na nduguze umemaliza kila kitu.
  5. P

    JamiiForums Tanzania Roho ya utambuzi (Spiritual Discernment)

    mtoa mada Surya.Naamini unayo mengi ya kushare na ss tunaotaka kujifunza.Tafadhali shusha nondo zaid.
  6. P

    JamiiForums Tanzania Uhusiano wa Leo yako na kesho

    Mwl Mwakujonga, Umeongea jambo la msingi sana.Mungu akubaliki sana
  7. P

    JamiiForums Tanzania FT: CAFCC FINAL 22/23 Second Leg | USM Alger 0-1 Yanga SC 03/06/2023

    TBC wataonyesha hii mechi?
  8. P

    JamiiForums Tanzania FT: CAFCC FINAL 22/23 Second Leg | USM Alger 0-1 Yanga SC 03/06/2023

    TBC wataonyesha hii mechi?
  9. P

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuondoa Saratani, VVU/UKIMWI, Kisukari na Presha

    maji ya kunywa wa kuchimbwa chini yanapatikaje? au una manisha haya ya visima vya chumvi kwa hapa dar? n pia ,unafunga kwa muda gani?
  10. P

    JamiiForums Tanzania Natafuta Wanunuzi wa Mbegu za Alizeti

    Uko mkoa gani na bei ni shs ngapi?Ni vzr ukaweka taarifa za kutosha ili kuepuka maswali mengi.
  11. P

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Chakula cha Mifugo

    Mambo Jambo, Tupe mrejesho kama ulifanikiwa kuanzisha mradi wako wa biashaa ya chakul cha mifugo???
  12. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri tafadhali, mke wa mtu ananisumbua sana

    Mkuu, sumu haionjwi.
  13. P

    JamiiForums Tanzania Wazo: Kiwanda cha kusindika Maziwa (Morogoro)

    Ze farmer,vipi mlifanikiwa kuanzisha huu mradi wa kiwanda cha maziwa???
  14. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania The Art of Letting Go. Lessons from 2021

    Karucee 'The art of letting go" ni kitabu ?Kama ndiyo,basi mafunzo yake yafaa sana kwa mtu anayetaka kuishi kwa furaha.Kama la,basi tunashukuru kwa somo Kuntu
Back
Top Bottom