Recent content by Piro14

  1. Piro14

    Mbwana Samatta....!!!!

    225 champion boy! Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Piro14

    Mc Pilipili utanisamehee kwa ukweli huu "huna kipaji cha kuchekesha"

    Expensive mc,we songa mbele tu boresha kazi kuza brand basi,Haters tubaki tunaumia tu
  3. Piro14

    Mc Pilipili utanisamehee kwa ukweli huu "huna kipaji cha kuchekesha"

    Nakubaliana na wewe mkuu,naona kundi la haters wanavomuunga mkono mwenzao
  4. Piro14

    Tuliowahi kupata ajali na kunusurika tukutane hapa

    Sitaisahau chacha manko bus musoma-Arusha 2012
  5. Piro14

    Vodacom mnatuficha nini, kwanini hamlist Hisa Zenu

    Ni app inaitwa "leverage scholar"
  6. Piro14

    BAMBI.. Kaza moyo Mkuu hawa ndo walivyo..,, It's gonna be fine.

    Sad! Nimecheki video yake jamaa kajilewea analia tu! Bambi inamaana gani wakuu?
  7. Piro14

    Biashara ya Michezo ya Video (Video Games): Jifunze Uendeshaji, Changamoto na Faida Zake

    Games za virtual unaweza kucheza Unaweza kucheza katika mifumo ifuatayo >Computer >Smartphone >Gameboy >PlayStation >Online n.k Kwa hiyo PlayStation inakuweza kucheza games kupitia runinga yako ni system N.B ni uwelewa wangu
  8. Piro14

    Biashara ya Michezo ya Video (Video Games): Jifunze Uendeshaji, Changamoto na Faida Zake

    Mkuu,me ni mojawapo wa wachezaji PS binafsi napendelea games kama FIFA,ambazo ni PS3,PS4 au Xbox.Ukitaka wateja ya PS tega karibu na shule za secondary au fanya survey upate walau vijana wapenda games. PS2 hailipi siku izi labda kama mtu ndo anaanza kucheza. Kuhusu upande wa faida sijui ila...
  9. Piro14

    Forex trading short course

    Mkuu una trade kwenye platform gani?
  10. Piro14

    Ni vipi unaweza ku trade online?

    Kutrade online unahitaji Kuwa na {visa/MasterCard},zitazo kusaidia kufanya transaction wewe na broker wako! Ningependa kujua unataka kutrade nini,Forex,stocks or commoties?
  11. Piro14

    Forex trading short course

    Mkuu ni benki gani ambazo haina usumbufu kwenye transaction online
  12. Piro14

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wakuu kuna mtu yoyote kadeposit hela premierbet wikiendi hii,anipe mrejesho.
Back
Top Bottom