Chanzo cha ufukara wa mtanzania ni kua na poor mindset

Covax

JF-Expert Member
Feb 15, 2021
6,289
21,474
Mfano wa jamii tofauti wakipewa Ng'ombe wawili kama mtaji wao kujikamua kwenye umasikini.

UJAMAA/SOCIALISTS akiwa na Ng'ombe wa wawili atamgie jirani yake moja, na wana ishi katika shared poverty

COMMUNISM: ana Ng'ombe wawili serikali inazichukua na kuanza kuwapa maziwa.

FASCISM: una Ng'ombe wawili serikali inazichukua na kuanza ku kuuzia maziwa.

NAZISM: unakua na ngombe mbili serikali inazichukua na kuku uua.

CAPITALISM: una ng'ombe wa wili una uza moja una nunua ng'mbe dume zina zaliana sana unaanza kuuza mpaka una sitaafu unakua tajiri na ku uanza kula faida bila jasho.

NEO CAPITALISM: una ng'ombe wa wili unauza moja unapata Dume zina anza kuzaliana unaanza kununua za majirani, unawaajiri kua wachungaji kwenye famu yako na kuanza kuwalipa peanuts wages wanakufa waajiriwa masikini.

*MMAREKANI/US * unakua na Ng'ombe mbili una uza moja unarutubisha huyu moja mgine kutoa maziwa mengi kama ya ng'ombe 4, kwa kulazimisha hilo kukamuliwa maziwa mengi zaidi ya uwezo wake, ng'ombe anakufa unatafuta mtaalamu wa vertnary consultant kwa pesa kubwa kuchunguza sababu ya kifo.

MFARANSA: una Ng'ombe wawili unaanza maandamano kwa serikali yake ili apewe ng'mbe wa watatu.

MJERUMANI: una Ng'ombe wawili unawafanyia genetical modification ili waishi miaka 100 wana kula mara moja kwa mwezi tu ila wana jiendesha bila gharama zaidi.

MCHINA: ana Ng'ombe wawili ana wa uza kwa washindani wake na anza kutegeneza maziwa ya a plastic artificial milk ya bei kitonga anauzia majirani zake kwasbb ni ya bei nafuu kuliko maziwa original. ana tajirika sanaa na ku anza kufungua matawi mengineyo nje ya nchi yake.

MTAZANIA NA NDUGU ZE : Una Ng'ombe mbili anawachija wote siku ya krisimasi hadi Januari mosi, ku jipongeza kumaliza mwaka ana anza kuwaza serikali tena kumuletea Ng'ombe wengine, wasipo mletea una enda kanisani kuomba muujiza anaanza kufunga kula na kunywa kwa siku 40, nakujipaka mafuta ya upako ili Bwana awashushe kutoka binguni kwa njia yoyote, mwishowe unakufa masikini kabla ya wakati wake kwasbb ya mulnutrition/ lishe mbaya.

Kusema ukweli we are poor because we have poor beliefs.
 
Mtanzania anapata kazi Dar, anaenda huko Dar kazi mshahara ni 800,000 kwa mwezi yeye anaenda kupanga nyumba kodi 600,000 kwa mwezi ili awaonyeshe rafiki zake na ndugu anakula maisha.
Acha hilo anapata kazi serikalini baada ya kusota kwa miaka mitano mshahara 1.5m ana nunua gari ya mkopo 13m anaanza kuhudumia gari kila siku 30,000 kwa mwezi 900,000......mwishowe analalamikia serikali ya CCM.
 
Nimejifunza kwa muda kuhusu akili za watanzania wengi, ni watu wanaoishi maisha ya kujali watu wengine watawafikiriaje. "Acha niwaonyeshe watu na mimi nimo" kumbe wanajitesa wenyewe.

Unalipa 800k unataka ukale sehemu mlo mmoja na kinywaji ni 80k ili watu wakuone unakula sehemu ya matajiri.

Lakini pia kuna vitu kutokana na akili zetu za kimasikini tunaamini ukiwa navyo ndio utajiri na hivyo tunanunua ili watu watuone.

Kumiliki gari ni kitu muhimu sana kama hali yako inaruhusu lakini kwa zama hizi ambazo tuna taxi mtandao na zinafanya kazi vizuri sioni kama kukosa kimiliki gari itakuzuia kufanya mizunguko yako mjini kwa raha.

Mfano wa jamii tofauti wakipewa Ng'ombe wawili kama mtaji wao kujikamua kwenye umasikini.

UJAMAA/SOCIALISTS akiwa na Ng'ombe wa wawili atamgie jirani yake moja, na wana ishi katika shared poverty

COMMUNISM: ana Ng'ombe wawili serikali inazichukua na kuanza kuwapa maziwa.

FASCISM: una Ng'ombe wawili serikali inazichukua na kuanza ku kuuzia maziwa.

NAZISM: unakua na ngombe mbili serikali inazichukua na kuku uua.

CAPITALISM: una ng'ombe wa wili una uza moja una nunua ng'mbe dume zina zaliana sana unaanza kuuza mpaka una sitaafu unakua tajiri na ku uanza kula faida bila jasho.

NEO CAPITALISM: una ng'ombe wa wili unauza moja unapata Dume zina anza kuzaliana unaanza kununua za majirani, unawaajiri kua wachungaji kwenye famu yako na kuanza kuwalipa peanuts wages wanakufa waajiriwa masikini.

*MMAREKANI/US * unakua na Ng'ombe mbili una uza moja unarutubisha huyu moja mgine kutoa maziwa mengi kama ya ng'ombe 4, kwa kulazimisha hilo kukamuliwa maziwa mengi zaidi ya uwezo wake, ng'ombe anakufa unatafuta mtaalamu wa vertnary consultant kwa pesa kubwa kuchunguza sababu ya kifo.

MFARANSA: una Ng'ombe wawili unaanza maandamano kwa serikali yake ili apewe ng'mbe wa watatu.

MJERUMANI: una Ng'ombe wawili unawafanyia genetical modification ili waishi miaka 100 wana kula mara moja kwa mwezi tu ila wana jiendesha bila gharama zaidi.

MCHINA: ana Ng'ombe wawili ana wa uza kwa washindani wake na anza kutegeneza maziwa ya a plastic artificial milk ya bei kitonga anauzia majirani zake kwasbb ni ya bei nafuu kuliko maziwa original. ana tajirika sanaa na ku anza kufungua matawi mengineyo nje ya nchi yake.

MTAZANIA NA NDUGU ZE : Una Ng'ombe mbili anawachija wote siku ya krisimasi hadi Januari mosi, ku jipongeza kumaliza mwaka ana anza kuwaza serikali tena kumuletea Ng'ombe wengine, wasipo mletea una enda kanisani kuomba muujiza anaanza kufunga kula na kunywa kwa siku 40, nakujipaka mafuta ya upako ili Bwana awashushe kutoka binguni kwa njia yoyote, mwishowe unakufa masikini kabla ya wakati wake kwasbb ya mulnutrition/ lishe mbaya.

Kusema ukweli we are poor because we have poor beliefs.
Tanzagiza

Nimetembea club kadhaa Za Bei za vinywaji ambayo beer ni zaid ya 5000

Wanao chafua meza wengi ni watu weusi lakini watu brown colour kwenye meza zao hazizidi chupa nne za beer kama wakimaliza wanamuita mhudumu akoze moja moja kisha wanasema.

Nikawa najifunza kitu sana...ijapokuwa sijui huko katika clubs zao Za hao walami tupu.

Sisi maskini weusi tunamatumizi ya kujionyesha kuliko walami matajiri.
 
Hii ni tabu kubwa,inapelekea watu tunakuwa walalamishi kila wakati,mtu analipwa laki 9 kibongo ni mshahara wa mtu mwenye elimu kabisa lkn nilichojifunza kwakweli kwanza tuache kufikiri kuwa ukitumia sana utaonekana mjanja na tuwe na kiasi kifupi tuishi kwa kujihami labda liwe la dharula jambo
 
Mr. Covax sio kwa ubaya. Natumaini haupo kwenye kundi la MTANZANIA NA NDUGUZE. How far have gone financially?
 
Acha hilo anapata kazi serikalini baada ya kusota kwa miaka mitano mshahara 1.5m ana nunua gari ya mkopo 13m anaanza kuhudumia gari kila siku 30,000 kwa mwezi 900,000......mwishowe analalamikia serikali ya CCM.
Comment of the day
 
Mr. Covax sio kwa ubaya. Natumaini haupo kwenye kundi la MTANZANIA NA NDUGUZE. How far have gone financially?
Ulitegemea awe bakhresa ? Swali lako halina mashiko .
Maprofesa wanaofunfisha povery circle wameikata hio poverty circle?
Wanaoandika vitabu wengi wao sio matajiri mfano Napolean Hill hakuwa tajir anapoandika kitabu chake cha "how to be rich ".Aliitafiti jamii.
Ulitakiwa ujitafakari katika hayo makundi upo wapi. Isitoshe huo mfano jamaa kauboresha tu, huwa unatolewa na watu mbali mbali.
 
Back
Top Bottom