Forex trading short course

Davion Delmonte Jr.

JF-Expert Member
Oct 27, 2013
2,149
1,717
FOREX TRADING SHORT COURSE

Petram Corporation inakuletea course fupi ya Forex Trading. Jifunze namna ya ku trade fedha za kigeni mtandaoni. Jenga kipato cha pili na rahisi.

Training contents

· Financial markets

· Issues in forex trading (various concepts in trading)

· Trading platforms and forex charts

· Forex market analysis

· Trading strategies and rules

· Trading plan and risk management

· Inter-market correlations

· Choosing brokers and opening live account

· Trading traits and psychology

· Other tradable securities (gold, silver, oil, CFD, Indices, Binary Options etc)

Tarehe: 6-7 April 2016

Mda: 17:00 to 20:30

Mahali: Landmark hotel Ubungo

Gharama: $100

“The world is full of opportunities”
Fahamu utajiri kwenye biashara ya fedha za kigeni (FOREX TRADING)

Fahamu utajiri uliopo kwenye uwekezaji wa dhamana za serikali
 
Hivi can you do online forex trading from Tanzania?
Yaah inawezekana maana forex trading inahitaji uwe na computer na internet.. Though ni very risk but once ukishakuwa a good trader it is truly a great deal. Unaweza usihitaji hata ajira maana ukiwa na strategy nzuri unaweza ukawa every day una pull decent amount ambayo you can pay your bills.

Bavaria
 
Mkuu ni benki gani ambazo haina usumbufu kwenye transaction online
 
Happy to meet a fellow trader , how many pips have been making lately!! I'm really looking for some help in forex trading .

If u don't mind sharing your trading strategy?

Kind regards brother
 
Faida niliyopata kwa siku mbili, Tarehe 18 april,nilipata laki 5 nikanunua rand kwa bei ya tsh 160 nikapata Rand 3125 baada ya siku mbili bei ya Rand ikapanda tarehe 20 april ikauzwa tsh 168,ina maana nikapata faida ya elf 25 kwa siku mbili ,hii biashara naona nzuri zaidi ukiwa Na mtaji mkubwa... Na risk inayokuwepo inaweza isiwe kubwa sana ukizingatia nchi yetu ukuwaji wake wa uchumi ni tatizo endelevu.
 
Mkuu una trade kwenye platform gani?
 
Yaah inawezekana maana forex trading inahitaji uwe na computer na internet.. Though ni very risk but once ukishakuwa a good trader it is truly a great deal. Unaweza usihitaji hata ajira maana ukiwa na strategy nzuri unaweza ukawa every day una pull decent amount ambayo you can pay your bills.

Bavaria
Nimeona wale madogo wa ki south Africa wayne na mwingine nimemsahau jina wanafanya hii biashara tena ni matajiri sana mkuu.
 
Faida niliyopata kwa siku mbili, Tarehe 18 april,nilipata laki 5 nikanunua rand kwa bei ya tsh 160 nikapata Rand 3125 baada ya siku mbili bei ya Rand ikapanda tarehe 20 april ikauzwa tsh 168,ina maana nikapata faida ya elf 25 kwa siku mbili ,hii biashara naona nzuri zaidi ukiwa Na mtaji mkubwa... Na risk inayokuwepo inaweza isiwe kubwa sana ukizingatia nchi yetu ukuwaji wake wa uchumi ni tatizo endelevu.
Mkuu ulifanyaje nipe darasa kidogo?
 
Nimeona wale madogo wa ki south Africa wayne na mwingine nimemsahau jina wanafanya hii biashara tena ni matajiri sana mkuu.
Jamaa wanatia hamasa , kina ref Wayne , ila nashindwa kumwelewa ref Wayne ni programmer au vepe , ukisearch pipcoin ( utaona wanasema yeye ndo alidevelop coding , so the guy has to be good in coding as well
 
Ni njia ya locally tu mkuu ndo natumia buy and sell bureau de change.
That's very clever bro!!

Sasa ukitumia platform kama meta trader 4 kwa mtaji wako Wa tsh 50,000 unaeza tengeneza hela zaidi $500 within 2 days.

Currently Mimi pia bado najifunza kuitumia hii platform kutrade si natrade through a trial account/ demo account. Kuna mda natengeza hadi $800 natamani ingekua real account ningezidraw chap!! SAA nyingne hasara kichizi!!

Well its all part of learning
 
Mkuu una trade kwenye platform gani?
Ebana mi naonaga platform nzuri ni mt4 ( meta trader 4) ingawa kuna toleo jipya ambalo ni mt5 like 3 years ago but watu kibao bado wanatumia mt4 kutrade , that means traders still think mt4 to be a great platform.

But generally platforms ziko kibao , forex brokers wengine apart from offering mt4 au mt5 kwa clients wao pia wana platform zao kama xm.com na forex.com wore wana platform zao!

So which platform are u comfortable with my friend ?
 
Back
Top Bottom