Kabisa yaani na dhana ya kulalamika ikikukaa kichwani ni Ulemavu... Maana hata sehemu ya kufanikiwa wewe ni kulalamika tu Kwa Lugha nyingine ni kudeka bila sababu kikubwa Pambana hata Shule sisi ambao tumesomea za kibabe mwanafunzi mbabe akikupiga siku ya kwanza ukaenda kumshitaki Kwa mwalimu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.