Nilianza kucheza karate nikiwa na miaka 4 nahitaji kutoa usugu kwenye vidole

Mr. Purpose

JF-Expert Member
Nov 12, 2016
684
1,000
Nilitokea kupenda martial arts kwasababu ya nidhamu binafsi unayojijengea kutokana na Mafunzo, ila wengi sana leo hii wamebadili sana kusudi la kujifunza hii michezo na kuitumia kama sehemu ya kujisifia ili waogopeke, wizi na ukabaji.

Unakutana na mwalimu anaweza practically ila principles hazijui na haoni tatizo kumfundisha mtu yeyote.

True martial artist hawezi kubali kiurahisi kukufundisha moja kwa moja.

Ulimwengu umebadilika, ukitaka kufaidi hii michezo vizuri soma sana na vitabu vya zamani zinazoelezea falsafa ya martial arts kiujumla na vitabu vinavyoelezea chimbuko la michezo hiyo utagundua martial arts ni zaidi ya kupigana physically.

Sent from my E2333 using JamiiForums mobile app
 
black hawk87

JF-Expert Member
Jan 25, 2020
516

Ndio maaana ikaitwa Elimu kutoka biggner mpaka 10dan (degree)
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom