Recent content by Poor boy

  1. Poor boy

    JamiiForums Tanzania Simulizi ya Kijasusi: Safari ya Gavin Luca

    Pa1 mkuu tunasubiri mautyndu kutoka kwakooo 🤓
  2. Poor boy

    JamiiForums Tanzania Simulizi ya Kijasusi: Safari ya Gavin Luca

    Mkuu kweli tumesoma mpaka tunechanganyikiwa duh japo msiba wa gavin umeniuma ila sina namna,, wacha nikupe respect mkuu... UNAJUA, UNAJUA & UNAJUA TENA
  3. Poor boy

    JamiiForums Tanzania Simulizi ya Kijasusi: Safari ya Gavin Luca

    Nilikuw nafatilia kimya kimya hatimae nimewafikia,,,,,, kongole sana mkuu FEBIANI
  4. Poor boy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania SIKU UTAKAYOPATA AKILI NDIO SIKU UTAKAYOCHUKIWA NA WATU WOTE WANAONUFAIKA NA UJINGA WAKO

    Big up mkuu
  5. Poor boy

    JamiiForums Tanzania Simulizi ya kifantasia: Solo king: ancient legacy

    Iko poa san
  6. Poor boy

    JamiiForums Tanzania Simulizi ya kifantasia: Solo king: ancient legacy

    Shukran sana mkuu kwa simulizi kali kuwahi kutokea hapa jf
  7. Poor boy

    JamiiForums Tanzania Hadithi: Majaribu

    Ikiendelea unitag mkuu
  8. Poor boy

    JamiiForums Tanzania Mzungu anakuambia mpende Raia mwenzako, mpende Mwafrika mwenzako usimdhuru wewe unajibu "usiniletee ushoga". This is more than stupidity

    Sawa kaka wacha tusubiri hao wa reform tuone itakuwaje
  9. Poor boy

    JamiiForums Tanzania Mzungu anakuambia mpende Raia mwenzako, mpende Mwafrika mwenzako usimdhuru wewe unajibu "usiniletee ushoga". This is more than stupidity

    Vp kama na hao unaowataka wakibadilika na kuwa kama wao au hata zaidi ya hawa tulionao
  10. Poor boy

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tumechoka na huu mfumo, Bunge limejaa vichwa feki, nchi inateketea!

    Douh mwamba kachafukwa hataki us**ge ila anajisahau kama mabadiliko yoyote hayaji tu kwa kutoa emotions bali ni ku take actions So, ukitaka mabadiliko acha kulialia kama ivo,,,, chukua hatua na usisahau mabadiliko yanaanza na wewe apo....
  11. Poor boy

    JamiiForums Tanzania Mzungu anakuambia mpende Raia mwenzako, mpende Mwafrika mwenzako usimdhuru wewe unajibu "usiniletee ushoga". This is more than stupidity

    Oooh najua uko bongo, sasa unavotoa comment za kuchafua wabongo usijizime data kama nawewe pia umo kati ya hao unaowaita vilaza
  12. Poor boy

    JamiiForums Tanzania Mzungu anakuambia mpende Raia mwenzako, mpende Mwafrika mwenzako usimdhuru wewe unajibu "usiniletee ushoga". This is more than stupidity

    Haya sasa nataka wewe u take action chap ili ayo majanga yote yaishe!!!! Kumbuka kuendelea kukosoa bila kuchukua hatua yoyote ni upuuzi
Back
Top Bottom