Recent content by Polycarp Mdemu

  1. Polycarp Mdemu

    Katika historia ya AFCON

    Mahmoud El-Gohary na Stephen Keshi ndio watu pekee ambao waliwahi kutwaa ubingwa wa AFCON wakiwa kama Wachezaji, pia kwakuwa kama Makocha. Mahmoud El-Gohary yeye alitwaa ubingwa kama mchezaji mwaka 1959, pia akatwaa kama kocha mwaka 1998, Mara zote mbili akiwa na timu ya taifa ya Misri...
  2. Polycarp Mdemu

    Oscar Baumann mchoraji ramani wa zamani

    [emoji16][emoji16][emoji16]
  3. Polycarp Mdemu

    Oscar Baumann mchoraji ramani wa zamani

    [emoji106][emoji106][emoji106]
  4. Polycarp Mdemu

    Oscar Baumann mchoraji ramani wa zamani

    - Moja Ya Watu Muhimu katika Historia Ya Tanganyika na Zanzibar. - Jamaa alikua ni Mzaliwa wa Taifa La Austria, Na Alikua Mjuzi katika Taaluma mbili tofauti Kwanza Alisoma Cartography elimu ambayo Mtu hubobea Katika Kusoma Ramani na Kutafsiri Ramani ama Kusoma Ramani, Mtu ambaye anakua amesomea...
  5. Polycarp Mdemu

    Mwaka 1869 ulifunguliwa mfereji mashuhuri wa Suez (Suez Canal), mfereji unaofupisha safari ya kutoka bara la Ulaya mpaka Asia

    Mwaka 1869 ulifunguliwa Mfereji mashuhuri wa Suez (Suez Canal), Ni mfereji ambao ulitengenezwa kwa Nguvu ya Binadamu ili Kufupisha safari ya Kutoka Bara la Ulaya Mpaka Asia. Kabla ya kuwepo kwa mfereji huu Safari ya kutoka Ulaya, kwa mfano kutoka Bandari kubwa Ulaya iitwayo Rotterdam huko...
  6. Polycarp Mdemu

    Kuhusu kombe la dunia

    Producer wa Wimbo wa Kombe la Dunia (Official theme song) anaitwa RED ONE ni mzaliwa wa Morocco. Wimbo huo unaitwa Hayya Hayya (Better Together) umeimbwa na Trinidad Cardona (America) akimshirikisha Davido (Nigeria) na Aisha (Qatar) ulitoka 1 April 2022. Pia aliyechonga Kombe la Dunia la Mwaka...
  7. Polycarp Mdemu

    Siri ya wimbo wa Africa uliyoimbwa na Bendi ya Toto

    Kuna wimbo mmoja naupenda'ga' sana, sina uhakika kama unaujua, ngoja nikupe idea. [emoji362] Jason Derulo aliwahi imba wimbo unaitwa "Fight for you", wimbo huu ulikua na Kiitikio kilichoimbwa: "It's gonna take a lot to drag me away from you There's nothing that a hundred men or more could ever...
  8. Polycarp Mdemu

    The Grand Egyptian Museum

    Tunafeli wapi
  9. Polycarp Mdemu

    Kama siyo Martin Luther na William Tyndale basi mpaka leo tungekuwa watumwa wa Katoliki

    Nikuulize kitu labda kama wewe kweli unajua kitu na Umesoma kweli history ya hao watu. Je Biblia Aliyoiacha Martin Luther Ndio mpaka leo Waprotestanti mnaitumia?
  10. Polycarp Mdemu

    Safari za Columbus na Catholic Monarch’s Spain (01)

    Kama unafuatilia historia za Ulaya basi Ni lazima unamsikia skia mwamba wa Kuitwa Christopher Columbus nadhani ubongo wake ulifanya kazi katika kipindi muhimu ulaya cha Age Of Descovery. Anatambulika kama Mgunduzi wa Ardhi ambaye alifanya safari zake nne akikatiza bahari ya Atlantic (voyages...
  11. Polycarp Mdemu

    The Grand Egyptian Museum

    Juzi hapa Tuliona Misri ikifanikiwa Kujenga Jengo lake Refu Africa nzima lililoitwa THE ICONIC TOWER ambalo litafunguliwa rasmi mwaka huu 2022. Hapa tupeane taarifa kuwa mwakani 2023 Misri atafungua Jengo La makumbusho ya Kiakiolojia atayoiita THE GRAND EGYPTIAN MUSEUM, Jina ambalo wengi...
  12. Polycarp Mdemu

    Tarehe isiyosahaulika na Wamarekani

    Wengi huita siku ya MaShambulio ya al-Qaida dhidi ya Marekani, Mashambulio ambayo yalichukua takribani uhai wa watu zaidi ya 3000. Kulitokea mashambulio Manne ambayo yalitumia ndege Nne, Inasemekana watekanyara wa al-Qaida ambao walikuwa 19 walipata mafunzo kwanza ya Kuongoza ndege ili kutimiza...
Back
Top Bottom