Recent content by Pipilomomo

  1. Pipilomomo

    JamiiForums Tanzania Kazi ya mochari nyepesi sana!

    🙄🙄🙄🙄
  2. Pipilomomo

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi mbalimbali - 2026 Mega thread

    Asante nimeelewa
  3. Pipilomomo

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi mbalimbali - 2026 Mega thread

    Seran hii namba 0749234577 mbona ipo kwenye kazi nyingi unazopost,ni dalali huyo mtu ?
  4. Pipilomomo

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kupata Kazi, nina elimu ya form four

    Jikite kwenye mada
  5. Pipilomomo

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kupata Kazi, nina elimu ya form four

    Asante sana
  6. Pipilomomo

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kupata Kazi, nina elimu ya form four

    Uzoefu ninao wa mwaka mmoja,ndio nina mtoto
  7. Pipilomomo

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kupata Kazi, nina elimu ya form four

    Habari humu ndani! Mimi ni mwanamke miaka 29, elimu yangu form four. Natokea dar es salaam(goba).Nilikuwa na uhitaji wa kazi hasa shuleni ninauzoefu nayo,hasa kulea watoto na usafi.Kama kuna mtu ana connection pleas naomba anisaidie.
  8. Pipilomomo

    JamiiForums Tanzania Nimepigika nisaidie mawazo

    mchongo gan huo niufanye mimi
  9. Pipilomomo

    JamiiForums Tanzania Natafuta mke wa kumuoa, niko serious

    hahah
  10. Pipilomomo

    JamiiForums Tanzania Vijana mkipata wasichana wanaojitambua, oeni

    double click
  11. Pipilomomo

    JamiiForums Tanzania Kufuatia urafiki uliotukuka wa Nyerere na Yasser Arafat. Je, Tanzania hatuwezi kuwahifadhi Wapalestina wanaofurushwa Gaza?

    Kwan umeambiwa natetea wayahudi?siko upande wowote kwamaana Sina undugu nao hata wa rangi
  12. Pipilomomo

    JamiiForums Tanzania Kufuatia urafiki uliotukuka wa Nyerere na Yasser Arafat. Je, Tanzania hatuwezi kuwahifadhi Wapalestina wanaofurushwa Gaza?

    Afu ww upunguzage kiherehere,ww walishawah kukusaidia nn?.Una uchungu nao nenda kwao kawasaidie lioooneee Kwanza.
  13. Pipilomomo

    JamiiForums Tanzania Nimetelekezwa na ujauzito, natafuta kazi

    double click.
  14. Pipilomomo

    JamiiForums Tanzania Nimekuta naye Januari, baada ya miezi penzi chali

    Itakuwa labda yey alikuwa anataka mtu serious (mume)ila kaona husomek kaona asipoteze mda na gangster 🤭🤭
  15. Pipilomomo

    JamiiForums Tanzania Haithamkim amefanyaje?

    kama Vp Kama nataka yangu labda na mtoto mmoja?
Back
Top Bottom