Ni vipi unaweza ku trade online?

Apr 11, 2017
46
16
Habari zenu ndugu zangu wote,

Naomba maelezo ya kiswahili ni vipi unaweza ku trade online na nini maana ya broker.

Nahitaji msaada wenu wadau
 
Kutrade online unahitaji Kuwa na {visa/MasterCard},zitazo kusaidia kufanya transaction wewe na broker wako!
Ningependa kujua unataka kutrade nini,Forex,stocks or commoties?
 
YES BRO UNAWEZA BILA SHAKA!!

Unaweza kutrade forex ie mfano EUR/USD, AUD/USD etc , commodities ( bidha)I.e gold , oil , wheat etc , bitcoins , binary options , stocks etc

Kama umechagua forex utahitaji yafuatayo ili kuweza kuingia kwenye forex market au foreign exchange market.

1) broker
2) forex trading platform ( hii ni software ambayo utatumia kuingia kwenye soko LA fedha..., mfano mt4 , mt5 etc ziko nyingi)
3) internet connection
4) capital kidogo

Broker : broker ni taasisi au kampuni ambayo itakuwezesha wewe kama trader kuweza kuingia kwenye soko LA forex ili uweze kutrade . ni kama vile middle men , kwahivyo broker atafaidika kwa asilimia kidogo kila wewe utakopokua unatrade.., mfano Wa broker www.forex.com au simply google list of forex brokers . utaona list kubwa ya brokers . broker ni kiungo muhimu sana kwenye trading ...

Habari zenu ndugu zangu wote,

Naomba maelezo ya kiswahili ni vipi unaweza ku trade online na nini maana ya broker.

Nahitaji msaada wenu wadau
 
YES BRO UNAWEZA BILA SHAKA!!

Unaweza kutrade forex ie mfano EUR/USD, AUD/USD etc , commodities ( bidha)I.e gold , oil , wheat etc , bitcoins , binary options , stocks etc

Kama umechagua forex utahitaji yafuatayo ili kuweza kuingia kwenye forex market au foreign exchange market.

1) broker
2) forex trading platform ( hii ni software ambayo utatumia kuingia kwenye soko LA fedha..., mfano mt4 , mt5 etc ziko nyingi)
3) internet connection
4) capital kidogo

Broker : broker ni taasisi au kampuni ambayo itakuwezesha wewe kama trader kuweza kuingia kwenye soko LA forex ili uweze kutrade . ni kama vile middle men , kwahivyo broker atafaidika kwa asilimia kidogo kila wewe utakopokua unatrade.., mfano Wa broker www.forex.com au simply google list of forex brokers . utaona list kubwa ya brokers . broker ni kiungo muhimu sana kwenye trading ...
Nakushauri ujiunge na forex trading course free kabisa www.babypips.com . utapata basics
 
Back
Top Bottom