Ewe mwanaume usikubali kuendeshwa na mwanamke.

Ewe mwanaume usikubali kuendeshwa na mwanamke.

Kumekuwa na wimbi kubwa sana la wanaume kupoteza thamani zao, kisa Wali date na kuoa wanawake wajinga.

Mr kweka tayari anaingia hatiani na kuteswa watoto wake kisa mwanamke mpuuzi.

Unajua kuna kitu kimoja ambacho sisi wanaume tunajisahau sana.

Mwanamke sio mauwa kama wasemavyo walimwengu, mwanamke ni mtu kama wewe, sio kiumbe dhaifu, sio kiumbe cha pekee. Usimpe umuhimu sana utapoteza.

Wanaume wengi sana wamejitoa kusaidia binadamu wenzao(wenye akili, mikono, na miguu kama wewe) eti kisa ni wanawake.


Kuna clip moja ya fundi mwashi naona ni bora nishee nanyi maana huenda elimu zenu zinawaponza, mnasahau kutumia busara zenu mlizo jaaliwa na mwenyezi Mungu.

View attachment 3685906
Hawa wanawake wenye uchafu kichwani mwao Kamwe wasikupannde kichwani.

Yaani wanataka kuendesha wanaume kwenye kila sekta, ukikosa hela unaitwa bahili, ukiwa na hela ukawa busy unaambiwa hujali, ukichoka na kazi ukaleta shoo mbovu unaambiwa sio rijali. Sasa hawa viumbe wanataka nini?

Wanaume, tuache kuwa washamba wa hizi mbogo, Kamwe usiruhusu mwanamke akupande kichwani. Ishi maisha yako bila kutaka validation ya Mwanamke. Acha kabisa kuwapa kichwa hawa viumbe, utapoteza na utamharibu maisha yako na akili ya afya.

Kwa yaliyo tokea mpaka sasa, Ikawe funzo kwenu wanaumme.

You should never give a shit, to a woman. Especially if their intention is to use you. Usiwe mdhaifu wa kihisia mpaka uka fall kwenye traps za mwanamke utapotea

Eti unakuta dume zima linakosa focus kazini kisa limeshindwana na mwanamke.

Stop the bs, man up and leave her behind, kipindi unamchukua alikuwa yukoje, mwache atarudi aliko toka.

Once a hoe will always be a hoe.

Ni hayo tu, nimeona niwape hii reminder muhimu.
Mkuu umechafukwa
 
Wewe Binti wa zamani ni kati ya wachache miompelekea moto de Gunner mpaka kufikia hatua ya kuwa mtu mbaya jukwaani na kuanza kudhihaki wanawake wote na kuwaita vikaragosi🤣

Ni wakati sahihi wa yeye kufocus katika mambo productive ili akifanikiwa mje mumpigie magoti kwa vilio vya kumtaka kisa kafanikiwa
Na bado, hata ukikimbilia ID mpya, tunajua ubwekaji wako Chiwawa 🦮 tutaenda na wewe sambamba!
 
Dawa mke kilomo limo kula pombe tu utaongea na barmed huko ukiludi ukimkuta amenuna ww imba muziki ya bar atakuwa analia
 
Uende sambamba na nani wewe bibi kizee? 😂
Na wewe jibwa pori

mean chihuahua dog GIF.gif
 
Victim blaming is insane bongo. Fala kweka anatetewa kuliko mtu aliyetolewa uhai, as if uhai una replacement. Kweka angekua anapenda sana mali zake asingesaidiana kujenga kwenye kiwanja cha mwanamke.

Wadada wabongo kazi mnayo, hawa jamaa wanawatoa roho muda wowote wanaona sifa. Tragic.
 
Back
Top Bottom