Ngoja niwakumbushe Hawa watoto,Obama alisaidiwa sana na CNN kuingiw madarakani,je Leo republican hawawezi kuichukia CNN,tatizo la Tanzania bado tupo nyuma kwa kila kitu,kula,kuoga,kutembea,maoni,arakuishi katika ndoa,sasa itakuwa kwenye maoni,clouds 360 pigeni Kazi wana mpo vema sana,achaneni na...